Search results

  1. BradFord93

    Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Kwakweli mm plan yangu mwanangu lazima aijue biashara niifanyayo...jumamosi naenda nae ofisin kbsaa...mtoto anajengwa udogoni
  2. BradFord93

    Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

    Mimi nshaaah kshuhudia dem ana kadi 4...kuna jamaa yupo mkoa analea mtoto na hjawah ht kmuona...!!so ht sijashtuka...cku hz hutakiw kuwaamin hawa watu
  3. BradFord93

    Kiherehere cha kujifanya kuingilia mahusiano ya watu kimewaumiza na kuwaliza wanaume wengi

    Je kuna sehem anadaiwaaa??...maana kaandika kwa haraka saana
  4. BradFord93

    Ndoa hapana! Sitaki

    Mimi mambo ya ndoa nlianza kuyaona magumu pale nlpoona baba mpangaji mwenzangu ananyata asubuh saa 11 akitaka kusepa bila kuacha hela...!!na mke akamuwah kwenye korido...!!sasa hapo nkawa nmeganda tu na ndoo yangu...niende niendako au nirudi chumbani...!!
  5. BradFord93

    Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Bikra hua na raha yake km ukienda kwa protocol...!!wengi huenda kwa pupa...!!unamuondoa mtu hofu kidogo kidogo...inabd kama una time utumie hata wiki...!!mimi nlkuwa sijui ila kiukweli yule girl mpk leo anatuma zawad...!!
  6. BradFord93

    Kiherehere cha kujifanya kuingilia mahusiano ya watu kimewaumiza na kuwaliza wanaume wengi

    Boss kwani unawahi wapi??...Simu haina chaji??...!!Muha yupo nje au?
  7. BradFord93

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Ujue kuna watu ni sikio la kufa...!!huyo mwanamke ameshajua wew huna maamuzi juu yake...anajua una hurum...!!yan kwa mtu mweny maamuzi ushauri ulopewa unatosha saan kufanya maamuzi
  8. BradFord93

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Kama taarfa mpk wew imkufikia bas mtaa mzima wanajua...!!n wao wanajua wew hujui...kiufupi unaonekana boya
  9. BradFord93

    Ulianzaje kujichua(punyeto)?

    Nlikuwa form 1...!!nkamuuliza mshkaji flan alonzd umri "manii nd nini?":..akanielekeza kachue na sabuni...kitakachotoka hapo nd manii...!!Hahahahaaa nikayaona ila siwez kusahau kale kafeeling kwakweli
  10. BradFord93

    Naomba kuuliza kwa wanawake tu

    Wewe ni wa akiba...in case akikosa kwa kwenda...!!so anafanya hayo yote ili usipotee kwenye ramani...mambo yakiharibika kule anajua ana msaada....yan wew ni km upatu...kikoba....au kama ushawah kubet wew ni "Both Team Will Score"
  11. BradFord93

    Muvi za upelelezi.

    Tafuta "Knives out","Sherlock Holmes","Enola Holmes 1&2"
  12. BradFord93

    Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

    1.Umri 2.Hela 3.Nyadhifa Ila mwanamke hua ana tabia ya kutest...!!akikujibu hovyo ukanyamaza...kesho yake antakulamba kkofi kidg...kesho kutwa utapewa ngumi...mtondogoo nd utaanz akupigwa na mwiko Just kuwa na msimamo tu...ukinyanyua mkono kamwe usiushushe
  13. BradFord93

    Tusidanganyane hakuna mwanamke anaeweza kumvumilia aliyefulia

    Hahahahahaaaa very true...!!ukiona anakvumilia bas ameona kuna mtonyo mbelen...kama unasoma au upo chuo so anajua utaajiriwa...!!ila nje ya hapo...!!hawezi....umenikumbusha mbali saaana
  14. BradFord93

    Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

    Ufundi ni hulka ya mtu...!!nlkutanaga na mchaga alochanganya na mrwanda...yeye hobby yake ni sex na mimi ni hivyo hvyo...nakumbuka tulipumzka mda wa kula tu ucku..!!yan kila ukimuweka yumo...!!kesho yake mchana namsindkza ht ktembea nlkuwa najikaza
  15. BradFord93

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Mimi niliachana na dem kisa tu aliona malengo yangu kimaisha yanachelewa kufanikiwa....so akasepa...almost miaka 7...!!awam hii yeye..wadogo zake na mpk shngazi yake wanabembeleza turudiane...!!Nahic wanataka roho yangu...anyway Ex harudiw
  16. BradFord93

    Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Kuna muda hao madada wenyew hawaeleweki...mdada ana mabwana wa5...mtaa mzima unajua kuwa una wenzako...!!kwa hapo lzm mwamba akatae..!!hakuna mwanaume anayetaka kuonekana mjinga...!!akitoka amefanana sawa...
  17. BradFord93

    Tabia nyingine za watoto mnaziendekeza sana

    Mda mwingne wazaz wa kike wanzingua...!!sisi tumepanga lkn kuna vitoto vya kike hvyo mama yao anawatuma kabsaa kuomba uwanunulie juisi...!!
  18. BradFord93

    Aina za ma Ex

    Mimi nakumbuka tulirudiana na Ex wangu na tukaachana ucku huo huo...!!maana tumeachana miaka 4 hlf mtu anasema hajaguswa miaka yote hyo...!!nkaona kabsaa hapa najivisha bom
  19. BradFord93

    Hii ni kawaida au??

    Kuna girl nmeanza kudate nae ni almost miezi miwili hiv...!!ni nesi wa hosptal fulan wilaya flan....!!ila mpk sasa tupo kwenye hatua za kuonana tu kwa ajil ya ubze wake...ila tangu nmekuwa nae magonjwa hayaniachi...hata yeye pia anaumwa pia baada ya kuwa na mahusiano nami...!!kuna siku nlmkiss...
  20. BradFord93

    Kwanini kuna wimbi la visichana na vitoto vya kike siku hizi kukosa adabu?

    Watoto wengi siku hizi wanalelewa na mama zao tu...baba hayupo...!!so heshima lazim isiwepo maana kfundisha adabu hua jukum la baba
Back
Top Bottom