Search results

  1. Mkwawa mnyalukoro

    Je, CCM itachagua demokrasia ama utaratibu kumpitisha Samia?

    Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake. Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano akiwa Madarakani na kumpata Rais aliyetokana na Katiba. Kisheria na taratibu za vyama...
  2. Mkwawa mnyalukoro

    Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

    Kuna kosa la kiufundi lilifanyika ambalo kwasasa linamgharimu mama kwenye Siasa za Tanganyika. Kosa hili la Kiufundi lilifanyika tarehe 30 Mwezi wa tatu mwaka 2021 ambapo alifanya Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na aliyepata Uteuzi huu si mwingine bali ni Dr. Philip...
  3. Mkwawa mnyalukoro

    Maafisa elimu kata chanzo cha migogoro ya walimu nchini

    LEO TUPATE ELIMU KIDOGO JUU YA HAWA MABWANA Na Comred Mwanakijiji Mwanakijiji Mkwawa Miongon MWA kero kubwa Sana za WALIMU huko makazin NI juu ya hawa jamaa wanaojiita maafisa ELIMU kata Zamani hawa jamaa waliitwa waratibu elimu kata lkn BAADA YA Kuboresha hili jina na kuitwa MAAFISA ELIMU...
  4. Mkwawa mnyalukoro

    Msaada tafadhali, nimekata tamaa ya maisha

    Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu. Juzi nikaenda hospital kubwa ya...
  5. Mkwawa mnyalukoro

    Naomba ufafanuzi wa mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo kuuma na tumbo kuunguruma

    Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na Radha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu. Juzi nikaenda hospital kubwa ya...
  6. Mkwawa mnyalukoro

    Kuna tofauti gani kati ya dawa za PEP na ARV

    Eti wadau kuna TOFAUTI GANI KATI ya DAWA za HIV Kati ya PEP na ARV?
  7. Mkwawa mnyalukoro

    Mahakama ya Mwanzo Tandahimba ichunguzwe. Inaonesha rushwa husaidia kutoa uamuzi wa kesi

    BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA MAHAKAMA YA MWANZO TANDAHIMBA ICHUNGUZWE Kwako MH jaji mkuu Miongoni mwa Mambo yanayokwamisha HAKI za watanzania ni kutokana na baadhi ya watumishi wa mahakama wasiofuata maadili ya KAZI yao ya kutenda haki Katika miaka ya hivi Karibuni kumetokea...
  8. Mkwawa mnyalukoro

    Sasa nmeaianza wiki ya tatu ya kuipiga pep ya HIV

    Wadau naleta mrejesho kwenu nadhani wiki mbili zilizopita niliwahadithia kisa changu cha kupasuka kondom wakati nikifanya mapenz na demu ambaye siijui background yake NA wasiwasi wangu ulinijia kuwa demu inawezekana kaungua coz kesho yake nilipomuomba tukapime akagoma na kuniandikia meseji eti...
  9. Mkwawa mnyalukoro

    Msaada: Nimefanya mapenzi na mwanamke Condom ikapasuka. Nimepima majibu yamekuja hivi

    Waungwana mwenzenu Sina Aman kabisa ndoto zangu zangu zmeyeyuka nmekutana na DEMU nisiyemjua status yake nikamwita gheto akaja nikapiga na kondomu bahat mbaya ikapasuka bila kujua Ile kuchomoa hv nikagundua imepasuka hakika stress zikaanza usiku sikulala kabisaa Basi kesho yake nikajihimu kwenda...
  10. Mkwawa mnyalukoro

    Msaada: Mdomo unatoa mate machungu na tumbo linaunguruma

    Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa nyakati za asubuhi ninapoamka pia hali hii inapelekea mwili kuuma na viungo hakika...
  11. Mkwawa mnyalukoro

    Naomba kuuliza kuhusu kucarry somo

    Jaman mwenzenu nasoma Chuo Kikuu cha Iringa semister iliyopita nilipata carry ya SoMo la fonetic kutokana na matatizo ya ada yaliyonifanya kuingia mtaan kusaka ada. Swali je ikitokea Hilo SoMo nimesap tena je naweza kuwa nimedisco? Naomben muongozo
  12. Mkwawa mnyalukoro

    Uvimbe ndani ya mdomo unasababishwa na nini?

    Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomon.
  13. Mkwawa mnyalukoro

    Nauza kitanda shilingi 100000 tu

    Kwa anayehitaji Kitanda kipyaaa 5*6 kwa laki moja tu njoo tuzungumze kwa 0752092377 Napatikana Iringa Mjini
  14. Mkwawa mnyalukoro

    Karibuni university of Iringa

    Kwa wale mliochaguliwa Chuo kikuu cha iringa karibun mim mwenyeji wenu kwa huduma ya vyumba jiran na Chuo mnicheki 0752092377
  15. Mkwawa mnyalukoro

    Mimi ni continues Student nimeomba mkopo nitapata kweli?

    Wakurugwa naomba kuuliza Mimi ni mwanafunz ninayeingia MWAKA Wa pili sasa MWAKA Jana sikupata loan HESLB lakin MWAKA huu NIMEOMBA TENA JE NAWEZA KUPATA?Je kuna continues student ambaye alishawah kupata humu ndani? Naona WATU wanadai eti mkopo kipaumbele ni first year tu
  16. Mkwawa mnyalukoro

    Tatizo la mdomo kuwa na ladha na mate kuwa machungu

    Ni mwaka wa pili sasa hili tatizo linanitesa mpaka nimekata tamaa ya kuzunguka hospital zote bila kujua tatizo ni nini, jamani msaada wenu mwenzenu hii hali inanitesa sana.
  17. Mkwawa mnyalukoro

    Nilihitimu Form 4 mwaka 2008, Je naweza kupata mkopo HESLB?

    Mim ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa mwaka wa kwanza. Umri wangu ni miaka 29. Nataka kuomba mkopo wa Elimu ya juu; Je naweza kupata?
  18. Mkwawa mnyalukoro

    Je, ni dawa ipi ya kupunguza uzalishwaji mkubwa wa nyongo mwilini?

    Msaada kwa anayejua dawa ya kupunguza uzalishwaji wa kiasi kikubwa cha nyingi na kupelekea mdomo kuwa na radha ya uchungu muda wote na viungo vya mwili kuuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Mkwawa mnyalukoro

    Naomba msaada wa tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu

    Msaada jaman, Nina tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu na viungo vya mwili kuuma nini tatizo? nimezunguka hospital mbalimbali na kuchukua vipimo mbalimbali na jana tu nimepima UKIMWI lakini tatizo halionekan je naweza kuwa na shida gan mwilin mwangu? NATESEKA SANA NI MWAKA WA NNE SASA...
  20. Mkwawa mnyalukoro

    Tatizo sugu la mdomo kuwa na ladha ya uchungu huu mwaka wa pili

    Nisaidien jamani nina tatizo la muda mrefu la mdomo kuwa na radha ya uchungu huku viungo vya mwili vikiuma nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za typhoid, maralia, vidonda vya tumbo lakini hali hii bado inaendelea mpaka nmekata tamaa nimezunguka hospitali nyingi lkn tatizo halionekan sijui Nina...
Back
Top Bottom