Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni.
Mawasiliano yangu ni
0746685756
Nita update kila mara vinapoingia.
Tunafanya delivery na mkoani tunatuma.
Karibuni sana
Habarini ndugu zangu.
Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla.
Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
Habari ndugu zangu,
Nishaibiwa zaidi ya mara tatu kwenye uwizi wa majumbani na kutapeliwa lakini hili limeniuma la kuvunjiwa na kuibiwa vitu vingi.
Kwa uchunguzi wa awali nimegundua anaweza akawa mtu anaenifahamu. Nataka nitumie njia yoyote ile halali na haramu asili na ya kisasa nimpate hutu...
Haswa kwa wachumba wanaosubiria kuoana.si vizuri kuchunguzana lakini ni busara kutumia mbinu salama yoyote kujua kama ulienae ni mwaminifu kwako.
Hata kama umeolewa au umeoa ni mara nyingi sana unaweza ukahisi mumeo au mkeo sio mwaminifu ni vyema ukajua kama ni kweli maana mara nyingi si kweli...
Waswahili wenzangu hii tabia ya kwenda kwa mtu usiku bila taarifa yeyote halafu unategemea ule na mambo kama hayo, hivi unategemea watu wajiandaeje sasa?
Hivi kwa nini mnaendekeza hii tabia inayokera kupita maelezo? Kumbuka kupika chakula cha mtu mmoja ni gharama kifedha na pia inagharimu muda...
natafuta eneo la kuweka mgahawa kwa dar
mgahawa huo unasifa zifuatazo
utakua unatoa chakula classic ila bei affordable
sifa za eneo ambalo nalitaka
1.kuwe na parking
2.pawe pa kubwa usawa wa frem 3 au 4 za dar
maeneo ya riverside,mbagala,k.koo, na mengine ya uchaguzi
nawakaribisha wadau kwa...
Uchaguzi mkuu uliopita CHADEMA siha kuanzia sanya juu mpaka ngarenairobi walifanya dhambi zisizo sameheka, walitukana mpaka viongozi wa dini, manesi, madaktari wazee na hata wazazi wao ukionesha tu uko CCM.
Walivunja vioo nyumba za watu,toa upepo gari za watu na kutukana sana viongozi...
Kama humu JF na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa, changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu, ukiangalia wanavyojipambanua humu yaani full stress, kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.