Search results

  1. M

    Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Inakuwaje kuwa waliojeruhiwa ni wapinzani. Lakini waliofungwa jela ni wapinzani pia ? Angalau kama umeiba basi ni afadhali uwe na njia ya kujificha kidogo. Hii ni uwizi wa wazi. Ujambazi.
  2. M

    CCM kimegeuka kuwa chama cha kikoloni

    Sikutegemea Nape aseme hivyo. Sishangai kwa Bashe kwani wanaopigwa siyo wasomali. Lazima hao walipata fununu kuwa karibu watashughulikiwa na mkuu. Nanjia kuu ya kupata cheo ccm siku hizi ni kupambana na chadema na upinzani. Jerry Muro tu hakufaulu kwani anatoka kanda mbaya. Mungu aweke mkono...
  3. M

    Hivi katiba mpya nitunaomba au tunadai?

    Watanzania kwa.nini mnadhani kuwa ni wapinzani ndiyo wadai katiba mpya. Hiyo ni haki ya wote isipokuwa ya wanaccm kwani wao wanadhani wanakula good time.
  4. M

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Ahsante mama samia. A great lady. Very intelligent and human.
  5. M

    Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Ahsante Prof. Baregu. You are the only one left. Si uliona tulimfukuza the most intelligent prossional NIMR for no reason. Huwa hatupendi wenye kufikiri. Tunapenda sana wa ndiyooo!
  6. M

    Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

    Uehodaya ndiyo mnavyofanya huko kwenu?
  7. M

    Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

    Wananchi kwa nini mnayakubali matendo ya ccm???????? Kweli tunataka nchi isiyo na uhuru???
  8. M

    Ushindani katika chaguzi zetu hauko balanced.

    Aibu rais wetu. Nawasikitikia wote wanaoshangilia ccm
  9. M

    Vyama vya upinzani acheni kulia lia fanyeni haya

    Inatia hasira sana. Siku mkitoka furaha hiyo itakuwa sawa na ya Mugabe alipotoka.
  10. M

    Vyama vya upinzani acheni kulia lia fanyeni haya

    Ni nani ambaye hajui kwa nini ccm wanashinda uchaguzi Tanzania??? Kuna asiyejua goli la mkono hasa kwenye awamu hii?
  11. M

    Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Kwa nini watanzania tumekuwa wajinga hivi hata tufikiri kuwa kudai hakini kazi ya upinzani?
  12. M

    Bashe na Masha, Kwa kauli zenu na yaliyotokea, kwanini msishtakiwe kwa Uchochezi?

    Jamani tuache utani nchi inaelekea jehanam. There is life after siasa. Tujali nchi siyo siasa.
  13. M

    Hivi ni kwanini wapinzani wa Tanzania huwa hawasikii wala hawajifunzi?

    Wewe Azizi Musa Wewe unajua maana ya maendeleo kuliko chadema. Umetambua kukua kwa chadema pamoja na mateso yote wanayopata? Wewe unadhani tungekuwa wapi leo kama serikali ingerudisha fedha na raslimali yote iliyopotezwa na viongozi wa ccm?
  14. M

    Kafulila na Katambi wanawaambia watanzania, mkafie mbali

    Marandu njaa na magonjwa.yamezidi Tanzania. Tazama halaiki inayoonekana kuelekea meli ya kichina inayotibu bure utajua hali ya Tz hivyo wisdom haina nafasi hapa. Masha anasema chadema hawataki kushika dola Wengine wanasema kazi ya upinzani ni kupambana na ufisadi na hiyo kazi imeisha sasa. All...
  15. M

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Atamkimbiaje fisadi moja na kukimbilia kwa mafisadi wengi? Itakuwa maajabu kweli iwapo Slaa atakubali kuingia ccm. Labda watu wasiojulikana wamtishie tena kama walivyofanya 2015!
  16. M

    Walimtosa Ben Saanane, wakaingia mkenge kwa kijana wa Makumbusho

    Chadema wako busy na campaign. Nyie mko busy na kupiga domo. Who cares who goes where. Unajuaje hao wanaohamia ccm kama nao wametumwa? Wasijiamini sana. Mchezo wa Meru usijirudie. Ccm wamezidi kuhonga kodi zetu kuNunua wapinzani. Lipumba karibu anafilisika kimawazo na kihadhi. CUF ya Seif iko...
  17. M

    Videos: Patrobas Katambi enzi zake,"akiwa amenyimwa fursa"

    Vijana ndiyo balaa zaidi. Hao kina Patrobas na bashitee!!!!#
Back
Top Bottom