Search results

  1. I

    Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

    Hivi huo nao mnajisifu mmeshinda baada ya kushindana!!!!!!!!!!!Kujitangazia ushindi wamezani ndio kushnda!!!!!Nyie jidanganyeni sana.
  2. I

    Mkuu wa Mkoa Mh.Ana Mghwira ahoji kwanini askari wa kudhibiti maandamano walikuwa na silaha za moto.

    Ukweli ni kwamba wengi walioko ndani ya system wanakerwa na washtakiwa na dhamira kuendelea kuunyamzia unyama na uovu unaoendelea lkn wanakuwa waoga kusema.Lakini iko siku na haiku mbali wataamua kusuka au kunyoa na ndipo tutakaposhuhudia hapa yakitokea yale yaliotokea Zimbabwe na Afrika Kusini.
  3. I

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Mkuu nilitaka kukuamini jinsi ulivyo anza,lkn akili zangu zimeshindwa kukuvumilia. Hivi tofauti na kundi la"WASHEREHESHAJI WA MFALME" ni kundi gani sasa hivi ktk nchi hii lianafurahia shughuli halali inayojishughulisha nayo au kuwa na uhakika wa kitakachotokea kesho.Si mfanyakazi wa kutegemea...
  4. I

    Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

    Aseme tu ilikua bange!
  5. I

    CCM na Serikali inajifunza nini kwa Kenyatta kumruhusu Odinga kuapishwa? Wao hawana intelejensia kama ya kwetu

    Nimeipenda hiyo ya Kenyatta mbae ndio rais halisi kuruhusu aapishwe Raila kuwa rais faki ndio ionekane nguvu ya halisi na fake ikoje!
  6. I

    Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

    Mkuu nashukuru umemkemea huyu age mate wangu kwani nimemwonea aibu!
  7. I

    Kwanini binadamu ukiwa maskini unadharaulika na ndugu,jamaa na marafiki!!

    Ki kubwa tu ni kupambana kutafuta hela maana kwa dunia ya sasa ndio heshima!Halafu ukute basi huna hela na pia elimu ya kueleweka huna,hii dunia ni chungu!
  8. I

    Utawasimulia Nini Wajukuu Zako?

    Huu ndio ukweli au maana ya kuishi ktk dunia hii ya Mungu,ila tegemea michango michache sana na haswa kwa vijana wetu waishi kwa kutegemea zali la "MENTALI"Tena wasio na msamiati wa SUBIRA ktk ufahamu wao!Ila tuschoke kukumbushana haya pale tupatapo fursa na nafasi ili pia iwe sehemu mojawapo ya...
  9. I

    Mama Mkwe wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi. Nimemwambia jamaa yangu ushauri wake...

    Haya huwa hutuyaleti huku!Unamwangusha best man wako sasa!
  10. I

    Nimepanga kutomgusa mke wangu kimwili

    Fikiria mwisho wa uamuzi wako kabla ya kuanza utekelezaji!
  11. I

    Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

    Hao wote hawahami eti kwenda kuwatumikia watz,bali ni kwa maslahi binafsi,ikiwemo kushibiswa hayo matumbo yasiyo jaa,kujihakikishia ulinzi wa yale waliyopora kwenye awamu zilizopita na kutegemea kuendeleza uporaji wakiwa huko!huyu mzee kajittajirisha sana huko chukua chako mapema na sasa...
  12. I

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Inatia hasira sana hawa wanasiasa wanojiona wasomi kuwafanya watanzania kuwa hawana akili kiasi hicho cha kushindwa hata kuangalia picha hata kama hawajui kusoma!
  13. I

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    BIG SHAME ON THEM!!!!!!!!!!!!!
  14. I

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Sasa akae kusubiri wilaya atakayo pangiwa mana ashateuliwa alikuwa anasubiriwa tu apokelewe rasmi!
  15. I

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Wasaliti wawili wakiapishana!Wasaliti wawili waliosaliti nafsi zao,dhamira zao na watanzania kwa ajili ya tumbo zao.Halafu ni vijana wadogo tu ambao vijana wenzao waliweka matumaini yao makubwa kwao kuwa wamepata viongozi wa mfano mzuri wa kuigwa kumbe ni makahaba tu wa kisiasa!
  16. I

    Mpaka kufikia tarehe 31 Desemba, Magufuli atawaacha midomo wazi

    La kubaki midomo wazi kwa kuua upinzani ili asipatikane wa kumksoa?Ni nchi gani ktk dunia ya sasa inakosa wazo mbadala kama si uoga!Kila siku kutumia raslimali na kodi za hao wanao danganywa kuwa wanapendwa kupendwa kwa unyonge na umasikini kununua watu na kurudia uchaguzi bila kutumia hiyo hela...
  17. I

    Tuliowahi kutongoza mademu mijeda wakiwa kwenye gwanda tubadilishane uzoefu

    Hawa watu wana adhabu za ajabu kweli!Kuna jamaa aliwahi pewa adhabu ya kushusha kokoto lori nzima kwa kuokota moja moja kama punje za mahindi!na waligombania tu dem mjini!
  18. I

    Tuliowahi kutongoza mademu mijeda wakiwa kwenye gwanda tubadilishane uzoefu

    kama kuna askari mwenzake ana mahusiano nae,jiandae kufyeka nyasi kwa meno kuzunguka hiyo kambi!wanakuaga na umoja sana hasa wanume!
Back
Top Bottom