Search results

  1. N

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Jamani kama nimeelewa vizuri ameambiwa Juliana ajibu sasa hawa wengine wamegeuka Juliana au? Maana naona wengine ni wa jinsia tofauti lakini wamesimama kama Juliana, uvumilivu ni mzuri kwa hoja na ndio uletao matokeo bora au majibu mazuri, hamjifunzi kwa Mkuu wa nchi yeye huwa hakurupuki hata...
  2. N

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Mwenye mapenzi ya kweli na chama hakupaswa kuyaweka hadharani yote yaliyozungumzwa, kwani walishindwa kuwasiliana na viongozi wa chama na kupeleka malalamiko na shutuma huko bila kuyaweka mambo yao hadharani? Chama ni kama familia inaonekana watu wa aina hii hata mambo ya familia zao mume na mke...
  3. N

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0754434914 au 0716207069 ukipiga nikumbushe kwa kutaja mkulima wa uyoga, nitajaribu kukusaidia kupata soko la uhakika.
  4. N

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Watu wameshalia na kusaga meno hayo meno yatakayosagwa yatatoka wapi? labda useme magego. Eti wahuni kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu na kumzalisha je, umefanya DNA hata ndani ya familia yako ukajua kama nawe ni mtoto halali? Nani anaweza kushuhudia aliyemsafi katika hili bila mawaa au doa...
  5. N

    ITV na "Morbid Curiosity", Very Unprofessional!

    Napenda kumshukuru aliyeandika mada hii na kuwezesha kuchambuliwa kwa ufasaha na ufanisi mkubwa kutoka kwa wachangiaji. Tatizo langu kubwa ni lugha iliyotumika, hivi ni kweli wote waliotumia maneno ya Kiingereza walikosa tafsiri yake kwa Kiswahili? Au ndiyo ufisadi mwingine ndani ya Taifa katika...
  6. N

    Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    Si jambo jema kwa Watumishi wa Mungu kutumia nafasi zao za kupewa heshima iliyotukuka katika jamii kuanza kutumia nyadhifa hizo kwa kutimiza matakwa yao ya kibinadamu ni hatari kwa kanisa la Bwana na huu ni sawa na upinga kristo. Ni vyema kwa viongozi wa dini kuchagua kati ya kumtumikia Mungu au...
  7. N

    Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) alimaanisha haya

    Ulichoshindwa kuelewa ni jinsi rangi hiyo ilivyochafuliwa na mafisadi waliojificha humo baada ya kifo cha Baba wa Taifa, imefikia hatua kama ya mbwa kuona shetani usiku, hivyo wanaozomea hawajakosea maana shetani kumwona ni kazi ndiyo maana hata wewe ndugu yetu umeshindwa kumwona, sasa wafuate...
  8. N

    Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

    "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012) Unastahili kuwa mmoja wa wachezaji na waigizaji wa vichekesho kwa usemi huu bali nadhani hustahili hata kuwa kiongozi wa wapiga debe wa vituo vya daladala, kwa fikra hizi.
  9. N

    Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

    Kumsikiliza mtu kama huyu ni sawa na kumsikiliza mwendawazimu anayetangaza taarifa zisizo na kichwa wala miguu barabarani. Tumechoshwa na maneno yasiyo na fikra pevu, jaribuni kuwa binadamu kamili japo kwa muda mfupi. Inakuwa kama mtu usiye na familia kuanza kuandika na kushabikia upuuzi katika...
  10. N

    kItEnDaWiLiii......

    Mwalimu angemwuliza dogo na NDIZI MBICHI zikivuliwa nguo hutoa nini? Aone kama dogo kweli ni mjanja.
  11. N

    Picha za Face Book

    Ni vizuri ukiwaambia pia na wao moja kwa moja na kama hawatapenda as long as si rafiki zako halisi unaweza kuwa'block' pia. Kila kitu chema huanzishwa kwa nia njema bali wabaya wanapoingia huanza kuchafua uzuri wa kitu au jambo, ni kawaida katika maisha. Thanks for your concern Vivy!
  12. N

    Turufu ya CHADEMA Arumeru Mashariki

    Kutaka mtu kama huyo kuweka yake ni sawa na kumwambia maana asiyejua maana. Ukweli unabaki pale pale waelewa hawawezi kuichagua ccm, hivyo basi suala zima ni je, Arumeru ni waelewa au la?
  13. N

    hivi hii hapa nayo huwa imekaaje wadau ...,

    Natumai swali lilikuwa makini tatizo wabongo ni kujifanya wajua hata kwa wasichojua, haijalishi endapo muulizaji au waliojaribu kujibu wamesoma au la. Jambo la msingi ni kutoa jibu sahihi na si vinginevyo. Nakubali swali si mchezo mwenye ubavu wa kulijibu na ajibu.
  14. N

    Swali

    Habari WanaJF? Napenda kuchukua fursa hii kwa mara ya kwanza katika safu hii ya wanaJF kumuunga mkono Bwana Anyisile Obheli kwa majibu yake mazuri kwa swali la Bwana Masiko W. M. Unaposema 'Muungano wa' unahitaji kutaja zaidi ya kitu kimoja yaani Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (hivyo...
Back
Top Bottom