Search results

  1. K

    Mkopo wa 600,000/=Tshs unahitajika haraka

    Ukitaka mkopo lazima uwe na dhamana wewe unadhamana gani?
  2. K

    Interview Eckenforde University

    Jamani hamna mwenye information zozote kuhusu nilichouliza hapo juu?
  3. K

    Interview Eckenforde University

    Ni university tangu 2011
  4. K

    Interview Eckenforde University

    Habari zenu wanajamvi naomba kuuliza kuna mtu humu ndani alifanya interview Eckernforde University siku ya tar 4/7/2014? Nahitaji kujua nini kinaendelea maana naona wako kimya.
  5. K

    Tumefanya oral interview ya Viettel Tanzania Company

    Na vipi mishahara yao ikoje?? kwa hr takehome ni sh ngapi?
  6. K

    Upatikanaji wa matofari ya kuchoma dar

    Namimi nayahitaji sana hayo matofali ya uchoma au hayo ya hydroform naombeni namba za simu za hao wauzaji pls!
  7. K

    Raman ya nyumba inahitajika haraka...

    Naomba nisaidia mi nimejaribu nimeshindwa Jerhy
  8. K

    Raman ya nyumba inahitajika haraka...

    Habari zenu naomba kujua umbali wa kilomita kutoka Gezaulole mpaka Mwanzo Mgumu(wengine wanapaita kwa sophia simba)ni umbali wa dakika ngapi?asanteni
  9. K

    King'amuzi kinahitajika

    Mi ninacho unashilingi ngapi?
  10. K

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Ubarikiwe mtoa mada
  11. K

    nina 5mil. cash je nitapata gari?

    Kama uko serious nipigie kwa 0767908081 pia nimekutumia msg kwenye inbox yako.
  12. K

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la! Asanteni Sana!
  13. K

    Nahitaji Kununua Gari

    kesho nitajitahidi niweke picha ila tungewasiliana uione live ingekuwa poa sana ujue picha sa nyingine zinadanganya au we nipigie unielekeze utakopatikana siku yoyote nikuletee uione.
  14. K

    Nahitaji Kununua Gari

    Nina Toyota Carina Ya mwaka 1998 imeingia nchini na kusajiliwa december 2008 imeanza kutembea rasmi 2009 CC 1762 silver Mettalic, Chassis no AT21.... Engine No 7AG....... Imetembea km 137,000 Inatembea na iko katika hali nzuri sana bei ya kuuzia ni 7m haipungui chini ya hapo if interested...
  15. K

    Nahitaji Gari Zifuatazo

    Aisee mi mwenyewe sijui ku PM ndio kufanya nini kama uko serious nipigie 0767908081
  16. K

    Nahitaji Gari Zifuatazo

    Aisee mi mwenyewe sijui ku PM ndio kufanya nini kama uko serious nipigie 0767908081
  17. K

    Nahitaji Gari Zifuatazo

    Nina Toyota Carina cc 1800 ya mwaka 1998,Engine 7A,rangi ya silver Metalic bei ni 8m.
  18. K

    House is available For Rent (Kimara Temboni)

    nyumba ishapata mtu?
  19. K

    Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Habari zenu humu ndani, Mimi ni mfanya biashara mdogo na sina muda mrefu tangu nianze biashara, najihusisha zaidi na biashara ya suti za kike ambazo naziuzia mkononi,sina duka ila natafuta wateja maofisini na sehemu mbalimbali nawapelekea, sasa nimepata hela kama 11millioni nafikiria kununua...
  20. K

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Email yangu ni kimafey@yahoo.com thanks in advance!
Back
Top Bottom