Search results

  1. Elly Andrew

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Naomba kufahamishwa kozi ya Geographical Information System (GIS) soko lake likoje?
  2. Elly Andrew

    Bila waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Yaani wewe akili yako huwa inawaza kuokota tu.... Ndio mwisho wa kufikiri kwako
  3. Elly Andrew

    Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

    Pumbavu kabisa kumbe mmekubali kuwa mmehongwa....
  4. Elly Andrew

    Singida ni Mkoa Maskini sana. Yaani Mwaka Mzima TRA inakusanya Bilioni 11 tu

    Lengo la kuwa MKOA ni kurahisisha utawala na SI kupata mapato. Mtuache tunaendelea na maisha yetu tumezoea...!!
  5. Elly Andrew

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wanadamu na magonjwa Bado havina sehemu ya kumzuia Mungu kukusamehe na kukuponya. Mwamini Yesu
  6. Elly Andrew

    Yanga acheni kuhangaika na Feisal, ni ushamba

    Tatzo mkataba.....overr
  7. Elly Andrew

    Azam Media na hadaa za heri ya Christmas na mwaka mpya

    Heri ya SIKUKUU na mwaka MPYA.........yaani Neno KRISMAS linaogopwa maana linaweza kuwabadili watu nafsi zao wakamgeukia Mungu wa kweli, YESU KRISTO
  8. Elly Andrew

    Putin aziponda Patriot missile air defense, asema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo

    Hivi unafikir marekani ni wajinga kuitamka silaha wanayoipeleka? Watapeleka huenda na zingine ambazo hawajazitamka.......vita inapiganwa Kwa akili pia.
  9. Elly Andrew

    Narudia tena, Mafundi gereji msipojiongeza mtaishia kutengeneza gari za mwaka 90

    Tupo serious na comedy, udaku na kucheka watu wanaokosea....
  10. Elly Andrew

    Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

    Kama lengo ni kutapeli watu basi umeshafeli, Tiss hupikwa wakapikika hawez kuja hapa kuandika rubbish....Peace of mind ni nini? Hapa maskin Hana peace of mind.
  11. Elly Andrew

    World Islamic Cup, 2022 Qatar

    Hapo Kwa kweli sioni dini, Bali naona maadili mema kabisa.....hata mm mkristo nakubaliana na Qatar. Leo hii wakristo tumekuwa watu wa ajabu Sasa tunafundishwa misimamo ya kiimani na Waislamu, sisi tumebaki tunachezacheza na comedy za dini. Tumeanza na kusapoti mambo ya kijinga sana
  12. Elly Andrew

    Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

    Mimi Huwa napunguza mwendo then nakeep left, Kuna wakati nilikuwa na gari flan hiv ilikuwa na full Moja Kali Sana utafikir spotlight, lazma anayekuja akubali kupunguza ndio tunaenda sawa
  13. Elly Andrew

    Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Bongo hii comedy ni muhimu Sana, tuache tufurahie nchi yetu
  14. Elly Andrew

    Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    Wahudumu wao kuhusika kuokoa ni sehemu ya eneo lao la KAZI na Wana mafunzo. Na ilibidi kuokoa ili na wao wawe salama. Lakin dogo majaliwa ni mtu asiye na mafunzo na Bado angeacha asingekuwepo wa kumdai. Alijotolewa pasina msukumo wa kutaka na yeye kuokoka.
  15. Elly Andrew

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Shida ni mfumo wA Elimu, Kwa maana ya Mtaala hauruhusu kufikiri, isipokuwa uwezo wa kumbuka ndiyo kipimo Cha akili. Ukiweza kukariri hapa bongo utafanya vizuri Sana. Elimu imekuwa paper oriented
  16. Elly Andrew

    Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

    Sindano kuangusha treni, Elimu ni Bora kuliko Pesa, Mwanamke ni tabia kumbe hata muonekano unamata,
Back
Top Bottom