Search results

  1. M

    Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

    halafu ni raia wa kenya,darasani alikuwa anaongoza kwa kukamatwa,
  2. M

    Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    hawajadilo bajeti wanajadili malaya wa. sinza waliozalishwa,machangudoa
  3. M

    Nikipata sababu za kitaalam na zenye mantiki kwanini Rais Magufuli hapendi kusafiri ng'ambo nitashukuru

    kuna betri katika pampu ya kimiminika cha mwilini,inashauriwa kisiwe karibu na mivutaano ya kisumaku,kinaweza kuvutwa kikazima
  4. M

    Watoto waliotelekezwa kupatiwa bima ya afya

    wapiga dili waliokuwa wanaasemwa vibaya mwanzoni eti wafanyabiashara sijui nini,mbona kondakta anawaingiza ndani ya serikali kiaina
  5. M

    Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    product ya zama za mawe,digitali haiwezi
  6. M

    Utafiti uliwahi kubaini kuwa watanzania wana IQ ndogo

    ndio maana tulipewa eneo kubwa la nchi ili tuokote okote,ukubwa pua si wingi wa kamasi, nawaza kama mkoloni angeipeleka kilomanjaro kenya,kagera uganda,mara iende kenya,hii nchi yangebaki maboga tu, mikoa inayotoa changamoto ni hiyo tu,kisiasa,kiuchumi,kielimu,ukienda ktk vyuo vya elimu ya...
  7. M

    Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

    hii ni serikali ya magufuli sio ya ccm,hata nape kuna kipindi alikuwa akisema hivyo
  8. M

    Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    hahaha ndio maana anakomaa katika nchi ambazo sheria inaruhusu Nyani Ngabu
  9. M

    Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    huyu akirudi bongo ndio dizaini ya dk shika,hii misukuma shida sana
  10. M

    Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

    jamaa ashakuwa baby wa mtu?
  11. M

    Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

    ana kichwa kikubwa sana,kama tenga la nyanya
  12. M

    Rais Magufuli mgeni rasmi kusimikwa kwa Askofu Mkuu mteule Askofu Isaac Amani Masawe jimbo kuu la Arusha

    baada ya kuzima wanaharakati,wanahabari,wapinzani,akajua kamaliza, hakujua anaowazima pia ni waumini mahalli fulani limeibuka kanisa,akizima huku kule panaibuka........ Herode alimsaka mtoto Yesu ili ammalize,Mungu akamficha Misri,Mungu kaificha demokrasia kanisani,isiuwawe
  13. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa

    mapato tatizo,atafukuza kila mtu na mwisho atajifukuza mwenyewe
  14. M

    Prof Assad,deni la Taifa,na kisa cha mfalme aliyevaa nguo zionyeshazo maungo

    kuna kisa kimoja cha mfalme aliyeaminishwa kuwa kavaa nguo maridadi kumbe la hasha,maungo yake yalikuwa yakionekana kwa wananchi hii habari ni sawa na jaribio la prof Assad kumwambia mfalme akavae nguo hasa alipoongelea deni la Taifa,lakini mfalme bado anaamini kavaa vazi maridadi,kwa hiyo Prof...
Back
Top Bottom