Search results

  1. bite1999

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Primio zimepanda sana kwa sasa hiyo ni bei ya old model
  2. bite1999

    Nini faida na hasara za gari aina ya Toyota Premio kwa engine za D4?

    Mnunulie Premio yenye cc 1490 hutajuta ina engine ya IST
  3. bite1999

    Balo la viatu vya Mtumba

    Naomba connection ya huyo jamaa
  4. bite1999

    Balo la viatu vya Mtumba

    Naomba connection ya Uganda
  5. bite1999

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Kuwa makini na maneno yako
  6. bite1999

    Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

    Kwa nini unasema kwamba hakuna uchungu mwanamke anaupata pindi anapogundua kuwa kasalitiwa? kwani yeye hana moyo? uchungu unaoupata wewe pindi unapogundua kuwa mwanamke amekusaliti na yeye ndio huohuo hupata pindi anapogundua kuwa umemsaliti. Tena wengine hulia tu bila kusema lolote kwa waume...
  7. bite1999

    Bagamoyo: Kabati la Mjerumani, halijawahi kufunguliwa kwa miaka 100, inadaiwa lina madini

    Tunaamini vitu vya thamani ndio huwekwa kwenye kabati la aina hiyo (Money safe) lazima kutakuwa na vitu vya thamani humo ndani.
  8. bite1999

    Ushauri kwa makampuni ya mabasi

    Taja jina la Kampuni, namba ya bus na linatokea wapi kwenda wapi maana naamini unaticket yenye taarifa zote muhimu? tuchukue hatua sasahivi, nasubiria.
  9. bite1999

    Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Mimi ya vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, stoo, jiko, corridor 2 na varrandar 2, choo cha master na cha public nimetumia 6 milioni sasahivi ndio nachongesha madirisha na milango miwili wa mbele mmoja na wa nyuma mmoja grill acha kabisa
  10. bite1999

    Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

    Ashakutumia vocha? au tukusaidie kudai:D
  11. bite1999

    Kivuli cha Kifo: Elimu ya kuogofya kwa Maisha ya mwanadamu

    Tunasubiri muendelezo puker
  12. bite1999

    Ajali mbaya basi la Kimotco lapinduka na kuua wawili

    Wiki iliyopita gari nyingine tena ya Kimotco ilipata ajali maeneo ya Kolo barabara ya Babati - Dodoma
  13. bite1999

    Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

    Huko kwao ndio iko hivyo ukifanya kosa wewe wanauwawa familia nzima.
Back
Top Bottom