Search results

  1. M

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
  2. M

    Wachina nao hawakuwa nyuma enzi hizo walivumbua haya tunayotumia hadi kesho

    Hebu weka kumbukumbu sawa,waligundua karne ipi?
  3. M

    Kwanini wabunge wanasema " BUNGE TUKUFU"?.

    Bado,hakuna aliyejibu kwanini" Bunge tukufu" na tukienda mbali zaidi kwenye mahakama zetu kuna lugha "mtukufu hakimu",pia "mtukufu rais".tafadhali anayejua atujuze
  4. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    nyingi ni made from india na germany, majina yake cyakumbuki kwa haraka
  5. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    nikishakwenda nikafanya endoscopy,dawa nilipewa lakini bado maumivu ndugu
  6. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
  7. M

  8. M

    Dr Ndalichako ana maana gani aliposema atawatoa watu vyuoni?

    Ameshaanza kutoa tena kaanza na vyuo vya ualimu vya private, wale wanaosoma na hawakua na point 27 wametimuliwa vyuo
  9. M

    Are spies made or born?

    Are made
  10. M

    Kwa wapenzi wa No Great love

    Ila wafilipino ni noma
  11. M

    Kwa wapenzi wa No Great love

    Za wazungu pia,kawaida sana NA haxina maadili
  12. M

    Kwa wapenzi wa No Great love

    Tamthilia za wamexiko za kawaida sana
  13. M

    Kwa wapenzi wa No Great love

    Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa hivyo tungekuwa mbali,alafu story zao zinakua zaidi katika mpenzi lakini namna wanavyoyaweka sasa,Safi...
  14. M

    Mchumba anatoka katika ukoo wenye Laana za kurithi (generational curses), anafaa kuoa?

    Hafai ata kama ukiwa mwanaume,pia unaweza usioe.Hebu angalia kabila la wanachame lilivyo
  15. M

    For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

    Tena mpaka manabii,kuna mmoja alikua anajiita mungu MTU ,kutoka Kongo pia kuna mmoja anajiita yeye ni mungu wa Tatu baada ya yesu
  16. M

    For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

    Siku hizi mbona kuna vitu vya ajabu,maradhi ya kutisha,Vita kila Mara duniani,
  17. M

    For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

    Hii dunia IPO mbona mwaka 1994,katika nchi ya Rwanda walitokewa NA malaika kutoka mbinguni!
Back
Top Bottom