Search results

  1. topper

    Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

    Wheel balance hiyo Baba kesi inaisha na huyo fundi nnyaa kabisa
  2. topper

    TPA yakamata dhahabu yenye thamani ya milioni 500 katika bandari ya Dar

    Upimbi tu huu, tuna uhakika gani kwamba ndo hizo kg6 tu ? Hiyo abdala vunga tuu
  3. topper

    Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Jeshi lolote ni uniform lakin Utu,hekima na busara ni hali ya mtu, msipo Tumia hivi vyote vitawakosti. Msijione hii nchi ni yenu. Go to hell
  4. topper

    Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Endeleeni kutujaza nyongo tu, iko siku itamwagika na hamtoamini machoni mwenu...sio mawahini,wauwaji ni ishu ya uchochezi ndio habari ya mjini...shame on you
  5. topper

    IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Kikulacho' ki........ni mwao... Eeeeh! Mwenyezi mungu damu zilizomwagika, zisizo na hatia zisiwaache huru wote waliohusika. Naamini majibu yote yatapatikana. AMINA.
  6. topper

    Fursa ya biashara wilaya ya Sengerema

    Thanks, je ni sehemu gani mwanza naweza kutembelea hivyo viwanda kwa ajili kupata ushauri zaidi?
  7. topper

    Fursa ya biashara wilaya ya Sengerema

    Wapendwa wadau, Niko Sengerema ni mwezi sasa, nahitaji kujua fursa nyeti zitakazoweza kuniingizia kipato iwe ni ya gari, kilimo na hata ujasiriamali. Naomba mawazo yenu wana JamiiForums.
Back
Top Bottom