Search results

  1. Mwakabizzle

    Kazi Sina, Nazidi Kuchelewa Kuoa...

    umeongea vitu vya msingi sana mkuu we unadhani ni msichana gani atakayemkubali mwanaume asiye na kazi? kwa kweli ni ngumu sana kwa dunia ya sasa hivi coz mara tu unapomuapproch msichana swali la kwanza ni unafanya kazi gani na wapi?
  2. Mwakabizzle

    kazi kazi...usichague

    ha ha ha ha ha aaaaa....! yaan sikuwa mpango wa ku-log in wakati napitia hii page lakini hii post imwenifanya ni-log in 2 kwa kweli...., kuna watu wana vituko sana humu ndani aisee!
  3. Mwakabizzle

    Naomba kufahamu zilipo ofisi hizi

    Tusaidiane wakuu, Naomba kujuzwa ilipo ofisi za Unique Consultancy Service na ninachojua ni kuwa wapo kwenye jengo la New Red Cross Building ila tatizo ni kwamba sijui maeneo lilipo hilo jengo na linatazamana na jengo gani au ofisi gani itakayonisaidia kutambua kwa haraka..... Na pia naomba...
  4. Mwakabizzle

    Msaada wakuu!

    Heshima mbele wakuu wote hapa jamvini..... naomba msaada wa kujua ilipo ofisi ya Dour Tanzania Company Limited,ninachofahamu ni kwamba wapo mtaa wa samora ila sijui jengo ilipo hii ofisi linaitwaje au ipo mkabala na jengo gani Sio mbaya pia kama mtanisaidia ilipo ofisi ya HR Solutions Ltd...
  5. Mwakabizzle

    TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    Kila la kheri wakuu mtakaoitwa kwa ajili ya interview.....
  6. Mwakabizzle

    Ugumu wa kupata ajira unatokana na chuo ulicho soma au?

    tunataka watu kama wewe humu ndani.....,tuwekee hizo info na sisi tujitengenezee comfidence...
  7. Mwakabizzle

    Walioapply accessbank tabora

    wakifungua tawi kilimanjaro hata mimi nita-apply.........
  8. Mwakabizzle

    Hakuna kazi nzuri! Kazi nzuri ni ushapu wako tu kujiboreshea mazingira!!!!!!!

    ha ha ha aaa haha aaa.....,nashukuru sana mkuu yaan umenipa somo zuri sana lazima nizingatie yote haya
  9. Mwakabizzle

    Upatikanaji wa Kazi

    ha ha ha ha a a ha......mkuu umenifurahisha sana
  10. Mwakabizzle

    Maswali ya written utumishi??

    watu wanauliza maswali ya msingi then wewe unaleta utani
  11. Mwakabizzle

    zoom@Tz NIMEWAKUBALI

    hapo kwenye red tu mkuu...umenifurahisha sana kutambua mchango wake kwenye maisha yako......in fact ukweli ndio huotu hamna lingine sasa kama haamini ajaribu kutumia nguve zake na akili zake mwenyewe aone kama hujakaa benchi mpaka mwisho wa msimu wa kutafuta ajira...!
  12. Mwakabizzle

    Msichana wa marketing anaitajika

    ivo ivo......!
  13. Mwakabizzle

    Msaada wa haraka kwa huyu kijana wa four aliyepata matokeo jana tare 18.02.2013.

    nimeipenda hii....! umefikiria kitu cha msingi sana...... maana isije ikawa wanamlazimisha kusoma kumbe yeye anataka ku-act bongo movie....
  14. Mwakabizzle

    Kazi ppf

    haya ndio mambo tunayoyalilia na kuhuzunika kila siku.....kwa nini wanatufanyia hivi lakini...?au sisi watoto wa masikini hatustahili kuajiriwa katika mashirika kama haya..?hawajatangaza hizi nafasi kwenye chombo chochote cha habari wakati kwenye hilo tangazo inaeleza kuwa hizo nafasi ni kwa...
  15. Mwakabizzle

    Ushauri jaman, sijui nirudi kijijini

    umeolewa?ili niangalie kama naweza kukusaidia!
  16. Mwakabizzle

    Spea za kompyuta/laptops

    nahitaji RAM ya laptop HP-COMPAQ nx0910 (DDR1 either 512MB or 1GB ) nitapata kwa sh ngapi? naomba bei kwa kila size hizo! gb
  17. Mwakabizzle

    Sabuni! Sabuni! Sabuni!

    Wakuu wote katika jukwaa hili heshima kwenu! mimi ni mjasiliamali mdogo niliyeamua kujiajiri baada ya kuona kazi za kuajiliwa zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mimi najishughulisha na utengenezaji wa sabuni za maji katika kiwango kizuri na ninaamini ukiitumia utaifurahia sana. Sabuni hizi ni...
  18. Mwakabizzle

    Msaada wakuu!

    wakuu heshima mbele, naomba msaada wa kujuzwa zilipo ofisi za Proactive Employment Service (PES) namaanisha kituo cha kushukia pamoja na jengo waliopo linaitwaje,natanguliza shukrani wakuu!
  19. Mwakabizzle

    S one recruitment and hr consultancy ltd

    Ofisi zenu ziko maeneo yapi,jengo gani,weka taarifa zote mkuu.Mnapokea CV au?
Back
Top Bottom