Search results

  1. K

    Zito Kabwe: Uliposema tusubiri ACCACIA wauzwe kwanza nadhani hatukukuelewa.

    Nimefuatilia maelezo ya Zito akihojiwa na BBC pamoja na post zake za awali kuwa tukiingilia mchakato wa kuuzwa ACCACIA tutapoteza kiasi kikubwa cha fedha tunazopaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria zetu, ni wakati sasa wa serikali kuingilia kati juu ya kampuni mpya inayoletwa Tanzania kuchukua...
  2. K

    Ni sahihi kuruhusu gari za Serikali kufanyiwa modifications au design kwa namna MTU anavyooana inafaa?

    Enzi za nyuma ulikuwa uwezi kufanya matengenezo ya chombo chochote cha serikali ukaruhusiwa, lakini pia mali za serikali hasa magari yanapoagizwa uja na guarantee ya muda wa matumizi na kwamba huruhusiwi kubadilisha au kuyafanyia mabadiliko makubwa bila mtengenezaji au msambazaji wa gari husika...
  3. K

    Vyombo vya habari vya Tanzania Vs Vyombo vya nje

    Ni kwann vyombo vyetu vya habari vinavyomilikiwa na serikali na vyenye umiliki binafsi vinashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo? Je, ni kwa sababu ya: 1.Wamiliki ndio wanaoelekeza nini kifanyike na nini kisifanyike? 2.Havina waandishi na wahariri wenye ueledi katika tasnia hii? 3.Taifa...
  4. K

    Ukimya wa vyama vya siasa baada ya taarifa ya mazungumzo kunatoa tafsiri gani?

    Si chama Tawala wala vyama vya mapinduzi wala vyama vya mageuzi wala vyama vya wafanyakazi wala Jumuhia yoyote iliyojitokeza kupongeza au kukosoa au kutoa maoni mbadala juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya JMT na Barrick , Je hii inamaanisha kuwa taarifa imeeleweka vyema na hakuna la kuongeza...
  5. K

    Kwanini tulazimishe kupongezwa?

    Ni mafanikio gani tunayodhani tumepata kwenye sekta ya madini hadi tutake kusifiwa? Moja ya agenda kubwa ya Taifa na ambayo itaondoa maswali mitaani juu ya rasilimali zetu ni UWAZI KATIKA MIKATABA Nakumbuka hao tunaowahita wawekezaji, wakati wanakuja kuwekeza tulijifungia nao tukaanguka sahihi...
  6. K

    CHATO: Hongera Halmashauri ya Chato kwa kuingia TOP TEN matokeo ya STD 7, 2017 (Japo siyo kawaida)

    Kulingana na taarifa ya matokeo ya darasa LA saba halmashauri ya Chato imeingia top ten ya halmashauri zilizofanya vyema mtihani wa darasa LA saba Mwaka huu 2017, kumbukumbu hazionyeshi kwa miaka ya karibuni kama halmashauri hii ilikuwa na kiwango cha juu cha ufaulu hivyo nitoe pongezi kwa...
  7. K

    Tofauti kati ya maazio na maridhiano katika mijadala au kamati

    Katika kusikiliza taarifa ya serikali juu ya mazungumzo na Barick nimepata ugumu katika kujua kati ya hoja zote zilizotajwa yapi ni maazimio na yapi ni makubaliano au maridhiano ya pande mbili? Kauli kwamba Barick itapeleka taarifa ya majadiliano kwa wamiliki wa kampuni wafanye maamuzi inatoa...
  8. K

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Wanabody, wakati wowote kutoka sasa Taifa litapata mrejesho juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya magwiji wa sheria na mambo ya mikataba ya madini na timu ya wataalamu wa Barick, mazungumzo ambayo yamechukua muda Mrefu kutoka na unyeti wake, natumai taifa litabaki kuwa kitu kimoja baada ya...
  9. K

    Nimpongeze Dr. Slaa kwa uwezo wake wa kukijenga chama, kujenga hoja na pia maamuzi magumu aliyochukua

    Wakati Chadema wanawaondoa Zitto,Mkumbo na Mwigamba ndani ya Chama chao sikujua maono ya katibu mkuu Dr.Slaa yalilenga nini, lakini Leo nimetambua uwezo na nguvu ya Intelijensia iliyojengwa na kusimamiwa na mzee huyu ndani ya Chadema. Nimpongeze Dr. Slaa kwa uwezo wake wa kukijenga chama...
  10. K

    Natabiri 60% ya wabunge wa kuchaguliwa kurudi bungeni 2020 ni ndoto

    Makundi haya yanatishia bunge lijalo liwe na wabunge wapya wa kuchaguliwa kwa vyama vyote - Wapo wateule kwa nafasi ya uwaziri na ubunge ambao wameshaonyesha nia ya kugombea na wanaungwa mkono na chama hivyo wana uhakika wa kupeta kura za maoni. - Wapo wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na wateule...
  11. K

    CAG mulika mambo haya katika ofisi za Serikali uje na suluhisho

    Kuna umuhimu wa CAG kufanya ukaguzi maalumu kuangalia ufanisi na uharibifu au uchakavu wa mifumo ifuatayo katika ofisi za serikali kuepusha hasara kubwa ya kununua mifumo mipya.. 1.Mifumo ya AC katika majengo ya serikali kwann haifanyi kazi au iliwekwa ya chini ya kiwango au hakuna matengenezo...
  12. K

    Nini tofauti kati ya mfumo na nyaraka zilizotumika kuhakiki vyeti feki na uhakiki wa umri?

    Tumemaliza uhakiki wa vyeti ulioambatana na uwasilishaji wa salary slip, cheti cha kuzaliwa au kiapo, kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha Taifa pamoja na Barua za ajira. Je, tunapotangaza kuanza kuhakiki umri tunatumia nyaraka gani ambazo awali hazikufikishwa kwa katibu mkuu kiongoz? Je...
  13. K

    MBUNGE wangu toka 2015 nimemwona jimboni mara moja,wewe je?

    Nasikitika kuwa mbunge wangu nimemwona jimboni Mara moja toka achaguliwe, kwa kuwa sasa miaka miwili imepita nategemea kwa miaka minne ntamwona Mara mbili tena akiwa vijiji vya mjini. Tetesi zinasema anaishi DSM na Bungeni hana mchango wowote wa maana kwa kipindi chote cha miaka miwili lakini...
  14. K

    Tumekwama baada ya kupata tatizo kwenye uti wa mgongo

    Kilimo ni UTI wa mgongo, uti wa mgongo ukipata shida lazima madhara yaguse viungo mbali mbali vya mwili Kama Taifa tumekwama hapa tulipo kwa sababu tulipopata mvunjiko wa uti wa mgongo hatukuangaika kupata tiba sahihi bali tulichagua kujitibu kwa kufanya mazoezi na kutumia miti shamba ambayo...
  15. K

    Kushindwa kwenda Nairobi hadi sasa kwa viongozi wengi wa CCM na Serikali kunatoa picha gani kwa umoja wa Kitaifa?

    Tulikuzwa na kulelewa kuwa Tanzania ni yetu sote na kwamba Tanzania ni moja na sisi ni ndugu, tulikuzwa katika kuondoa tofauti zetu na kusameana wakati wa shida na raha. Leo imekuwaje tukio la kuugua mwenzetu Nairobi wafanyakazi wenzake wameshindwa kwenda kumjulia hali?Viongozi wa kitaifa...
  16. K

    Ajira mpya: Je hadi tunamaliza robo ya kwanza ya bajeti wameajiriwa wangapi?

    Kulingana na bajeti ya Mwaka 2017/2018 zaidi ya watanzania 50,000 watapatiwa ajira rasmi.....je hadi tunamaliza robo ya kwanza ya bajeti wameajiriwa wangapi?Walioajiriwa wapo sekta zipi?
  17. K

    Hadhi ya Uwaziri nchini kwanini imeshuka?

    Zamani wakati wa tawala Tatu za awali za Taifa letu Waziri alikuwa anaheshimika na alikuwa anazungumza mambo machache sana na ambayo ni maamuzi ya wizara, Kuondolewa kwa waziri na kuteua mwingine haikuwa kazi rahisi kama ilivyo sasa. Je, tatizo ni la wanaofanya uteuzi au la wanaoteuliwa?
  18. K

    Polepole,Ni kweli unaamini CCM inapiga vita Rushwa?

    Ukimya wa chama Tawala juu ya uvunjifu wa maadili ya kiongozi wa umma uliofanywa na DC Arumeru unanifanya nijiulize ni aina gani ya Rushwa inapigwa vita na CCM na wafuasi wake? Hiki ndicho chama kilichotoa tamko la kuwapongeza watawala wakati wa tumbuatumbua ya watumishi wa umma? Huyu ndiye...
Back
Top Bottom