Search results

  1. K

    Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

    Mhuu buried and forgotten. Atabaki kwenye mioyo ya watu waliompenda. Pole sana ndugu.
  2. K

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    It would be best if you studied more about dams and their effects on the environment. Maintenance of dams in poor Countries like ours could be very challenging i.e., dredging and removing silts from the bottom of the dams to restore their original capacity is a bit trick and very costly. If you...
  3. K

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    We have been too inclined to politics and forget the reality of everything. It will lead us to a deep downfall.
  4. K

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Etwege, Issue sio limeishi muda gani how efficient is it now. Je tunapata tulichokitarajia hadi sasa?
  5. K

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Etwege, Bwawa la Mtera lilijengwa kwa ajili ya kustore maji kwa ajili regulate flow to Kidatu etc wakati wa kiangazi. Sii kwa ajili ya kuzalisha umeme as such. Waliweka just small generators pale kwa ajili ya matumimizi yao na majirani wa pale. Tatizo lilipoanza kujitokeza kwenye ile catchment...
  6. K

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Kwa bahati mbaya, madhara na faida za Hydro-electic generation against other sources wengi hawayajui na ukweli ni matumizi za mabwawa ya kujenga kujenerate umeme yana madhara mengi kimazingira na huwezi kutemea mabwawa kwa muda mrefu. Okay hili linakaribia kuisha ila baada ya kipindi kifupi sana...
  7. K

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Good, we have more proffs
  8. K

    Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Actually, vigezo havikuzingatiwa bali siasa zilichukua hatamu na kigezo cha kuwa jiji ni jiji lipi lilichagua ccm ikawa ndio zawadi🥝
  9. K

    Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

    Hakana anaeweza kuficha asili yake atakaefanya hivyo ni mtumwa yaani slave. Hii mada imekaa kichokozi au kwa maneno mengine ni ya kikabila dhidi ya kabila la Wachagga. Enzi za mwendazake kulizuka kundi lililokuwa likijaribu kuunga mkono hatua ya Mwendazake kuwachukia na kuwabagua Wachagga na...
  10. K

    Nimepita njia ya Moshi Arusha kwa mara ya kwanza nimeshangaa sana utitiri wa Trafki

    Hizi ndio shida na tabu wanazoishi nazo watu aa kaskazini sasa kipindi hiki wanakuwaga mara mbili. Police anakusimamisha anakuambia tugawie na sisi hiyo hela uliochuma bana. Ooh tairi la kulia lina.,. Ooh speed tulipita babati mbio mtu upo kia.
  11. K

    Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Unapokosa ushindi ni hapo unapotaka kumtoa kiongozi wa CDM mitandaoni. Wana miongozo yao. Shida kubwa ya nchi hii sii maendeleo ya nchi bali ni kubakia nadarakani kwa ccm. Atakufa mtu kuliko kutoka madarakani na hizi zote ni sarakasi hizo.
  12. K

    Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

    Etwege, safi sana, ila inaweza only for a short period of time and for a special assignment. After that, he will be trashed.
  13. K

    CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Please give us the statistics, ulihoji watu wengi wangapi? Wapi Zanzibar au Tanganyika wanaosema hivyo na wangapi walipinga? Anyway hayo naona ni matamanio yako na sii dhambi kuwa nayo. Nia ya kutoa sweeping statements kama hizi zina lengo la kushawishi tu na sii vinginevyo.
  14. K

    CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Nimefurahi ulivyonijibu kwa kusema unawakilisha matamanio ya wengi kutoka mtaani, hebu nipe research uliyofanya na kupata hiyo conclusion inayoonyesha ni majority of watu walio mtaani. Nipe Sample size na scores zilizokupelekea hiyo joha yako. Tusijivike kubeba maoni ya wengi kumbe ni wewe na...
  15. K

    Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

    Nimeipenda hii Rais wetu ni chaguo la Mungu, Mungu aliacha kuwachagulia wana wa Israel kiongozi wao miaka mingi iliyopita na nchi nyingi sana za kidemokrasia na kiimla Rais huchaguliwa na wanadamu na sii Mungu. Ila ile dhana kuwa chagua la wengi ndio chagua la Mungu hili linamashiko zaidi. Je...
  16. K

    CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Mtoa mada sijui wasi wasi unautoa wapi? Chama cha mapinduzi hakijawahi kufanya kinyume na alieko madarakani hata siku moja kwa nini una wasi wasi. Urais bongo ni semi God kumuondoa inaweza kuwa ndio mwisho wa maisha yako kwani unaweka roho yako rehani. Rais amiri jeshi mkuu wa majeshi yote...
  17. K

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Ufolofesa wa nini, hawa viongozi wa Kiafrica buwana ni shida. Na mataifa mengine wanajua tuanavyopenda cheap things and praises. Ukiona hivyo ujue kina kitu kinasukwa kwa nguvu nyingi . Tusubiri matokeo.
  18. K

    Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Mhuu maendeleo sio kihiivyo, nimetembea nchi hii karibu kila mahali sii kweli Kilimanjaro kuna kila kitu sii kweli maeneo mengi yameshaendela Wachagga wanalewa sifa ambazo sii za kweli. Rais aliwaleza nyie msubiri mkafurahiii kuna shida umaskini umetamakaji vijijini, ulevi na vingine vingi...
  19. K

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    IGA yetu ni kati ya TZ na Dubai wao Kenya ni Kenya na UAE, mkataba wetu umeingiza DPW automatic bila kutumia PPRA procedures ndio wakenya wanakuja juu DPW wameingizwaje moja kwa moja na hapa TZ DPW wameingia moja kwa moja bila ushindani. Hili ni tatizo moja kati ya mengi kwenye mkataba wetu...
Back
Top Bottom