Search results

  1. MARCKO

    BBC Swahili Tumewachoka!

    "wananiudhi sana hawa wapumbavu malofa wanaohama chama'" ccm hoyeeeeee
  2. MARCKO

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Ngoja nayeye aingizwe kwenye Tanuru la kutenngenezea wanaharakati wakweli....... ili akomae! mie sina wasiwasi wowote!
  3. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    now what to do!
  4. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    tuendelee kuvumilia hadi lini?
  5. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    kweli hawachelewi kumtuhumu Lema
  6. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    yaaaani hadi hasira
  7. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    mid sio mkazi was jiji LA Arusha
  8. MARCKO

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    1. Mnakula mishahara bure. 2. Mnajiita watumshi bure. 3. Mnafurahia kuendesha magari ya wananchi bure. 4. Mnafurahia kukaa kwenye ofisi zawananchi bure 5. Mnafurahi kutajwa kwa vyeo vikubwa wakati mmebeba matikiti (sorry) eti Meneja, Mkurugenzi, Mtaalamu..uchwara. Mnatesa wananchi maana...
  9. MARCKO

    Beatification of Lowassa starts here

    Mie sikusikia live ila waliosikia na kushuhudia wanasema aliambiwa ''kuna kitu ukirekebisha utakua kiongozi mkubwa'' yeye jamaa kakozea tena anaingia urais kupitia ccm aaah!
  10. MARCKO

    Kwanini kinyesi cha binadamu hakitumiki kama mbolea?

    nimecheka hadi nikasahau kwamba junakikao cha mafisadi Idodomie
  11. MARCKO

    Kupwa, kujaa na kuhama kwa maji ya bahari

    Namna ya kukujibu inategemea wewe ''client'' ni wa kiwango gani cha elimu!
  12. MARCKO

    Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

    Na they change kiswahili kinakua cha kibongobongo hata kama mtu kakaa wiki moja Dar
  13. MARCKO

    Utafiti: Nchi 10 tajiri bara la Afrika, Nigeria waongoza

    Waache watanzania waendelee kunyonywa maana hawaoni na hawasikii ushauri? Wanaambiwa kilasiku nilazima kubadili vyama ila hawataki? Achananao bana!
  14. MARCKO

    Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

    Noma sana!
  15. MARCKO

    Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

    Mmeshafanya naye practical ya Biology? Maana nimesoma Psycology, nimegundua kuna ukuaribu ambao umeutamani sana, hata kama sio sasa inawezekana ikawa siku zilizopita! Na uko tayari ndiomana,,,,,,,''simu yangu hapokei''
  16. MARCKO

    Chuo cha tropical Arusha kiko vipi?

    Poleni na maisha magumu wandugu! Naomba kufahamishwa hadhi ya chuo cha Tropical Arusha, kilichopo chini kidogo ya Clock Tower kuelekea Kijenge. Je, ni vya uswazi au? Je, kimesajiliwa? Je, kinaweza msababishia muhitimu kupata kazi? Ahsante!
  17. MARCKO

    Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Flora mbasha ni mnafiki! Alimuimbia kikwete kwenye kampeni Shegh Amri Abeid Arusha. Eti leo anaimbia CDM mie msimamo wabgu nasema simtaki
  18. MARCKO

    CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    Fisiemu ni nansesi kweli
Back
Top Bottom