Search results

  1. M

    Mnyika kuisambaratisha serikali leo bungeni, bajeti ya nishati na madini

    unasikilizia wapi wewe hebu turushie source hapa wengine hatupati
  2. M

    Kulikoni bunge haliko live?

    Hivi hakuna hata radio inayorusha kwenye mtandao? Please assist
  3. M

    Waziri Masele asema hakuna kanuni zilizotungwa kuendesha sheria mpya ya kusitisha fao la kujitoa.

    Duh hii nayo mbona hatari? Hii taarifa umeipata wapi?
  4. M

    Wabunge kujadili NSSF kesho

    Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze
  5. M

    Mgodi wa Barrick (Bulyanhulu) wafungwa; kisa NSSF na PPF, wafanyakazi wako tayari kupoteza kazi!

    Naomba update wana JF, hivi yule mbunge aliyeambiwa aka collect enogh information ili arudishe issue ya NSSF bungeni amekamilisha? Inajadiliwa lini? Mwenzenu mi nimeapply kuwapewa mafao yangu naenda shule ila wamekataa kabisa hata kupokea form yangu ya maombi. Please anayejua kinachoendelea...
  6. M

    wabunge na mawaziri wa ccm wakimbia bunge jioni hii

    Amemtaja kabisa ni waziri wa afya, naye yupo hapo bungeni macho yamemtoka tu
  7. M

    Mapenzi ya Kikwete kwa Haji Mponda na Lucy Nkya, Mauti kwa Watanzania Masikini

    Jamani naomba updates, hawa madaktari wameshagoma au bado? nini kinaendelea?
  8. M

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    mh!!!!!!!!! nimetoka jasho mwili mzima, ..... tunaenda wapi jamani!!! endelea kutu-update bro
  9. M

    BAKWATA, Clouds FM huko mwendako siko!As-Salamu Alaykum

    Kwa kweli Kibonde kweli ni kibonde!!!!! Hajui kwamba hajui na itakuwa ngumu sana kwa mtu huyu kujua. Jamani mlio karibu naye mshaurini!!! anajichoresha kinoma. Mi binafsi naipenda sana clouds, naskilizaga vipindi vyote frm power breakfast, tena naipenda jahazi mnooo!!! ila jamaa ananinyima raha...
  10. M

    CHADEMA + CUF: Maandamano ya kitaifa

    Hebu ndugu nisaidieni jibu, hao polisi wamekataa hayo maandamano kwa kigezo gani?
Back
Top Bottom