Search results

  1. Khalu

    Tufundishane misamiati ya Kiswahili

    Habari za jumapili wanajamvi, Natumai mkopoa kabisa, sasa hebu leo kidogo tuangazie lugha yetu. Japo kiswahili ni lugha yetu, na tunaizungumza kila siku, ila kuna maneno mengi ambayo hatuyatumii sana/kabisa, katika mazungumzo yetu ya kila siku. Na meneno haya yamebaki tu kwenye kamusi na...
  2. Khalu

    Pilipili ina raha gani?

    Habari za muda huu Kama kichwa kinavyosema. Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani? Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku ni kujitesa, halafu unakuta kuna mtu haoni raha ya chakula bila ya pilipili. Hivi mnasikia raha...
  3. Khalu

    Hivi ni sahihi kwa wanajeshi kuwaadhibu raia?

    Habarini wanajamvi. Nadhani sote tunafahamu habari za hawa jamaa, na huwenda kuna watu walishapata kukumbana na kasheshe la hawa jamaa. Japo watu huwa wanahadithiana stori za hawa jamaa kama mambo ya kawaida lakini kiuhalisia hawa jamaa huwa wanaadhibu raia. Mifano ni mingi, hata mimi...
  4. Khalu

    Kwanini tunachekana pale tunapokosea kuongea kiingereza?

    Wakuu salaam. Hebu tujadiliane suala hili kidogo. Kama tunakubaliana si kila anayezungumza vizuri kiingereza ni msomi, na si kila asiyejua kiingereza ni kilaza, sasa kwa nini tuchekane pale tunapokosea? Ni kweli kiingereza ni ligha ya kimataifa, ambayo ni muhimu kwa mtu kuifahamu. Lakini...
  5. Khalu

    Tusijisahau, hatauiagi Corona bali tunayaaga yale yaliyoletwa na Corona

    Wakuu salaam, Kwa mujibu wa viongozi wetu ambao wanafahamu mwenendo wa ugonjwa wa korona nchini wanasema maambukizi yamepungua. Hivyo yamepungua lakini ugonjwa haujaisha, hata kama ungekuwa umeisha basi hatuna pakukimbilia maana umetuzunguka. Kwahiyo, kama ni hivyo, hii send-off itakayofanyika...
  6. Khalu

    MIMI: Hivi ni kweli kupenda kutumia sana neno hili ni ishara ya ubinafsi?

    Wakuu salaam. Natumai mko vizuri,mkiendelea na majukumu mbalimbali. Kama kichwa cha mada kinanyosema. Hivi ni kweli mtu anayependa sana kutumia neno "mimi", katika mazungumzo yake, ni ishara ya kuwa ni mbinafsi?
  7. Khalu

    Je, una mtazamo gani juu ya hili?

    Wakuu salaam. Wakuu nimeona nishee na nyinyi hili tukio. Kuna siku moja nikiwa maeneo ya Mbagala nikitembea pembezoni mwa barabara kuelekea stendi kwa ajili ya kupanda gari, nilitupia macho upande wa barabara kubwa (kilwa road) kwa mbali kidogo nikamuona baba mmoja mtu mzima akivuka barabara...
Back
Top Bottom