Search results

  1. Emmanuel TM

    Mwanza: Watu kadhaa wahofiwa kufariki dunia katika Ajali iliyohusisha Lori lililoshindwa kupanda mlima na kugonga magari mengine

    Wameweka taa ndio maana ajali zimepungua kabla ya taa ajali zilikuwa nyingi sana, hilo lori lime fail break ukizingatia pale kuna muinuko mkali buzuruga -national pale
  2. Emmanuel TM

    Car4Sale Nice condition cars bei poa tu

    PASSO CC 990 Ac yakujaza Full document Location Mbeya Engine mpya Bei 3.1M Top
  3. Emmanuel TM

    Mama wa kambo kaniharibia kila kitu

    Siku ukijua umepoteza na ukaamini umepoteza utakuwa na uwezo wa kupata kila kitu na zaid ulivyopoteza
  4. Emmanuel TM

    Vituko vya Corona Afrika

    Ninachoenjoy n kwamba kila mtu anambinu zake za kujikinga africa maana hata wao waliouleta china hawajatoa mbinu zao hadharan mpaka ugonjwa unaisha china, vip mataifa yaliyopukutika kama majan ital marakan na mengine kikubwa uhai tu Africa lazma tusimame kivyetu vyetu Unachotakiwa ukijue...
  5. Emmanuel TM

    Ni umri gani ukifika kutoboa ndiyo mwisho?

    Umri wa mwisho kufanikiwa unaitwa KIFO Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Emmanuel TM

    Nataka kufungua sehemu yangu ya kuuza spare parts

    Umekaa gerage miaka 3 alf hujui vifaa gan vinahitajika zaid ???[emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Emmanuel TM

    Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    Mmmh mjomba mbona gombo zimeiva hivyo duh ! Nipe list ya mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Emmanuel TM

    WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

    Hii kazi yake ni kudownload picha za status bila kumwambia muwekaji nitumie yani kama video n haraka sana na post zote za instagram pamoja na fb ni vyoTe yan picha na video
  9. Emmanuel TM

    WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

    Nenda playstore andika neno WIFA kwa herufi kubwa utaona imetokea na nembo kama hiyo hapo juu
  10. Emmanuel TM

    WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

    Whatapp ni rahisi zaidi kwa sababu baada ya kuidownload unaruhusu tu i access mafile ya whatapp ili iweze kudownload ni rahis mno
  11. Emmanuel TM

    WIFA application inayokuwezesha kudownload status na video za Instagram

    Ni support yenu ya hali na mali ndiyo inayohitajika kwa sasa wadau wa jukwaa la JF. Maelezo: 1. Nenda kwenye google play store kisha andika WIFA kwa herufi kubwa 2. Bonyeza install ianze kuingia kwenye simu yako (ina ukubwa wa 5Mbs) haiwezi kumaliza data zako 3. Ifungue kisha utaona option...
  12. Emmanuel TM

    Six ways men can escape poverty

    [emoji108]
  13. Emmanuel TM

    Mwanafunzi wa shule ya msingi amfurahisha Rais Magufuli, azawadiwa milioni 5

    Hawa ndio wazee wenye iman kwamba kupenda pesa ndio chanzo cha matatizo [emoji28] umechelewa sana
  14. Emmanuel TM

    Mshahara wa Agosti 2019

    Haijawahi kutosha[emoji23]
  15. Emmanuel TM

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Sasa ishu iko hiv anaingizaje kwenye biashara wakat ameejiriwa [emoji849] ? Na pesa yote hiyo ni ya mkopo? Nishauri kama hatojali akafanye upembuzi yakinifu anunulie viwanjwa vya kutosha then asubir baada ya muda awe anaviuza kwa gharama ya juu zaidi itamsaidia kidgo kuliko kuwahi kujenga cz...
  16. Emmanuel TM

    Graduate fanya mambo haya!!

    Bado sana ujaelewa maisha yalivyo na hizo mbinu ni kama unamalengo makubwa hii ni platform kubwa subir uelimishwe vzr [emoji432] Kama unandoto yakuwa milionea hakuna cha kufata kwenye hiyo list ignore fata mbinu mpya hizo za kizee sana Ila kama utaishia kuajiriwa CRDB ukahisi hiyo ndio ndoto...
Back
Top Bottom