Search results

  1. trachomatis

    Msaada kwa watumiaji wazoefu/wenye ujuzi na Clubhouse

    "There was an error. Please try again." Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye kile "kinyumba", yanakuja maelezo hayo hapo juu... Naombeni ushauri juu ya hilo. Asante.
  2. trachomatis

    Napata shida sana na watoa huduma za Airtel

    Hasa unapohitaji kusaidiwa masuala ya Airtel money.
  3. trachomatis

    Sioni bajeti ya maji ikipita kesho!

    Haijajalisha wapinzani wala wa chama tawala!
  4. trachomatis

    Kuhusu kuzima simu usiku wa saa 6 hadi 9 leo!

    Je suala hili lina ukweli? Mi nimeafuta sijaona. Ni sms tu nimetumiwa. Mwenye ufahamu atujuze. Eti kuna mionzi mara sayari ya Mars sijui kuna vitu gani hivyo inabidi tuzime cellular zetu!
  5. trachomatis

    Kontena laanguka barabarani Taa za TAZARA

    Kuna foleni ndefu. Angalia njia nyingine ya kupita,maana hata zinazotokea Buguruni haziendi na zinazotokea Temeke pia haziendi. Labda za Airport na za City Center.
  6. trachomatis

    JF Tanga mpoo??

    Naitafuta Msata kwa njia ya Bagamoyo,nakuja Tanga.. Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...
  7. trachomatis

    Kiukwelii..aliniagaa.. Alisema anaenda kubipu maliwatooo...

    "..Sitoki sasa..mi nasema sitoki.."
  8. trachomatis

    Mke wangu alijaribu kujiua...! Uliza sababu sasa... na jinsi alivyonusurika..

    Inakaribia miaka kumi sasa tangu tukio hilo baya litokee... Alikuwa mbali na mimi kwa kipindi cha kama nusu mwaka.. Japokuwa mawasiliano yalikuwepo on daily basis.. tena mara tatu kwa kutwa.. Lakini wivu wake uliopitiliza, ulipelekea kuja nilikokuwa najitafutia riziki,bila taarifa! Nilipigiwa...
  9. trachomatis

    Mi nililia kwa hasira,wewe je??

    Takribani miaka kadhaa iliyopita,nilikuwa na galfriend ambaye alikuwa akitoka na mzee mmoja mwenye fedha zake. Ilichukua akili,muda na gharama kidogo kumuachanisha na huyo baba,kwa taaluma ni Eng. Nilipiga sana simu,nilienda baa alizokuwa anakunywa,na kumsihi asimfuate tena yule...
  10. trachomatis

    Mara yangu ya kwanza kutumia Blackberry.. Pls nisaidieni..!

    Nimeweka kifurushi cha vodacom cha siku 7,cha sh 2,500.. Nikijaribu kubrowse inaniambia"This is a Wi-Fi service. Please ensure your device has an active Wi-Fi connection and try again." Je nifanyeje?
  11. trachomatis

    Ninalijua nyorororo la Dar mimi...!

    Hasa kipindi hiki chenye wanene kibao wa nchi jirani wanaojiita SADC... Kama wadau wa hapo bongo mmeanza kuliekspiriensi,mtupe joto lake..
  12. trachomatis

    Clouds FM Radio: Jahazi kuweka hotuba ya Nassari live time hii!

    Kwanza wanasoma utetezi wake kwa DPP... Ambaye hajaisikiliza japo kwa ufupi hotuba hiyo.. Itawekwa hewani hivi punde!
  13. trachomatis

    Wazo langu kwa Mods: JF Chit Chatters Niungeni Mkono!

    Liandaliwe Jukwaa maalum kwa ajili ya:- 1. Watu wanaoanzisha threads za kipuuzi zisizo na mbele wala nyuma.. So zihamishiwe huko kuliko kuzicut (kuzifunga),ama kuziondosha moja kwa moja. Kwa hiyo watakaokuwa wanafagilia huo uzi wataendelea nao huko. 2. Members ambao kwa sasa wanaface adhabu...
  14. trachomatis

    Kikwete Mrisho Jakaya: "...Wataje...,Waseme..., Wafedheheshe...!

    Nimemnukuu hotuba yake ya May Day leo.... Ameelezea alivyoempower taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Serikali (CAG). Kisha akatoa maneno hayo akimwelekeza CAG,atakapowaface Mawaziri,na Makatibu wao,na pale alipoitisha mkutano na Wakurugenzi na Wenyeviti wa H'shauri/Manispaa.. My take: Bado...
  15. trachomatis

    Siku ya Wajinga: Je,umepatikana? Je,umempata wako?

    Kuna mmoja kanikosakosa eti NMB bank ya kwetu (nakoganga) imeungua.. Mi nimemkosa "mjinga wa leo",nilimwambia awashe TV aangalie kwani Rais Obama kafariki,akastuka! Akacheka sana..
  16. trachomatis

    Pendaeli Omari yuko wapi jamani?

    Nampenda kwa jinsi anavyoandaa vipindi vya michezo vya kwenye luninga.. Huyu bwana anaipenda kazi yake kweli! Kamarada wala hamfikii..
  17. trachomatis

    "NAACHA UDAKTARI!!! Naenda kuomba ajira Tanesco..."

    -Huku kwetu hatupewi mishahara minono... -Huku kwetu hatupewi 'incentives'.... -Huku kwetu neno "WITO" linatumika kama nyundo ya kututwanga... So wengi tunalichukia ... -Huku kwetu kazi nyingi ni za kuhatarisha usalama na uhai wetu wenyewe Naomba kuwasilisha...
  18. trachomatis

    Nokia N8 yangu Haisomi line nikiiweka..

    Jamani nipeni ushauri.. Kuna ninayemdai fedha kama laki hivi.. Akaniambia anatanguliza hiyo simu na fedha tutapigiana hesabu anailpe taratibu.. NB. Ni simu original...!
  19. trachomatis

    Nadhani Kazi ya Wito ni ya Tanesco,na si Afya,Maji wala Ualimu....

    Jamani napenda ku-declare interest kuwa mimi ni mtumishi wa umma katika Idara ya Afya.. Lakini,tuseme ukweli... Katika idara ambazo inasemwa ni kazi za wito,yetu na ya Waalimu,tunanyanyasika sana.. Kidogo,tutaambiwa hatuna ubinadamu,na mengine mengi.. Sasa angalieni wenzetu... Wana...
  20. trachomatis

    Simu yangu aina ya Nokia N8 haisomi ikiwekwa line... Nifanyeje?

    Jamani nisaidieni... Ila si mpya,ni mtumba kaniletea rafiki yangu kama namna ya kupunguza deni ninalomdai... Je,itapona endapo ikipelekwa kwa fundi? Ama nifanyeje? Kama ikibidi matengenezo,wapi panafaa kuipeleka?
Back
Top Bottom