Search results

  1. C

    Mwenye ufahamu juu ya kampuni ya QI Group

    Habari ndg zangu,naomba yeyote mwenye ufahamu wa kampuni ijulikanayo kwa jina tajwa hapo juu anijuze,maana kuna mtoto wa dada yangu amejiunga na hiyo kampuni lakini imekuwa ngumu kupata taarifa zake baada ya kufika Dar wa Salaam ambapo ndiko kwenye hiyo kampuni hana uhuru wa simu yake,kila...
  2. C

    Hospitali ya mkoa Morogoro hii sio sawa

    Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima. Pale mapokezi wameniambia...
  3. C

    Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Hili linawezekana kama wananchi walichangia mil 200+ kuwatoa kina Mboe gerezani hata hili nalo linawezekana.Kila mwananchi aliyeguswa na maumivu ya hawa mashekh akitoa sh 1000 nahakika zaidi ya mil 500 inaweza kupatikana na kurudisha tabasamu la hawa mashekh.Hii kuonyesha kwamba muda wote wa...
  4. C

    MSAADA: Jinsi ya kuomba kubalidilishiwa shule kidato cha tano

    Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki, kijana huyo Mungu amemsaidia amefaulu na amepangiwa Temeke sekondari, kwa bahati mbaya shule ile ni ya...
  5. C

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Nami nimeshangaa,ng'ombe wa laki 4 anatoa wastani wa kg 80 tu
  6. C

    Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wadau tujuzane vyama vya upinzani vilivyoshiriki uchaguzi ni wagombea wangapi wa upinzani wameshinda. Weka jina la mgombea wa upinzani aliyeshinda na eneo lake.
  7. C

    Natafuta sehemu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla

    Asante mkuu Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
  8. C

    Natafuta sehemu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla

    Swadakta Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
  9. C

    Natafuta sehemu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla

    Jamani Mwenye kufahamu wanapouza mifuko ya Nairobi kwa bei ya jumla plz naomba anifahamishe,nimefanya juhudi ya kutafuta lakini sikufanikiwa nikaona nije humu jf huwenda nikafanikiwa. Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
  10. C

    Azimio la Wapinzani Zanzibar ulidhaminiwa nani?

    Jamaa umekomaa na hii insue,hawawezi kwa kuwa wengi wanategemea mshahara,huvyo wakibainika ni fire.
  11. C

    Magufuli ni mpango wa Mungu kwa watanzania, asibezwe. Kumbeza Magufuli ni kubeza uwezo wa Mungu, tutaadhibiwa

    Habari Wa ndugu,Leo nimeona nitoe darsa juu ya mada hapo juu ,kwa mujibu Wa qur an tukufu;Mwezimungu anasema "sema,Ee Mola ,mmiliki Wa ufalme! Humpa ufalme umtakaye,na kumuondolea ufalme humtakaye,na humtukuza humtakaye,na humdhalilisha umtakaye;heri imo mikononi mwako.Bila shaka wewe ni mwenye...
  12. C

    Kuna Jamaa yangu licha ya kumkatisha tamaa ya kujiunga kwenye Q-Net bado anaendelea kunisumbua

    Kuna Jamaa yangu licha ya kumkatisha tamaa ya kujiunga kwenye Q-Net bado anaendelea kunitumia picha za watu wake walio kwenye hiyo business kwa madai kuwa watu wanapiga pesa wananunua magari makali. Kiukweli ananisumbua sana ila namuheshimu sana huyu Jamaa yangu, nashindwa kumpa za USO...
Back
Top Bottom