Search results

  1. vini10

    Wanaume wenzangu someni hapa mseme hamjaambiwa

    Mwanaume lazima uudumie ww hakuna **** ya bure
  2. vini10

    Wahasibu hivi inakuwaje Wafanyakazi wote mkilipwa akaunti zetu benki zinasoma kwa wakati mmoja?

    Nani dogo hapo sasa jiheshimu basi hunijui sikujui zarau za kikuma hizo
  3. vini10

    Wahasibu hivi inakuwaje Wafanyakazi wote mkilipwa akaunti zetu benki zinasoma kwa wakati mmoja?

    Umenichekesha kinoma aisee ila msaada kwa hao machifu sijawakuwasikia walikuwa wa wapi? Hao
  4. vini10

    Je, ni sahihi watu wa dini nyingine kuwafuturisha Waislamu?

    Maana hasa ya kafiri ni nn? Kwani?
  5. vini10

    Jeshi la polisi Arusha, kuna Mzee mmoja anaitwa mzee Laizer anatishia watu bastola ovyo

    Kwa maelezo yake ukiangalia n hyo ken garden ndo ipo maeneo hayo mwenye mada arudi hajaeleweka
  6. vini10

    Waitara, walimu wamekukosea nini?

    Hapo kwenye kipande cha kuuvua unyonge ndo cha muhimu mkikazia hapo na mlivyo wengi wataomba poo.
  7. vini10

    Kwanini madereva wa mabasi wanaposhuka mlima Kitonga hujiachia sana ukilinganisha na wale wa malori

    Malori yanatumia break za upepo sasa akishuka speed atatumia break sana na upepo ukikata ndo basi tena kwenye basi sijajua
  8. vini10

    Maisha ya Simba yana thamani akiwa kijana, Simba dume akizeeka hutengwa hadi kuuawa

    We jamaa ni muongo kimataifa nyumbu naye akibeba mimbia n miezi 3 hadi kujifungua kweli hii ndo fani yako
  9. vini10

    Maisha ya Simba yana thamani akiwa kijana, Simba dume akizeeka hutengwa hadi kuuawa

    Duuh km ndo fani yako na ndo huo ujinga umeandika hapo tafuta fani ingine aiseee
  10. vini10

    Maisha ya Simba yana thamani akiwa kijana, Simba dume akizeeka hutengwa hadi kuuawa

    Hakuna dume anauwa watoto wake ila anauwa watoto wadume aliyemnyanganya familia na akikuta jike alikuwa na mimba ya dume lililopita anampanda mpaka mimba itoke
  11. vini10

    Maisha ya Simba yana thamani akiwa kijana, Simba dume akizeeka hutengwa hadi kuuawa

    Simba dume anawinda pia ila sio muwindaji mzuri km jike kwasababu ana uzito mkubwa pia zile sharubu akijificha wakati anawinda inakuwa rahisi kuonekana vitu umeandika hapa nenda ukagoogle upya tu
  12. vini10

    Kama hujayapitia haya maisha, kubali umekosa mengi

    Hicho kimpira cha makara kinanikumbusha mchezo unaitwa doba ngumi hatari sana ule mchezo
  13. vini10

    Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

    Pombe tu unaliaa ukikutana na anayechanja veve na mvuta bangi si utampigia sm kamanda sirro
  14. vini10

    Kufuata utaratibu, kanuni na sheria eneo la kazi ni unoko?

    Ukienda mahali ukakuta watu wanakula ugali na kijiko na wewe chukua kijiko kula sio ujifanye kunawa mikono kwamba umezoea kula ugali na mikono Mshahara utauona mchungu
  15. vini10

    Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

    Alipewa za uso mpaka akajitete kuna kijitabu alikisoma ndo kiliandika hvyo sio yeye anatafuta pa kutokea sasa
  16. vini10

    Ukiishi na mwanamke vizuri,ni vigumu kukusahau

    Barmaid hawezikuwa na ghetto bar hyo ilikuwa staff yao wanalalaga nane sasa ww umempeleka lazima akugande tu ndo walivyo
  17. vini10

    Hivi kwa nini tunaukwepa huu ukweli?

    Kwa sababu tunapata meditation
  18. vini10

    Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

    Naamini kila kilichoandika kwenye biblia kwahyo tuishie hapo tu good luck kwenye safari yako yakutaka kujua alipotoka mwanamke na hizo master zenu.
Back
Top Bottom