Search results

  1. F

    Kwa kweli ni wakati muafaka wa rais Samia kuachana na Paul Makonda, taswira ya rais wetu inaharibika kwa kasi sana.

    Sina uhakika kama mheshimiwa rais Samia anafahamu taswira anayojijengea mbele ya umma wa Watanzania kwa kuendelea kumpa Paul Makonda nafasi katika serikali yake. Kwa kipindi kifupi tu cha wiki moja tangu Makonda ateuliwe kuwa RC wa Arusha, mtizamo wa watanzania kuhusu rais Samia umebadilika...
  2. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  3. F

    Makonda mafuriko ya Arusha yanakuhusu na tutakupima kwa hayo

    RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha. Jiji la Arusha lina changamoto nyingi na zinahitaji utendaji uliotukuka. Siasa za viongozi wetu zimekuwa zikituumiza kwani hazizai...
  4. F

    Mambo ambayo Makonda unapaswa kuanza nayo mara moja Arusha kama kweli unataka uonekane kiongozi bora

    Kwa kuwa wewe umejinasibu kama rais wa Arusha, basi uzingatie yafuatayo la sivyo hutakuwa na maana isipokuwa a political empty barrel. Kwanza hakikisha uwanja mpya wa mpira wa kisasa wa Olmotonyi unajengwa mapema kuanzia sasa la sivyo tutashindwa ku-host Afcon in June-Julay 2027. Pili...
  5. F

    Paul Makonda ni wazi hatadumu Arusha

    Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake. Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote. Kitendo cha kuingia Arusha na msafara mrefu wa magari ndio kosa lake la kuanzia katika ajira yake mpya. Tayari bila...
  6. F

    Watanzania mtashangaa Katibu Mwenezi CCM atakayeteuliwa leo, msihofu

    Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu! Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu ama kutoka Chini. Yatosha tu kusema hapa kuwa tumwombe Mungu tupate viongozi wazuri wenye kuweka...
  7. F

    Teuzi na tangua za Makonda ni wazi kuwa hafai ila kwasababu zisizoeleweka vizuri mamlaka zinajikuta zinamteua japo zinajua kuwa hafai

    Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa stahiki. Paul Makonda ni wale watu Waingereza wanawaita controversial figures, watu wenye mtafaruku...
  8. F

    Fazili amjibu Mhaya na kuna makubwa ya kujifunza katika mahojiano haya; siri za utajiri wa kimungu

    Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa. Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu. Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
  9. F

    Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  10. F

    Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

    Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida. Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi...
  11. F

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani. Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995. Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale...
  12. F

    Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

    Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
  13. F

    Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  14. F

    Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono. Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
  15. F

    Ali Hassan Mwinyi aungana na Julius Kambarage Nyerere kwenye utakatifu

    Tukubali kuwa wahenga hawa walikuwa watu wa kipekee sio kwasababu walikuwa viongozi wa nchi na watu wenye madaraka makubwa, bali kwasababu ya utu wao hata walipokuwa hawapo madarakani. Wahenga hawa wana mambo mengi yanayowafananisha lakini machache kati ya hayo mengi ni haya yafuatayo: 1...
  16. F

    Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

    Below are African countries with the highest beer consumption per capita: Rank Country Beer Consumption per capita Global Rank 1 Namibia 95.5 L 6 2 Gabon 67 L 25 3 South Africa 60.1 L 28 4 Democratic Republic of the Congo 54.8 L 35 5 Kenya 12 L 52 6 Tanzania 8 L 57 7 Uganda 6 L 58
  17. F

    Tunawaomba CHADEMA walete maandamano wilayani ili sote tushriki; tumechoka na hali ngumu ya maisha!

    Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira. Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
  18. F

    Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  19. F

    Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  20. F

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
Back
Top Bottom