Search results

  1. A

    Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC

    Salva aache kuongopea watu. Bodi imesema bado hairidhishwi na hali ya rushwa tanzania pia kutolewa kwa hela hizo za MCC itategemea Tanzania itaperform vipi kwenye kipimo cha kupambana cha mwaka 2016 na rushwa na pia jinsi itakavyo simamia uchaguzi wa mwaka huu Someni website ya MCC
  2. A

    Rais wa Tanzania yupo Marekani,Rais wa Ukrain yupo Marekani

    Japokuwa sio mshabiki wa Kikwete kwa hili na mtetea. Jakaya Kikwete hajaenda marekani kwa mwaliko wa Obama wala serikali ya marekani bali amekwenda kwenye mkutano wa mwaka wa umoja wa mataifa ambao marais wengi huudhuria na kutoa hotuba. Pia viongozi wengi hutumia fursa hii kukutana na viongozi...
  3. A

    Urais 2015: Bosi mstaafu TISS matatani

    Thatha umekurupuka. Lowasa sio mkatoliki, ni mrutheli, atakama atatakushinda urais ambayo ni ngumu atahitaji uungwaji mkono sio tu na wakatolic bali madhehebu na dini zote. Mstaafu Apson kuwa mkurugenzi/meneja wa kampeini sio dhambi ni haki yake. Cha msingi kwake yeye na zaidi kwa watanzania...
  4. A

    Waumini wa Serikali Mbili Sasa ni Wakati Wetu wa Kujipanga Kujibu Mapigo The Damage Was Done Today!!

    TUWEKE HISTORIA SAWA Sio lazima huwe mjuvi wa historia ya Tanzania bali unakila sababu ya kukumbuka 100% ya historia ya BABA YAKO! kwa sababu ni historia ya familia yako na vizazi vyako vijavyo. JOHN SAMWEL "CHINYEMWISI" MALECHELA, alifukuzwa/ondolewa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa sababu...
  5. A

    Kama ilivyo Crimea kwa Russia, Zanzibar iliitaji Tanganyika kwa ajiri ya usalama

    Katika mwezi mmoja na kidogo tumeshuhudia hali ya kisiasa ikibadirika kila kukicha ndani ya Jamuhuri ya Ukraini.Kwanza kwa aliyekuwa rais kugoma kusaini mkataba wa kibiashara na Umoja wa Ulaya na kukubali msaada wa mabilioni ya madola kutoka Jamuhuri ya Russia na hivyo kuamasha hisia kali na za...
  6. A

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Inasikitisha sana kuona bunge na serikali dhaifu limerudisha JKT bila kufanya tafakuli ya kina. Na sema hivyo kwa sababu tofauti na JKT ya mwl. Nyerere iliyojikita katika kufunza maadili,ukakamavu, nguvu kazi pamoja na uzalishaji, JKT ya awamu hii pamoja na nyakati kuwa tofauti - najua bado...
  7. A

    Makinda aunda tume ya bunge kwenda Mtwara

    Spika Anna Makinda kwa mara nyingine tena amewafunga midomo wabunge kwa kukataa hoja yoyote binafsi ambayo ilikuwa inataka kujadili swala la gesi ya Mtwara eti kwa kisingizio kwamba kuwa ni zito na nyeti, linalopaswa kujadiliwa kwa hekima kubwa na busara ya kutosha ili kupata muafaka wa kweli...
  8. A

    Mapendekezo ya Ramani ya Tanzania Bara Chini ya Sera ya Majimbo

    WanaJF CHADEMA na baadhi ya wadau wengine (TGNP,Jukwaa la Katiba etc) wamependekeza kwenye Tume ya mabadiriko ya katiba kuingizwa katika katiba mpya kipengere kinachoweka utawala wa majimbo(states) na kuhainisha ni mikoa gani katika ramani ya sasa hivi inapashwa kufanya majimbo hayo. Hii ni...
  9. A

    Anne Makinda: Spika asiwe mbunge, mawaziri wasiwe wabunge...!

    Nimeshangazwa NA kushtushwa na baadhi na maoni na mapendekezo ya Spika Anne Makinda kuhusu katiba mpya. Lililonishtua zaidi ni pendekezo lake la kuwepo kwa baraza la seneti ambalo linatakuwa NA wajumbe ambao hakuinisha kama watacganguliwa au kuteuliwa. Na kama watakuwa wakuchaguliwa...
  10. A

    Prof Shivji na mihadhara ya katiba ITV

    Kwa taarifa yako prof Shivji ni mtanganyika, mhaya wa hamgembe bukoba na anachapa kihaya kama anakili nzuri...muulize mshikaji wake Jenerali Ulimwengu!
  11. A

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho Bukoba mjini

    Watu wa Kagera wanahistoria ya kuwa wapinzani; ameshakuwepo mbunge Mtungirei(CUF) na Tegabwage (NCCR). Katika uchaguzi wa 2010 mgombea wa Chadema jimbo la Karagwe walimchakachua. Watu wa Kagera sio wajinga hata hao wabunge wa Magamba walio wachagua, ndio pengine wabunge bora kwa vigezo vyote...
  12. A

    CHADEMA: Israel ituombe radhi

    Hi Mh. Mnyika yuko sahihi; Tanzania imepoteza mwelekeo na nafasi yake katika nyanja ya kimataifa baada ya kauchana na sera za Self-reliance na kuto fungamana na upande wowote. Tanzania ilikuwa msemaji wa maskini na wanaoonewa, ikikataa kuchaguliwa marafiki na maadui. kwa msimamo huu, Tanzania...
  13. A

    CHADEMA Haina Itikadi Kama Chama!

    Kuwa Great thinker ni pamoja na kupenda na kujenga tabia ya kujisomea Itikadi ya Chama CHADEMA ni chama cha itikadi ya MRENGO WA KATI (center party). CHADEMA ni chama kinachoamini kukuza na kuimarisha uchumi wa nchi kwa kutumia raslimali za nchi yetu bila kuathiri uhuru wa Taifa, na...
  14. A

    Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

    FF let be assuared there is no text in this world that has been recorded that Nyerere admitted that he failed!.On his fare well tour abroad, specifically in UK at westminister and infront of group of admirer journalists he was asked and I quote "Mwalimu why have you choosen to leave now while...
  15. A

    Unavyofikiri Tanzania itajengwa na CHADEMA peke yake?

    Lole acha kukurupuka: Je unajua kwamba Chadema ni chama kinachoamini katika mrengo wa wakati na falsafa ya umma? Au ni uvivu wa kusoma?chadema inaamini katika kujenga tabaka la kati la wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara. Chini hapa ni extract kutoka official website ya Chadema kuhusu...
  16. A

    Unavyofikiri Tanzania itajengwa na CHADEMA peke yake?

    We mwanaone sijui kama uko tayari kuona.Chadema imesema wazi kwamba iko tayari kushirikiana na chama chochote makini katika mapambano yake dhidi ya chama tawala. Vile vile chadema imekuwa tayari kuwapokea wanaccm safi, wazalendo na wapiganaji wa kwa nchi hii.lakini hawa wasipojiunga na chadema...
  17. A

    Hukumu ya kwanza ya kesi za EPA

    Hao wanaogopa reaction ya wananchi sababu jamaa wamechomoka na pia sasa hivi kama mmenote kuna kampaini kubwa ya kuuza muswada wa katiba mpya ambao wanasema wanasiasa-CDM waliupotosha and so wananchi hawakuelewa! So wapisha kipindi hiki wawapumbaze wananchi then wasome kesi! Hakuna kitu hapo...
  18. A

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Ebu toa ma.vi yako hapa na usipoteze muda wako kutaka kuwadanganya watanzania. Kwanza waziri wako kilaza kadanganya kuhusu Kenya- soma reply yangu kwa mwanajamvi. Tatizo la CCM imewekeza katika siasa za kulinda na majungu na katika hizi hakuna weredi. Tume ya katiba haitachaguliwa na rais...
  19. A

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Huyu mama muongo, mzandiki na hana nia njema na mwenendo mzima wa kuandika katiba mpya. Kitu kingine sisi watanzania tumekuwa maskini kwa kuamini kila kitu tunachoambiwa na viongozi wetu hata kama wanatudanganya.kila mtu anajua Uganda wana katiba mbaya -juzi kiiza Besigye kakatazwa kutembea...
Back
Top Bottom