Search results

  1. hyassin92

    Ndugu zangu watu wa dodoma , msaada mishe za kufanya

    Wasalaam wandugu, toka nimalize chuo mwaka jana , niko tu natanga tanga, na kibachela changu cha education history and geography, tafuta mishe wapi, kwakuwa hii ni jamii forum naamini, wana DODOMA WANWEZA NIFANYIA JAMBO.
  2. hyassin92

    Msaada kituo cha kurudia mtihani wa form four, DODOMA

    Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, Naomba kufahamu kituo/Vituo vya kurudia mtihani wa form four, hapa DODOMA CC
  3. hyassin92

    Kuna tofauti ya Machinga (matching Guys) na wahuni walio kwenye hifadhi ya barabara

    Nashangaa sana watu wanaobeza juhudi za serikali kuwatoa wahuni waliokuwa katika hifadhi ya barabara kwa kujifanya machinga, hali ya kuwa machinga ni watu wanaotembeza vitu. Wale ni wafanya biashara wasiolipa kodi, technical ni wajanja janja tu, ukiende miji iliyoendeelea huwezi kuta watu wako...
  4. hyassin92

    Msaada napata maumivu ya pua

    Ni siku ya nne sasa, kila nikishika pua upande wa kushoto nasikia maumivu makali mno, nashindwa kuelewa ni tatizo gani kwa kweli. Msaada tafadhali
  5. hyassin92

    List ya series zilizopo Telegram

    Kill the boredom 1. Money Heist Season 1 - 4 2. Ozark Season 1- 3 3. Sex Education Season 1 – 2 4. Power Season 1- 6 5. The Mentalist Season 1 - 7 6. Altered Carbon Season 1 - 2 7. A Million Little Things Season 1 8. All or Nothing Manchester City Season 1 9. Almost Family Season 1 10. Boston...
  6. hyassin92

    Nikimaliza chuo

    Nikimaliza chuo staki kuajiriwa ntafanya mishe zangu.. MISHE ZANGU:[emoji116][emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hyassin92

    Leo nimeota kuwa...

    Leo nimeota eti [emoji830]COSTECH wameitwa vijana 500 brilliants wamepewa Task ya kuandaa ICT system ya kusomea. [emoji830]JWTZ/JKT wameanza kutengeneza Masks kwa kushirikiana na TBS zigawiwe nchi nzima free [emoji830]Chuo cha Afya Muhimbili kimeanza utafiti wa dawa za kupunguza makali ya...
  8. hyassin92

    Vile Roho Ina Muuma Mdada Aliyepoteza Usichana Wake Kwa Ajili Ya IPhone 6 Na Sas

    Vile Roho Ina Muuma Mdada Aliyepoteza Usichana Wake Kwa Ajili Ya IPhone 6 Na Sasa Kuna IPhone 11 Pro Sijui Utapoteza Nini Tena Zaidi Ya Uhai...[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hyassin92

    Tanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe

    Tanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hyassin92

    Maisha hayana formula

    Biogenesis inasema “Life of living things originate from Living things” wakatoa mfano wa Reproduction Lakini wakasema pia “Sometimes Life comes from Non living things” Wakatoa mfano wa Mkusanyiko wa taka mbichi zinaooza na anapatikana FUNZA (UZI MFUPI) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hyassin92

    I find this to be very interesting

    *I find this to be Very interesting and meaningful message 2 share*:- ```IF: A = 1 B = 2 C = 3 D = 4; E = 5 F = 6; G = 7 H = 8; I = 9 J = 10 K = 11 L = 12 M = 13 N = 14 O = 15 P = 16 Q = 17 R = 18 S = 19 T = 20 U = 21 V = 22 W = 23 X =24 Y = 25 Z = 26.``` *THEN,*...
  12. hyassin92

    Hivi uliachwa na Mpenzi wako kwa sababu gani?

    1. Bahiri 2. Unamfuatilia Sana 3. Humlidhishi 4. Hauna Upendo wa kweli 5. Hauna Care 6. Hauna Gari 7. Sio Type yake 8. Uliamka Asubuh Ukakuta Umeachwa 9. Hauna Hela 10.Yote Ni Majibu Tujuane Tulio achwa kwa sababu Za Kijinga [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hyassin92

    Nani ajuae kesho

    Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri Q-Chilla alijulishwa kuhusu purukushani hizo, na alipoenda akasema aruhusiwe kuingia na apewe...
  14. hyassin92

    Kama uko hii mikoa

    JAMBO ARUSHA[emoji870] JAMBO MWANZA[emoji870] JAMBO DODOMA[emoji870] JAMBO MBEYA[emoji870] JAMBO GEITA[emoji870] JAMBO KIGOMA[emoji870] JAMBO NAIROBI[emoji870] JAMBO KAMPALA[emoji870] JAMBO LUSAKA[emoji870] JAMBO PWANI[emoji870] JAMBO IRINGA[emoji870] JAMBO TANGA[emoji870]...
  15. hyassin92

    Ma sister wa catholic church wapata mimba

    Catholic Church investigating two nuns who returned pregnant after missionary trip to Africa ==== The Catholic Church launched an investigation into two nuns who took a vow of chastity, yet returned to Italy pregnant after a missionary trip, according to reports. The...
  16. hyassin92

    Hii ndo sababu inayopelekea wadada wengi kwenda kuombewa kupata wachumba

    12:00 Nakuja 13:00 Ndio naoga 15:50 Navaa nguo 17:40 Ndio natoka 18:30 Nipo kwenye bajaji 19:20 Babe sitakuja mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja Halafu ikifika miaka 38 hujaolewa unaanza kuwasumbua wakina Mwakasege, Gwajima, Mwamposa, Lusekelo Na mama Rwakatare.
  17. hyassin92

    Kesho tajibu maswala magumu

    Kesho najibu Maswali magumu magumu Mf :- -Zaidi ya Ngono mwanamke ana nini cha ku-offer? -Unampa mwanaume kila kitu bado anakuacha, hizo kilakitu ni zipi? -Kwanini ni muhimu kuwa na Viwango vya juu na mwiko kuvishusha? Usikose[emoji27]
  18. hyassin92

    Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini Tanzania

    1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/ Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6...
Back
Top Bottom