Search results

  1. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Mbona ujiuliza maswali yako na kujijibu mwenyewe? Mimi nimekuuliza mtu akikutukania mama/ baba yako utafanyaje?
  2. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Vizuri, kumkanya kwako kuna maanisha nini, ilhali uliweza kumchekea tu na kumuacha?
  3. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Ikiwa mtu atakutukania mama utafanye? na reaction yako inamaanisha nini?
  4. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Sawa. Hivi mtu akikutukania mama/baba yako utafanyaje?
  5. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Jina la kitabu ni matusi tosha, au wewe ulitaka iweje ili uone kuwa ni matusi?
  6. Khalu

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Ukianza na jina la kitabu tu, ni matusi tosha au ulitaka matusi yaandikwaje?
  7. Khalu

    Nikipata pesa sijengi msikiti/kanisa kwanza kwa sababu hizi

    Point yako mzuri, sema huwenda mtu akakuelewa vibaya kutokana na ulivyoiwasilisha. Lakini nakubaliana na wewe ya kuwa, tunatakiwa kuweka huduma sahihi ambayo inahitajika na jamii husika na sio kuegemea upande mmoja au kuweka huduma fulani sehemu ambayo haihitajiki zaidi. Na wala asije...
  8. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    "Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu."(49:11)...
  9. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Mbona maelezo yangu yanajipambanua. Ndio, kwa alivyosema yeye kwamba mtu aisemeshe bahari ili imuondolee mikosi, hiyo ni shirki kubwa, tena inamtoa mtu katika Uislamu. Halafu kuhusu hiyo hadithi unayoisema hebu naomba uniambie inapatikana wapi? nikajufunze. Hapo kwenye "kunyweni" ndio hadithi...
  10. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Pole maalim. Nadhani wewe sio mgeni humu jukwaani ni kawaida kukuta mada moja lakini ndani yake kumejadiliwa topics kibao. Tuvumiliane tu.
  11. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Ninachofahamu ni kuwa hakuna maradhi yanayotibika pasi na dawa. Na dawa inaweza kuwa:- Dawa: vidonge, muarobaini, mualovera n.k Au inaweza kuwa maombi: kwa maradhi ambayo hayatibiki ila kwa maombi, kama mapepo, uchawi n.k Hivyo maombi nayo ni dawa ikiwa ni mujarabu kwa maradhi husika...
  12. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Hapo kwenye Yesu na Mungu umenichanganyia habari, ila sio mada yetu. Turudi kwenye hili uliloliita nidhamu iliyojaa uoga flani. Inaelekea hukuyasoma maelezo yangu kwa kina na kuyaelewa, nilikuwa nikitumia neno "kuitakidi" maana itikadi ndio inayohukumu na ndio inayokuwa moyoni. Hivyo mtu...
  13. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Allah subhaanahu wataa'la- ameweka sababu katika mambo, hivyo tunatakiwa tuchukue hizo sababu, huku tukimtegemea yeye. Labda huoni ajabu ya hilo jambo kwa mfano huo, lakini hebu chukulia mtu anamuomba Mungu ampe mtoto ilhali hana mke? au mtu amuombe Mungu kufaulu mtihani ambao hata hakuufanya...
  14. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Hivyo Allah ameweka sababu katika mambo, hivyo tunatakiwa kumtegea yeye pekee huku tukifuata sababu alizoziweka. Kinyume chake, mfano mtu aumwe Malaria halafu aache kumeza vidonge vinavyotibu Malaria. Kisha aende kuchukua kipande cha tende badala ya vidonge, huku akiitakidi kuwa Allah...
  15. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Nakubaliana kabisa na majibu aliyokupa ndugu yangu Tipstipstor, ila kwa faida tu niongezee kidogo. Kama unafahamu maana ya kumshirikisha Mwenyezimungu basi utagundua kuwa uwanja wa shirki ni mpana sana. Yaani ibada yoyote ambayo anaistahiki Allah halafu wewe ukaielekeza kwa asiyekuwa yeye basi...
  16. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Huyu anacho kizungumza hapa ni ushirikina na uchawi khaalisw. Na kinacho nikarahisha zaidi ni anavyo egemeza hizi baatwil zake katika dini. Yaani anamuelekeza mtu tiba zake za kichawi halafu anasema inshaAllah. Subhanallah.
  17. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Shirki ni kuelekeza ibada yeyote kwa asiyekuwa Allah subhaanahu wataa'la. Kutaka msaada(al-istighaatha wa al-istiaa'na) ni ibada, ambayo hatakiwi kuombwa/kutakwa msaada yeyote isipokuwa Allah subhaanahu wataa'la. Hivyo kumwambia mtu aiombe bahati kama unavyoeleza hapo hiyo ni shirki, kwa...
  18. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Subhanallah! Yaani huu ushirikina na uchawi unaoulingania hapa unauita dini. Muogope Allah.
  19. Khalu

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Umesema kweli akhy, jazaaka llahu Khairan.
Back
Top Bottom