Search results

  1. M

    Naomba kujuza kuhusu IAA kampasi ya DSM

    Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na contents yao naona kama vitu vingi vinafaa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu kuhusu ndaki hii, mazingira...
  2. M

    Msaada: Gari yangu inatoa Mlio tofauti wakati wa kurudi reverse

    Habarini wakuu, Naomba msaada hapa, gari aina ya ractis pale nikiwa ninarudi reverse kuna sauti fulani kama ya kitu kinagongwa mara kwa mara au kama kinatetemeshwa hivi. Nilienda kwa fundi kucheck akanambia yawezekana ni exozi iligongwa mahali, akarekebisha lakini naona hali bado ni ileile...
  3. M

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani nilipewa). Engine 1NR-FE, sikufanikiwa kupewa user manual Ilipofika katika kutembelea nikaenda kufanya...
  4. M

    Natafuta Taa za Nyuma za Ractis new model

    Habari wakuu, Mwenye nazo au anayeweza kunielekeza kwa mwenye hizi taa za nyuma za Toyota Ractis, msaada tafadhali. Ukisaidia na bei zake kwa mpya au used utakuwa umenisaidia sana
  5. M

    Mahali ninapoweza kucheza Simracing Morogoro/Dar

    Wadau habari zenu, naomba msaada kw hapa moro/dar anaejua mahali wanapotoa huduma ya kucheza game za magari, yaan unakua na kiti na sterling then kuna tv mbele unakua unaendesha gari. Naonelea kuimaliza weekend huko na familia
  6. M

    Ipi ni njia sahihi ya kupaki Gari kwa usalama wa Gear Box

    Wadau hebu tusaidiane kutoana tongotongo. Wengi wetu tumesomea udereva lakini si kila kitu kuhusu gari na matumizi sahihi tunayafahamu. Basi Leo naomba tupeane hints hapa za jinsi ya kupark kiusahihi gari yako hasa hizi za Automatic. Mimi hufanya hivi siku zote. Mguu kwenye brake mpaka gari...
  7. M

    Naomba kufahamu kuhusu Toyota Ractis new model

    Habari zenu wakuu, namshukuru mwenyezi Mungu panapo majaaliwa mwezi wa nane mwanzoni nitaipokea hii gari ambayo nimekua na ndoto nayo kwa muda sasa. Kiukweli sijawahi kuendesha gari ndo nakula shule kwa sasa. Naomba nipate nondo zaidi kwa wataalamu wa gari jinsi ya kuishi nalo na kulifanya...
  8. M

    NiagizeDar (Testing Mode) *149*46*14#

    Mfumo umefungwa kwa sasa Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel Nunua Bidhaa kupitia Instagram, Facebook, WhatsApp nk, kisha tuagize sisi kwenda kuhakikisha bidhaa yako na kuisafirisha...
  9. M

    NiagizeDar (Testing Mode) *149*46*14#

    Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel Nunua Bidhaa kupitia Instagram, Facebook, WhatsApp nk, kisha tuagize sisi kwenda kuhakikisha bidhaa yako na kuisafirisha NiagizeDar Ni mfumo wa...
  10. M

    Wazo la biashara, kutumia TEHAMA katika kusafirisha mizigo kutoka Kariakoo kwenda mikoani

    Habari wakuu, nina mfumo ambao unamuwezesha mteja kufuatilia mzigo wake kila hatua mpaka unamfikia bila utumizi wa Internet, yaani nipo Mwanza nimeagiza mzigo kariakoo, nikisha lipia, niweze kufuatilia kila hatua mzigo ulipo, utanifikia saa ngapi, utapita wapi kwa mud gani nk bila kutumia...
  11. M

    Kwa anayeuza account ya Uber/Bolt

    Habari wakuu, Nahitaji kununua existing account ya platform tajwa hapo juu, kwa mwenye nayo naomba tufahamiane
  12. M

    Jifunze kitu kuhusiana na biashara ya bodaboda

    Habari zenu wakuu, tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka nahitaji niwatie moyo kwa hili, pengine waeza pata pa kuanzia kwa mwaka Ujao. Mi ni kijana mzawa wa kanda ya ziwa mwenye roho ya kichaga[emoji16][emoji16] miaka ni 25 tu na kwa sasa najitafuta huku mji kasoro. Mnamo mwezi wa pili mwaka...
  13. M

    Hints za namna ya kuweka matangazo ya admob kwenye app

    Habari wana teknolojia. Naomba mwongozo hapa na hints za kufanikisha kuweka matangazo kwenye application App yangu ni hybrid( ni web view mobile application) mpaka sasa ina namba of downloads 300+, trafic yake kwenye web kwa siku 20 ni 2.2k, Naomba muongozo au hints zuri za kuweza kukubaliwa...
  14. M

    Natafuta Mkenya/ Wakenya tufanye kazi ya kutangaza App

    Habari wakuu, Niko na App (mobile application)inayohusika na masuala ya shule( kupakua notes za masomo yote kuanzia level ya chini mpaka vyuo vikuu). App inaitwa desafinder ipo playstore Yeye atafanya kazi ya kutangaza app kwenye group za vyuo/ vyuo vikuu vya nchini kenya au kutoa connection...
  15. M

    Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

    Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani. Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana na kuthaminiana sana (namzidi miaka mitano na mimi ni mwanaume wake wa kwanza). Shida ipo hapa...
  16. M

    Je, hii yaweza kuwa dalili ya UKIMWI?

    Habari wadau naombeni msaada. Niko katika mahusiano ya kirafiki kwa miezi nane na binti hapa mtaani kwetu ambae yeye ana mtu wake(huwa mara nyingi hakai hapa, yeye anakaa Dodoma ndo anakofanyia biashara, piah alimtoa bikra huyu mdada mwezi wa tano mwanzoni inshot wana malengo makubwa). sasa...
  17. M

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa. Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua najisikia vibaya, kama ubongo unaelea hivi na mapigo ya moyo. Natamani tu gari lisimame. Kwa sasa hali...
  18. M

    Msaada Chumvi kwenye Engine ya Pikipiki

    Wasalaam ndugu zangu. Aiseh haya maisha akili ni kitu ambacho hupaswi kukosa kabisa. Kifupi niko na pikipiki tatu zote za mkataba. Kuna pikipiki moja ina mwezi wa tatu sasa, lakini imekumbwa na hii shida. Huyu nilomkabidhi kuendesha alikua mzito kurejesha pesa na sababu kuu aliugua kwa muda...
  19. M

    Msaada kuhusu mabadiliko ya hedhi

    Habari ndugu, naomba niende kwenye mada. Mnamo mwezi wa pili tuliamua kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango mimi na mwenza wangu, ambapo aliwekewa kijiti kimoja, lakini ilipofikia mwezi wa tano akawa analalamika sana kuhusu kijiti kumkera, hivyo mwezi wa Saba mwanzoni tukakitoa na mnamo tarehe...
  20. M

    Visanga vya Mahusiano ni vingi lakini...

    Habari wakuu, Kuna kitu nimewaza na haya ni mawazo huru. Maisha kwasasa yamekuwa ghali sana, na piah utandawazi umebadilisha mitazamo mingi sana. Tujikite hapa, kuhusu mahusiano imekuwa kawaida sana kusikia lawama za mahusiano kwa Sasa na wengi wanaoanzisha nyuzi humu ndani shutuma nyingi...
Back
Top Bottom