Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!
He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground?
Just got the feeling will Arabs countries take Budweiser all beer stock should they win world cup?
2022 Qatar...
Kwa mfano Mimi muanzisha Uzi mchangiaji wa kwanza atakayeni"quote" mchangiaji wa pili atatakiwa ku comment Kwa kuunganisha jina langu na la Yule mchangiaji wa Kwanza, and the game continues, let's go..
Hizi sio story. Haya mambo yapo, Kuna jamaa yangu yalimkuta mwaka mmoja uliopita.Jamaa kibarua chake ni safari mara nyingi.
Mara paap dharula, jamaa karudi nyumbani kamamkuta msen*e mmoja red handed anakula mbususu ya mamsapu wake kwenye chumba chake ,Kitanda chake, nyumba yake, mchana kweupee...
Wakuu,
Tukubali tukatae kwa sasa kumekuwa na matukio mengi ambayo sio ya kawaida Kama vile Kuuwana, kufanya vituko vya kujiaibisha na mhusika akaona ni sawa nk nk.
Ukisoma machapisho kadha wa kadha mambo haya yakekuwa yakihusishwa na janga la Afya ya Akili. (mental health).
Kwa bahati mbaya...
Huwezi amini mpaka leo every sitting [emoji631] President official phone yake ni back berry, for security reasons, WTF
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Instagram sidhani coz wadada wengi ndo platform ya kuuzia nyago. Uwekezaji wowote kwa ladies always pays off. Hadi Mash*GA siku hizi IG ndo market place.
Instagram is here To stay.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Tunajifanya wafia dini kuliko hata waliotuletea hizo dini, ULIMBUKENI.
Kabla ya wazungu na waarabu Kuja Africa kueneza dini zao, Wafrika tulikuwa dini gani?
Tuache Ushamba na ULIMBUKENI eti kwamba tunaijua dini kuliko hata waliotuletea.
Tusichukiane. Killing or hating each other coz of religion...
[emoji23] [emoji23] Mkuu JF itabaki kileleni daima. Kwani wewe ume reply kupitia forum ipi? [emoji12]
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Heshima kwenu wakuu,
Leo nimekumbuka jinsi Selfie Stick ilivyokuwa gumzo mjini. Slay queens na Ma brazamen ilikuwa kila weekend au kwenye event Full kukenua. Now it's gone unaonekana wakuja ulitumia hayo madude eti kushikilia simu ili kujipiga selfie.
Je mdau unakumbuka Teknolojia ipi au App...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.