Search results

  1. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    mtu anayefoka "puri" yeye ni konk master wa iyo michezo
  2. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    Ndio maana awali nkasema kusoma functionality ya websites, kuna watu Dating sites wanazichukulia kama social networks km Fb
  3. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    Binafsi kwa uzoefu nkitoa 8 najibiwa 1
  4. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    sio JF mkuu sites kama waplog, hitwe and others
  5. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    Ndio hio inaweza kuwa sababu kwa mtu mmoja mmoja, km ukitoa user Male 1000 Female 700 na bado success hits kwa maongezi ya online ni chini ya 20% hii ni shida . Wanaingia huko bila kujua wanafwata nini
  6. J

    Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

    Yani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa? yani hapo ni kuongeza tu operating cost za site husika afadhali ondoa iyo profile yako kama hutaki izo...
  7. J

    JamiiForums Usiku wa manane

    wapi ladies ??
  8. J

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    watoto wakali wako wapi...?
  9. J

    Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

    acheni watu wale hizo papuchi tu.
  10. J

    Mwanaume changia hapa, mwanamke atakayekupa like zama naye PM

    Huku kunaonekana wazi 90% wanaume, 10% wanawake
  11. J

    Hakuna lililo jema aliowatendea Gaddaffi walibya?

    Ni ujinga, kwa sababu alimpindua mfalme wao. Na ni ukabila mbaya. Wewe kama mwananchi unatendewa yote hayo kula maisha. Kila rais anaweza akaua kulinda kiti chake kwa ka Ghadafi aliua ni dhambi zake haikupaswa wamuue kwa msaada wa NATO na nchi za magharibi.
  12. J

    Hakuna lililo jema aliowatendea Gaddaffi walibya?

    Swali ni kwamba wewe kama mwananchi unataka ktk nchi yako kuwe na maendeleo kwanza halafu demokrasia baadaye au kinyume chake? Maana kuhusu kodi mbona Tanzania tunatozwa kodi na bado hatuoni chembe ya unafuu katika bidhaa ndogo kama sukari ambayo ni Tsh 2200 mkoa wa moro. kwa hiyo maendeleo...
  13. J

    Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

    Satan is in the form of corruption and poverty, do you agree?
  14. J

    Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

    Hii inasikitisha, ukiangalia kwamba ajali Tanzania zinaweza kuzuiliwa tunaweza kuokoa maisha ya watu kwa kutumia mabasi yenye ubora nchini. Uwekezaji katika usafiri unasababisha wamiliki wa mabasi kuagiza mabasi ya bei ya chini na kuajiri madereva ambao hawana uzoefu. Kipindi usafiri...
  15. J

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    Dk Slaa amewababua na kama inawezekana kipindi kingekuwa masaa 3. Tanzania watu hawafuatilii vitabu vya bunge kujua nini kimewekwa kwenye maandishi hata katiba. Bajeti ni mbovu kweli Tanzania imeshaoza.
Back
Top Bottom