Search results

  1. J

    Desktop full bei chee

    nina 70000 nahitaji cpu,keyboard na mouse sitaki monitor
  2. J

    Natafuta mashine ya selcom

    mwenye nayo anipm fasta
  3. J

    Ninauza line ya Airtel money unapata kwa jina lako

    Pata Line ya Airtel money kwa jina lako baada ya siku moja tu. Bei Tsh 110,000 tu.
  4. J

    Mabango yanahitajika haraka sana

    Linahitajika bango la wakala wa tigo, mpesa na airtel money liwe la kuhamishika kwa urahisi kama lile lenye umbo la pembetatu.
  5. J

    Nahitaji mtaalam wa design ya bustani na miti ya kivuli ya nyumba

    Kuna jamaa pale manispaa ya kinondoni-magomeni anaitwa charles unaweza ukamuona akakusaidia kwa bei nafuu
  6. J

    Nauza Bodaboda yangu 800,000/=

    Mkuu nakutafuta kwenye simu hupatikan?
  7. J

    Nahitaji kuchimba kisima cha mita 150

    Mwenye utaalam wowote tuwasiliane
  8. J

    Viwanja vinauzwa, viko Kibamba shule

    Kipo kilomita ngapi kutoka morogoro road
  9. J

    I am looking for 6 month internship on Food microbiology

    Hello current am pursuing MSc. Food technology in netherland, i am looking place in Tanzania to do my internship of not longer than 6 months. I am interested to work on food microbiology aspects. If anybody have something let me know please.
  10. J

    Nauza kiwanja Kimara

    kula m5 fasta
  11. J

    Transcend External HDD ni Madhubuti Duniani Kote

    mkuu kula 150 tufanye biashara
  12. J

    CPU inahitajika

    ya kwako unauza sh ngapi?
  13. J

    CPU inahitajika

    Nahitaj CPU ys desktop computer kwa bei nafuu. HDD 500GB,RAM 4-6GB, Speed kuanzia 2.2GHZ
  14. J

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Mgombea ubunge wa Sikonge kupitia CHADEMA amerejea CCM leo ktk viwanja vya Jangwani DSM. Kumbuka Nkumba alijiunga na CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za maoni CCM. Alipewa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mkuu Oktoba 25. Wamachama wa CHADEMA waliandamana kupinga uteuzi...
  15. J

    Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Ndugu Wazalendo, Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe...
  16. J

    Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari Mbunge wa ukerewe(cdm)Salvatory machemli anataraj kuhamia ACT wazalendo baada ya kushindwa kura za maoni. Updates: ACT Wazalendo wameandika kwenye mtandao wao wa twitter kwamba, Machemli ameshajiunga na atagombea ubunge mwaka huu. Update: 2 Mh. Machemli...
Back
Top Bottom