Search results

  1. S

    Bendera ya- Tanzania Kupeperushwa nusu mlingoti

    Kufuatia kifo cha Dictator Gaddafi serikali kupitia Waziri Membe itapeperusha bendera ya nchi nusu mlingoti. Hili jambo linanichanganya kidogo, ni kwa heshima gani aliyostahili Gaddafi kupewa hadi bendera ipepee nusu milngoti? Dunia nzima inajua kwamba Gaddafi alikuwa Dictator amehusika na...
  2. S

    Uchimbaji Uranium na kizungumkuti cha uzalishaji Umeme

    Lile jinamizi la mikataba feki hapa Tanzania inaonekana halitakaaliishe, kutokana na ubabaishaji unaosababishwa na serikali legelege. Pamoja na serikali kukaa kimya kuhusu uchimbaji wa madini ya Uranium hapa nchini kuna taarifa kwamba madini haya yalianza kuchimbwa hapa miaka mingi, lilikuwa ni...
  3. S

    Raisi Mseveni katinga Ikulu Magogoni wakati Tunauchaguzi Mbunge na Madiwani.

    Raisi yoweli wa Uganda inasemekana amewasili nchini, kwa ziara ya kushitukiza. Jambo la kujiuliza inakuwaje anatia timu wakati huu ambapo Taifa liko kwenywe uchaguzi wa Ubunge na Madiwani, je wanaJF hamuoni kuwa JK anapanga stretagies za kuchelewesha kuruhusu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi...
  4. S

    Mlima Kilimanjaro - Umetapakaa Vinyesi vya Watalii na Poters

    Bunge limeelezwa kwamba, ni jambo la kushangaza sana kuona mlima Kilimanjaro umetapakaa vinyesi vya wazungu na wale wapambe wao ( pouters). Akichangia katika hotuma ya Wizara ya MALIASILI na UTALII mheshimiwa Mbowe aliweka hilo hadharani, kwamba TANAPA licha ya kukusanya $40 Milion lakini...
  5. S

    Wakulima wa pamba tanzania wameliwa kekundu!!

    Tangazo lililotolewa na Serikali la kupandisha bei ya zao la Pamba nchini kwa musimu huu, kumbe ilikuwa ni kuwapa matumaini hewa. Tangazo hilo lilitolewa Kasulu bei ya pamba ingekuwa ni sh.1,100/= kwa kilo, Waziri Mkuu juzi Bungeni alikana live na kufuta kauli hiyo ya Serikali na kuwataka...
Back
Top Bottom