Search results

  1. Itoye

    Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

    Salaam, Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi? Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
  2. Itoye

    Nahitaji Mkopo wa Tsh 2,000,000/-

    Wakuu salamu, Nimepata tatizo na nahitaji mkopo wa haraka kiasi Tsh 2,000,000/-. Dhamana yangu ni Bajaj iko vizuri na hadi sasa inaendelea na kazi mwezi march 2021 ilitimiza mwaka mmoja tangu imeingia barabarani. Utaratibu wa kurejesha fedha hizo, ombi langu nilipe ndani ya kipindi cha miezi...
  3. Itoye

    Hii ndio "Lack of Coordination" ambayo Katibu Mkuu Kiongozi alikuwa anaizungumzia?

    Kheri ya Pasaka. Hili sakata la Boss wa TPDC limeacha maswali mengi sana ambayo binafsi natamani Mh. Rais alitolee ufafanuzi ili kujenga imani juu ya mfumo wa mipango na maamuzi unaomsaidia katika kutekeleza majukumu yake? - Sababu zipi alipewa hadi akaridhia kumtengua Boss aliyekuwa...
  4. Itoye

    Nani anafuata kupandisha gharama ya huduma...

    Salaam, Baada ya mabadiliko ya gharama za vifurushi vya simu ambavyo kimsingi gharama imeongezeka baada ya kupunguza ujazo kwa gharama ilele na baada ya miaka hii 5 ya utulivu. Nani wengine wanafata ktk kuongeza gharama za huduma zao? Je! tunaweza kushuhudia Tanesco, Ewura nk nk nao wakifuata...
  5. Itoye

    Uchaguzi 2020 Uko kundi gani? Na unajua mtu sahihi wa kumchagua?

    Leo Tarehe Mosi September tumebakiwa na siku 56 ili tukawachague viongozi watakaotufaa kwa miaka mitano ijayo, kutokana na sera na ahadi ambazo tumezisikia hadi sasa kutoka kwa wagombea mbalimbali ni dhahiri kuna makundi mbalimbali ndani ya jamii ni muhimu sana kufanya maamuzi kwa kupima...
  6. Itoye

    Ni wakati muafaka sasa wagombea binafsi waruhusiwe

    Nianze kwa kutoa pole kwa watu watia nia wote ndani ya CCM hata wale wa vyama vya upinzani walioshinda kura za maoni lakini kwa kile kinachoitwa "taarifa za ndani/mbalimbali/kiuchunguzi" mmekatwa. Wengi wenu mliaminiwa na wajumbe walio wengi lkn wajumbe wachache wenye mamlaka makubwa wakafanya...
  7. Itoye

    Je, huu si ni Ufisadi/Uhujumu Uchumi?

    Ujumbe huu natamani sana umfikie Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh. Sarah Msafiri na watendaji wake wote wanaotakiwa kurekebisha hili bila kuwasahau mamlaka ya bandari (TPA). Picha hii ni eneo linafahamika kwa jina la mtaa wa Tungi na ni sehemu ambayo pia bomba la mafuta la TPA linapita, kwa...
  8. Itoye

    Nimeelewa kwanini baadhi ya nchi katika janga hili la corona wamepunguza mishahara na marupurupu ya viongozi wa kisiasa

    Wakuu Salaam, Baadhi ya nchi waliamua kupunguza mishahara ya viongozi wa kisiasa ktk nchi hizo, mara ya kwanza sikuelewa vizuri hiyo 'move' nilijiuliza hawa viongozi wako wachache sana hiyo fedha inayopatikana baada ya wote kukatwa mbona ni kidogo sana. Lakini sasa nimeanza kuelewa pamoja na...
  9. Itoye

    Yapo mengi ya kujifunza kutokana na hili la Mwamposa

    Wakuu salaam, Binafsi nimekua nikijiuliza na kutafakari hivi ni kweli Mungu hawezi kumtumia mwanadamu atakayemchagua na kupitia kwake akatenda miujiza mikubwa na kwa watu wengi? Je! Mungu hana uwezo huo? Mbona wanapotokea watumishi wakawa na wafuasi wengi na kutenda miujiza mikubwa watu...
  10. Itoye

    Kweli Watu Wameona Mbali?

    Wakuu Salaam. Kama hali ikiendelea hivi hasa kwa kilichotokea katika uchaguzi serikali za mitaa basi kuna uwezekano mkubwa itakapofika siku ya maadhimisho ya ya sikukuu ya uhuru mwakani 9/12/2020, Chama kikuu cha Upinzani kinaweza kisiwe CHADEMA tena, hivyo fursa pekee ya kutumia na kuonekana...
  11. Itoye

    Kwani Makonda akiondolewa Dar es Salaam ndio Matatizo yako yataisha?

    Hakuna kitu kinanikera na sikipendi kama kumtakia binadamu mwenzangu mabaya. Sasa ni bahati mbaya sana wako watu wanatamani na wanaomba sana Mkuu wa Mkoa wa DSM afukuzwe kazi. Juzi kaitisha kikao na watendaji akawaeleza ya moyoni, watu wanaibuka na hoja eti anatetea ugali wake, sasa asipotetea...
  12. Itoye

    Rangi hizi ktk bendera ya CHADEMA zinawakilisha nini/zina maana gani?

    Wakuu salaam. Rangi au alama yoyote ktk bendera huwa ina maana fulani au inawakilisha kiti fulani. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo, hivi rangi zilizopo ktk bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na hii alama ya vidole viwili zinawakilisha nini au zina maana gani?
  13. Itoye

    Tusifanye Makosa kwa kujadili Mtu badala ya sifa za kiongozi tunayemtaka.

    Wakuu, Kuelekea uchaguzi wa 1995 Baba wa Taifa ktk moja ya mikutano yake na waandishi wa habari alikataa kujadili majina ya watu waliokuwa wakitajwa kama prospect contenders wa uchaguzi mkuu uliokuwa unakuja. Kwa sababu ukibainisha vigezo ni rahisi kupata mtu anaye-fit ktk vigezo hivyo lkn...
  14. Itoye

    Hizi ni ndoto za mchana au kosa la kiufundi kwa Vyama vya Upinzani Tanzania?

    Wakuu Salaam, Kwa nini vyama vya Upinzani Tanzania na wakereketwa wao ndoto na mawazo yao ni Urais 2020 au 2025, lakini hawazungumzii kabisa juu ya umuhimu wa kulishika Bunge au kuwa na uwakilishi wa kutosha Bungeni? Hivi kweli inawezekanaje uwe na Wabunge karibu 300 halafu uukose Urais...
  15. Itoye

    Ni Sheria ya Usalama barabarani ina mapungufu au ni Usimamizi?

    Wakuu, Salaam. Hili jambo limekuwa likinitatiza. Kufunga mkanda uwapo ndani ya gari ni issue ya usalama binafsi lkn pia na sheria ipo kuweka mkazo. Polisi wamekuwa wakisimamia hili vizuri tu hasa kwenye magari madogo, kwa kiasi kwenye mabasi ya masafa marefu, ila kwenye mabasi ya masafa mafupi...
  16. Itoye

    Halafu Kuna mtu anasema eti Watanzania hatulipi kodi!

    LUKU 24210241618888 GePG13EMDB04883874 56.2KWH 3228 0834 3993 5755 3151 Cost 16,393.45 VAT 18% 2,950.81 EWURA 1% 163.93 REA 3% 491.81 TOTAL 20,000.00 Haya ni malipo ya luku na makato yake, halafu nasikiaga baadhi ya viongozi wetu wakisema kuwa hatulipi kodi, hivi ni kodi zipi huwa...
  17. Itoye

    Mh. Rais, usimteue Hussein Bashe ktk nafasi yoyote Serikalini lakini ushauri wake msiupuuzie...

    Wakuu, Mh. Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega ni miongoni mwa wabunge wachache wa JMT kutoka chama tawala ambao wameamua kuwa wawazi na wakweli kwa kusema uhalisia wa mambo ulivyo kwa taarifa na takwimu zilizopo lkn pia kwa uwezo na akili walizojaaliwa, naamini wengi tunakubali kuwa huyu ni...
  18. Itoye

    Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara, sentensi hii usiichukulie poa...

    Kwako Mheshimiwa Waziri wa Viwanda na Biashara. Katika hotuba ya Mh. Rais, siku ya kuapishwa kwako alisema, Nanukuu " ... Nilitakiwa nisafishe kuanzia juu hadi chini..." mwisho wa kunukuu. Hii sentensi usiichukulie poa maana najua na wewe uliisikia, usipoitendea kazi siku si nyingi unaliwa...
  19. Itoye

    Maji Maji juu ya Friji.

    Wakuu Salaam, Kuna kitu nimeona kinatokea ambacho hapo awali hakikuwepo. Nina friji yangu nyumbani siku za hivi karibuni imeanza kutoa maji maji sehemu ya juu kwa nje, nimejaribu kuichunguza kama imetoboka sehemu sijaona. Kwa mwenye ufahamu juu ya kitu kinachosababisha hali hii au...
  20. Itoye

    Hongereni Azam Media kwa kuendelea kuongeza thamani ya Ving'amuzi vyenu.

    Wakuu Salaam. Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze kupata burudani pendwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom