Search results

  1. O

    Natafuta mchumba

    Hello! Naitwa Mary ni binti wa miaka 28 na ni mkristo, nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya laboratory science and technology lakini bado sijapata ajira. Nilidumu kwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya miaka 6 lakini tuliachana mwaka jana kwasababu binafsi kidogo. Natafuta mchumba mwenye umri...
  2. O

    Natafuta mtu anayeweza nifundisha jinsi ya kutengeneza furniture za kisasa

    Habari wakuu,,natafuta mtu anayeweza nifundisha jinsi ya kutengeneza furniture za kisasa ikiwemo royal sofas,coffee tables n.k,,,nimehangaika nimekosa nimeona nilete hapa kwenu wakuu ASANTENI
  3. O

    Natafuta kijana alobobea kwenye capentry na finishing ya capentry

    Za leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali nipo dodoma,ninataka kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza furniture za kisasa lakini sina uzoefu wowote,,,,nataka kijana anayejua kutengeneza sofa za kisasa,coffe table,vitanda vya kisasa n.k,,,,,,km unauzoefu huo na ulishawahi kufanya tafandhali acha no...
  4. O

    Natafuta kijana mwenye nia ya biashara

    Za leo wakuu, Nimefungua biashara ya chipsi maeneo ya UDOM( Dodoma),nimenunua kila kitu pamoja na kulipa gharama ya frame miezi mi4,,,Sasa tatizo linakuja sina hela ya viazi na mafuta,,Kwahiyo nataka kijana mwenye hela ya viazi(40000) na mafuta(18000) na vitu vidogodogo (20000) na mimi nitampa...
  5. O

    Nahitaji mkopo wa laki na nusu

    [emoji12]
  6. O

    Sehemu gani kwa mbeya inayolipa kwa biashara ya chakula

    Za leo wa ndugu,mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,,Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,,nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya chakula,,sasa tatizo linakuja sijui ni mahala gani pazuri pa kufungua mgahawa wa chakula na chipsi Kwa...
Back
Top Bottom