Search results

  1. LOOOK

    Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Mi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?
  2. LOOOK

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Nguzo Tanesco inauza ghari sana na zinatoka mufundi tu hapo kumbuka kuna miaka nguzo ilifika hadi laki saba
  3. LOOOK

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Hata hiyo 27,000/- bado ni wizi kwa sababu huwezi niuzia kitu halafu bado kibaki kuwa mali yako, TANESCO hapa muangalie upya mifumo yenu vinginevyo nguzo iwe ni huduma ya bure igharamiwe na tanesco wenyewe.
  4. LOOOK

    Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    Uko sahihi kabisa na hiyo kwa cement namba 42.5 angalau utoe tofali 35 zenye ubora wa hali ya juu kabisa ila kwa sement namba 32.5 angalau tofali 25 hapo utapata tofali zenye ubora wa hali ya juu na zisizo pukutika tena hasa kama unajenga nyumba yako binafsi usijibailie ili upate nyumba imara kabisa
  5. LOOOK

    Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    We jamaa mfuko mmoja tofali 45? Hizo tofali zitakuwa michnga mitupu
  6. LOOOK

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    We mtu mbona umemsakama mama una ugomvi nae?
  7. LOOOK

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Usaliti ulikuwepo tangu enzi na enzi vipande vya fedha vitamu ingawa ni ngumu sana kuvila kwa mtu mwenye uchungu wa dhati na taifa. Maada huduma nying zipo chini ya kiwango huku mabilion ya pesa yakitumika kuneemesha wanasiasa Ifike mahali CCM Kama chama mkichana huyo mwenyekiti wenu mlihurumie...
  8. LOOOK

    Msemaji wa Serikali amlipua Zitto Kabwe; Asema si sahihi kuchambua jambo moja pekee kwenye ripoti ya CAG

    nimemshangaa hata mimi kaulizwa swali la kitaifa yeye anajibu kisiasa kweli nchi hii tumelaaniwa nasijui tunatokaje hapa tulipo kwasasa hakyanani.
  9. LOOOK

    President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards

    fateni link hiyo ya lumumba fc ili mkamatwe kwa amani bwana.
  10. LOOOK

    CHADEMA: Tunavitaka vyombo vya usalama vyote vitekeleze kazi zake kwa weledi, wataja namba za kutoa Mchango kwa Lissu

    mie nawatakieni sherehe njema na muendelee kulaumiana kukosa shabaha hizo chenga zenu si rahisi kumuhamisha mtanzania kwenye mstari .
  11. LOOOK

    Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

    ndio maana nilishauri mkae kimya maana nguvu mnayo itumia vijana wa CCM kujiepusha na sakata hili naiona ni zaid ya hydroelectric mnatutia mashaka makubwa nyie watu naona mmekazana na wote hoja zenu zafanana 1. kiki 2. accacia naona karibu watetezi wa ccm woote hasa wa mitandao hoja zenu...
  12. LOOOK

    Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

    uko sahihi we endelea tu na sherehe yako ndugu hakuna wa kukuzuia, ila kizuri nikwamba kila nafsi ina wakati wake muafaka wa kuionja mauti
  13. LOOOK

    Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

    ninacho pongeza uumbaji wa mungu ni kwamba kila nafsi itaonja mauti hata ulindwe na majeshi 10000000000000000 , furaha yako leo kuna kilio soon kutakuandama maananwapo wanao lia leo huku wewe ukicheka, siasa na utu ni vitu viwili tofauti na hakuna nchi iliyo wahi pata maendeleo kwa kumwaga damu...
  14. LOOOK

    Zitto Kabwe: Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa

    kizuri ni kwamba kila nafsi itaionja mauti tofauti ni nyakati tu! na kama kweli hukumu ipo basi kila mmoja atajibia katika yale aliyo watenda wengine , mara nyingi mtu akisha patwa na baya huwa tunaanza na yule mbaya wake wa wazi na mbaya wa wazi kwa T.Lissu ni serikali hii , sikuwahi kusikia...
  15. LOOOK

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    baada ya ile ya kuwapakazia chadema wenyewe kugoma sasa mmekuja na hii ya kudai kuna mtu ana mchonganisha na rais ! CCM kwa kweli kama mungu kweli yupo na kweli hukumu ipo kwa hakika mikono yenu imeshika roho za wengi wasio na hatia.
  16. LOOOK

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    kama watu wanaweza kumuua ntu nchana wa jua kali basi huyu aliye chukuliwa kimya kimya nadhani anahesabiwa mbele ya haki mbele za mungu.
  17. LOOOK

    Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

    hebu niandikie jina la jiji analo liongoza makonda kwanza . maana inaonesha hata jinsi ya kuliandika huwezi.
  18. LOOOK

    Wauguzi wawili Manyoni wasimamishwa kazi kwa kusababisha mkono wa mtoto wa miezi minne kuoza

    wangekuwa ni walimu hapo nadhani thread hii had sasa ingekuwa na comment 700,000 na kati ya hizo 699,999 yangekuwa ni matusi na kejeli za kutosha kwa walimu Lakin kwa vile ni wauguzi naona watu wana toa comment za upole wakati uzembe huo umepelekea mtoto kupata ulemavu wa kudumu. coz wanaona...
Back
Top Bottom