Search results

  1. Jackwillpower

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Lewis Hamilton hayupo Kwenye haya mashindano?
  2. Jackwillpower

    January Makamba: Papa Fransis Amualika Rais Samia Vatican

    Hujui system ya dunia inavyoendeshwa,kila Rais anatakiwa aonane na papa au mwakilishi wa papa/katoliki , Papa ndiye raisi wa Dunia
  3. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Nimezungumzia hawa matapeli kama mwamposa Ndio maana alipoua kule Moshi ,alikimbia na Serikali ikamlinda ,ile kesi iliisha kimyakimya
  4. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Usichojua now days ,Shetan anafanya kazi tofauti na zaman, waganga wakienyeji ndio hao kina mwamposa, Suguye, Bushiri, Geo Devi, na matapeli wengine , now days hawajipaki masizi Bali wanavaa suti, Shetan sio mjinga na mpumbavu, yupo kwenye hii dunia zaidi ya miaka 6000, Masharti ya sangoma...
  5. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Huwez kuwa tapeli mkubwa TZ bila baraka za Serikali Ukitaka kuwa nabii au mtume hapa tz upige hela inabidi ufike serikalini ,ili wakulinde likitokea lakutokea
  6. Jackwillpower

    Leo nimemkumbuka rafiki yangu aliyetumia ujinga wa watu kama mtaji na fursa

    Mwamposa, Suguye, Bushiri,Geo Devi, na manabii wote tz ni matapeli na wezi
  7. Jackwillpower

    Jamani, tuweni makini na wanaojiita manabii

    Kwa mwandiko huu Sasa naelewa kwanini mwamposa, Suguye,muda,geo Devi,na matapeli wengine wanazidi kuwapiga pesa
  8. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Aweke hivo adakwe Kwani mwamposa ni mjinga kiasi hicho Anachofanya mwamposa ,ni utapeli
  9. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Umeshakuwa msukule wa mwamposa Jambo la ajabu, la kuchukiza, imetokea katika nchi hii! Manabii wanatabiri uongo, na makuhani wanatawala kwa msaada wa hao; na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo. Nanyi mtafanya nini mwisho wake?” (Yeremia 5:30-31). “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa...
  10. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Sio lazima anaitapeli mm , nimeshuhudia akitapeli watu Hakuna maandiko yanasema watu wauziwe maji na mafuta kama yapo yalete Halafu miaka yote ,huyo Mungu wake ana limitations ,kwamba vilema wakuponywa ni wale wenye miguu miwili tu [emoji1787] Wasio na miguu au iliyopinda hawawezi kuponywa...
  11. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Mwamposa ni tapeli wakutupwa Kwanini haponyi vilema wasio na miguu miwili au mmoja
  12. Jackwillpower

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Sheikh Sharifu Majini ,ameshatapeli wengi sana
  13. Jackwillpower

    Mbinu alizokuwa anatumia TB Joshua kugushi miujiza ndizo zinazotumiwa na Manabii nchini kwetu

    Kwa mwamposa nimeshafika pale ni full utapeli Jamaa anaponya vilema wenye miguu miwili tu wanaochechemea ,yaan Usanii mtupu Uneshawahi kuona mwamposa anaponya kilema asiye na mguu?
  14. Jackwillpower

    Mbinu alizokuwa anatumia TB Joshua kugushi miujiza ndizo zinazotumiwa na Manabii nchini kwetu

    Hata uchafu wa Daudi ,Suleiman umekuja kuandikwa baadae sana baada ya wao kufa na tunausoma Leo kwenye maandiko
  15. Jackwillpower

    Mbinu alizokuwa anatumia TB Joshua kugushi miujiza ndizo zinazotumiwa na Manabii nchini kwetu

    Mwamposa anatumia trick sana kutapeli watu, uzuri anakula na serikali ndio maana hamulikwi
Back
Top Bottom