Search results

  1. cutelove

    Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa. Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu series na episode za vijana wa pinga ndoa. Bora nimkamate mzee niwe second wife au third au muendelee...
  2. cutelove

    Hodiii Dar, naomba mwenyeji Buguruni jamani

    Nipo safarini nakuja Dar kuwapa hi na utalii wa ndani Buguruni moja hiyo mwenyeji ajitokeze basi coz mi si mwenyeji sana katika hili jiji zaidi ya Mwanza
  3. cutelove

    Kwa wanaume: Kwani vibaya tukija na mashosti wetu?

    Umeniita somewhere kula lunch au vinywaji na shosti yangu, msiri wangu anaomba anipe kampani siwezi kumkatalia. Na mwanaume kuniita lunch au vinywaji ina maana upo vizuri kipesa so si mbaya tukaja na mashosti. Kwanza kuna faida ya kuja na mashosti wangu, ukalipa bili vizuri watanipongeza...
  4. cutelove

    Wanaume ujanani fainali uzeeni

    Kama hamtajitahidi kutengeneza pesa vizuri ujanani ili uzeeni uishi vizuri Wewe nisomeshee wanangu wakipata kazi mikoani mimi ni kuzurura tu huko kwa wanangu najua wewe huwezi kwenda kuishi kwa wanao, wewe huku kwako unapambana na hali yako. Ndio maana mnawahi kufa.
  5. cutelove

    Mapenzi ya kisasi ni adhabu kwa mke/mume

    Baada ya kupotea humu jamvini kwa miezi kama mitatu leo nakuja na mada ya visasi kwenye mahusiano na athari nilizokumbana nazo. Kuna mwanaume nilikuwa nampenda sana mpaka basi, nikawa na hisia kali za kimapenzi na yeye, kwamba tukiwa sehemu yenye uficho hata kama si hotelini kosa anisogelee...
  6. cutelove

    Kwanini bei ya pembejeo Tanzania ni ghali sana kulinganisha na Kenya?

    Tuache porojo na siasa kwenye kilimo. Nchi ya Kenya bei ya pembejeo ipo chini sana, kwanini Tanzania bei ya pakiti ya mahindi DK iwe elfu 20,000 na mbolea kilo moja elfu 4. Kwa hali hii kuna mapinduzi ya kilimo kweli?
  7. cutelove

    Tunajigamba kuwa tuna umeme wa kutosha lakini kuna mgawo

    Tanzania ndo kuna watendaji wa serikali na viongozi wana akili matope, kila siku tuna umeme wa kutosha mpaka tunawauzia nchi jirani Swali langu huu mgawo wa umeme unatoka wapi?Hili giza linatoka wapi? Kuna kitu tujifunze West Afrika
  8. cutelove

    Tetesi: Percy Tau kutua Simba

    Baada ya Try Again kukiri kushirikiana na Mo Dewji kumsajili mchezaji mkubwa kutoka klabu kubwa fununu zilizopo huyo mchezaji ni raia wa Afrika Kusini anayekipiga Alhly ya Misri Hongera Simba
  9. cutelove

    Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

    Nawashangaa wakaka aisee, wewe umenitokea ukaeleza hisia zako, nikawa naanza kukuelewa, ila nikasema "Nipe muda nikuzoee" Mara majina ya mke mke mke yanakuwa na kutuma vihela vya vocha na ghafla unaomba tukutane unatuma nauli, kukubali kuja si tiketi ya kutaka tulale pamoja, Wewe unune usinune...
  10. cutelove

    Sheria ya Ndoa ya 1971 itaweza kurekebishwa?

    Kuna mkanganyiko kisheria katika mapambano dhidi ya ndoa za utotoni na ndoa kwa wanafunzi; 1. Sheria ya Ndoa ya 1971 inaruhusu binti wa miaka 14 na 15 kuolewa kwa ruhusa ya wazazi na mahakama. (Tayari Mahakama imeitangaza sheria hiyo kuwa ni batili na kinyume cha Katiba baada ya kesi...
  11. cutelove

    Wanaume waliooa ndo wanaongoza kwa uongo kwenye mapenzi

    Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza . Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa Wanaume tulieni...
  12. cutelove

    Tangu nizaliwe sijawahi kusikia Yanga inacheza makundi Club Bingwa Afrika

    Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
  13. cutelove

    Wanaume ni wa ovyo sana

    Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa. Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa bahati mbaya kasahau kulock si kawaida yake, maana kakurupushwa na kaondoka na simu ndogo kaacha...
  14. cutelove

    Kwanini wanasiasa hawafungwi?

    Mpaka umri huu sijawahi kusikia au kuona mwanasiasa anafungwa yaani anahukumiwa kwenda jela halafu anatumikia kifungo hadi kinaisha,sijawahi!!! Nimewahi kusikia wanasiasa wanashtakiwa na kuachiwa au wanahukumiwa ila wanaachiwa baada ya muda fulani bila kutumikia kifungo kikaisha Wanasiasa...
  15. cutelove

    Marufuku waganga kutumia jina la Sumbawanga

    Waziri mkuu ameagiza ni marufuku waganga wa kienyeji kujitambulisha kwa jina la Sumbawanga na ametoa amri mabango yote yanayotaja Sumbawanga yaondolewe mara moja
  16. cutelove

    Wanawake acheni kuzaa na waume za watu ilihali waume zenu wapo

    Kulingana na kazi ninayofanya ya utatuzi wa migogoro ya kijamii nimepokea kesi nyingi za wanawake za watu kuzaa na wanaume wengine wakati waume zao wapo hai Nimegundua wanawake wa watu wanapodate au kuchepuka na wanaume za watu huzaa nao pia na mbaya zaidi mwanamke humwambia mchepuko wake...
  17. cutelove

    Kumbe wanawake watumishi wengi wamelizwa na wanaume

    Wanaume ni watu wa ajabu sana ,nilikuwa nasikia watumishi wa serikali wanawake wanalizwa na wapenzi wao sasa nimeamini Wengi wao wanasimulia bae wangu nilimkopea mkopo akatoweka nikabaki naishi kwa kuhangaika ,mwingine nikamsikia akisema nilipata mwanaume jobless kwa kuwa hakuwa na kazi na...
  18. cutelove

    Kwanini Startimes wanapenda kuvunja sheria za Tanzania?

    Hii kampuni ya ving'amuzi sijui wanatabia ya kuvunja sheria za Tanzania kwa makusudi,inakuwaje wanakata local channels ambazo kisheria zimeainishwa ni bure? Mh Nape yupo na TCRA wapo ,kwa nini wasishughulikie hii kampuni?
  19. cutelove

    Nakuja Mbeya :Hodiii

    Kesho nitakuwa mgeni wenu watu wa Mbeya na viunga vyake Naomba muwe wenyeji wangu
  20. cutelove

    Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Kawaida inajulikana mwanaume ndio baba wa familia kuanzia huduma hadi ulinzi. Kama hana kazi, mkewe au mpenzie avumilie na kumhudumia mpaka atakapopata kazi au kibarua cha kumpatia pesa. Lakini unaweza kuhudumia familia mpaka mwanaume akajisahau kuwa nini wajibu wake na ukahisi kuchoka...
Back
Top Bottom