Search results

  1. Mpendwa

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  2. Mpendwa

    Wanahabari wazalendo wako wapi.... Mbona mmenyamaza japo mwanahalisi amefungiwa?

    Kufuatia uzandiki huu kwa MwanaHalisi, ninawashauri wanahabari wazalendo wa Taifa hili wamlinde Kubenea na gazeti lake kwa kugoma kuandika mazuri yote ya Serikali kwani serikali inaingilia uhuru wa vyombo vya habari na haitaki kukosolewa. kitu ambacho nimekiona hapa ni kwamba mabavu ndiyo...
  3. Mpendwa

    This is serious, si jambo la kufumbia macho vinginevyo tutajuta milele

    Mpaka sasa CCM wametuia yafuatayo ili kushinda igunga 1. Kumtumia rais mstaafu (Mkapa) 2.Usalama wa taifa 3.Polisi 4.Bakwata 5.Mawaziri 6.Rostam 7.kuhonga chakula kwa wanaigungai 8.Kuzuia wapiga kura wasio na vitambulisho kwa baadhi ya maeneo esp kwenye upinzani 9. Kutumia zaidi ya Tsh...
  4. Mpendwa

    Mawazo yangu kuhusu chadema

    Ndg wadau mwenzenu nimetafakari na kuja na conclusion yangu juu ya CDM. ccm wanadai wameshinda lakini hebu cheki hili... 1. Wamemtumia rais mstaafu 2.Mawaziri wa serikali 3.Polisi 4.Usalama wa taifa (kama si uharibifu wa taifa) 5.Bakwata 6.Chakula cha hongo 7.Pesa za Rostam 8.Zaidi ya Tsh...
  5. Mpendwa

    Rangi za Yanga zinachefua wengi wetu!

    Wana jf na wadau wa yanga, Mwenzenu imetokea nimepoteza kabisa mapenzi na timu ya yanga kwa sababu ya rangi zake za ki ccm ccm!! Nimeona watu wengu pia wakilalamika juu ya hili. Pia kuona watu kama baba riz1 na riz1 mwenyewe wana mkono huko ndo nimechefuka mno!! Nawashauri yanga wabadili rangi...
  6. Mpendwa

    Samwel 6 amechakachuliwa sasa, hatufai kabisa

    Mwenzenu nimejaribu kufikiri kwa undani juu ya matamshi ya ndg samwel 6, nimekubaliana na ule msemo wa kiswahili unaosema 'Ukiona manyoya, ujue ameliwa'. Sasa nimeona manyoya na ku conclude kuwa huyu mheshimiwa ameliwa na kuchakachuliwa kabisa. amesahau kuwa na yeye alichoshwa na ccm na kutaka...
  7. Mpendwa

    Bajeti ya mwaka 2011/2012 iliyopitishwa

    Ndugu zangu wana JF nisaidieni nakala ya bajeti ya mwaka 2011/2012 ambayo ilifanyiwa marekebisho kidogo na kupitishwa na Bunge. Ninayo nakala ya Mkulo pekee ambayo ina mapendekezo tu, lakini ninahitaji ile iliyokuwa amended na kupitishwa. asanteni wadau.
  8. Mpendwa

    Approved Tanzania's Budget 2011/2012

    Ndugu zangu wana JF nisaidieni nakala ya bajeti ya mwaka 2011/2012 ambayo ilifanyiwa marekebisho kidogo na kupitishwa na Bunge. Ninayo nakala ya Mkulo pekee ambayo ina mapendekezo tu, lakini ninahitaji ile iliyokuwa amended na kupitishwa. asanteni wadau.
  9. Mpendwa

    Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm

    Kuna tetesi kuwa J.K ameweka watu wawili ambao kati ya hao, mmoja wao aje kuwa mrithi wake. Watu inasemekana kuwa ni Dr. Asha Rose Migiro na Dr Hussein Mwinyi. Wana JF mmeisikia hiyo??
Back
Top Bottom