Search results

  1. mbalaka

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unajaza uzi na screenshot bhana. Huna uwezo wa kuandika?.
  2. mbalaka

    Ukraine yaishambulia tena Crimea, milipuko yaripotiwa

    Really.. Tunaumia sana sisi hustlers.. Imejen kuna watu zaidi 9 wapo nyuma yako na wanategemea fungu kutoka mfukoni mwako😢
  3. mbalaka

    Ushauri kwa mabinti: Usikubali kuamuliwa na mtu, maamzi ya maisha yako yategemee furaha yako

    Kule kwa nchumba npya ni boda boda. Wewe, "umesafiri kibiashara. Ni lazima asimpende boda boda.
  4. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    😂😂 Kuna ukweli fulan juu kauli yako kuhusu mabikra. Ila jana nilimuuliza, akasema ana changamoto ya kifedha amezunguka sana kutafuta kazi lakini hakuna.
  5. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Msimamo wako ni upi kuhusu mimi?. Mbona unabadili badili maneno? Kwa hiyo Nipuuze madai yako ya mwanzo kuwa mimi ni kichaa na nichukue dai la sasa la kutojiamini?. Hutabiriki, unaandika chochote, uenda baadae ukaanimbia ndiyo maana nina miliki gari. Ikiwa mtu anakuchana LIVE kuwa wewe ni...
  6. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Kwani nimekataa kuwa nina kichaa?. Sijakanusha kuwa nina kichaa, nimekubali kuwa sina kichaa ila bado unasisitiza jambo lile lile, ama we mwenyewe uamini kuwa umeniambia nina kichaa?. Ukiwa unarudi jambo lile zaidi ya mara 3 hii inaonyesha ni namna gani ulivyo mwanamke mpumbavu. Nimesema hivi...
  7. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Imejen chief, kwa hali aliyonayo anataka anunue radio na si nguo ama viatu!.
  8. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Ndiyo maana simng'unyi maneno pale ninapowakabili wapumbavu.
  9. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Hivi ni kwanini guys wengi Jf uwa mnapoteza attention pale mnapokutana I'd za kike Jf?.. Yaan uoni chochote alichonikosea?unajua ni kwanini uoni chochote? Ni KWASABABU tu ni I'd ya kike ingelikuwa ni I'd ya kiume ungeliliona kosa lake. alikuwa na haja gani ya kuniambia PATHETIC kwasababu tu...
  10. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Wewe ni mpumbavu, kubaliana na huo ukweli kwanza ndiyo uandike kingine na swala la kiingereza Umeliingiza wewe si mimi. Ulipoandika pathetic ulijiona mjuzi kumbe ni coconut head tu na kucha zako za bandia umejificha nyuma ya keypads. Wakati neno PATHETIC limekughalimu miaka zaidi ya 14...
  11. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Sasa kaniambia kile kinasibu, hana pesa na ashazunguka kutafuta kazi lakini bado ni bila bila. Mimi pia nina shida ila nahisi huruma😔
  12. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Nimepata ujasili wa kumuuliza na amefungu
  13. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Itoe wewe hiyo tuition tuione. Huna guts ya kuandika sentence 3 za hiyo lugha.
  14. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Atimae nimemuuliza,nimeufanyia kazi ushauri wenu.
  15. mbalaka

    Nawezaje kumuuliza mtu ikiwa ni mwehu ama la bila ya yeye kujihisi offended?

    Me as seen through the eyes of this Idiot lady 😂😂😂😂🤣
Back
Top Bottom