Search results

  1. mazojms

    Time Perception

    As i was sitting looking at the sky, i saw the sky colored by beautiful, yellowish, and gold-like color of the setting sun. It was like the sky was burning except it was beautiful and perfect[emoji4]. Ghafra i started thinking how useless i was in this precious and ending day. For some reasons i...
  2. mazojms

    Vijana tuache tamaa, tujifunze uaminifu

    Najua ndio muda wetu wa kutafuta, lakini si kila fursa inayopita mbele yako lazima ufanye ujanja ujanja ili ufaidike. Jifunzeni kujenga uaminifu kwa watu hasa msiowajua. I hate untrustworthy people.
  3. mazojms

    Niyaonavyo mabadiliko ya mtaala

    - Habari za wakati huu mabibi na mabwana wa humu jamii forum. Tuachane na salamu maana lengo la kuandika uzi si kusalimu watu. - Nimesikia habari za kubadili mtaala wa elimu na nimesikia maoni mbalimbali. Personally nafikiri mtaala uliopo hauna shida. Hakuna mtaala utakaoanzishwa au utakaokuja...
  4. mazojms

    There is no "Right" or "Wrong"

    MWANZO Leo nimeambiwa kwamba nimefanya kosa fulani, na wakati huohuo mimi niliamini kwamba "I was right" na sijafanya chochote kisicho sahihi. Baada ya mabishano, at the end wote tukakubaliana kwamba mimi ndio nilikuwa sahihi. - Hali hiyo ilinifanya nifikirie kwa muda then after hours of...
  5. mazojms

    Is Einstein time dilation valid?

    NB: Ninaandika haya kwa lengo la kutaka kujifunza, na nitafurahi kukosolewa maana ndivyo nitakavyo jifunza zaidi. Ila wale mnaokosoa lugha naomba kwenye huu uzi mnikaushie basi[emoji1][emoji1][emoji1]. 1.1 OBSERVATIONS Jioni nilikua nimekaa sehem nikaona mtu kamrushia mwenzake ndoo, ndoo...
  6. mazojms

    The concept of life

    - Binadamu anasemekana kua ndio kiumbe mwenye akili zaidi duniani lakini maana ya maisha kwake haitofautiani na maana ya maisha kwa primitive organisms kama bacteria, the only difference ni ufanyaji wa task lakini task ni zilezile. - Mfano Bacteria hutengeneza colonies wakati huohuo binadamu...
  7. mazojms

    Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini

    Nafikiri ni muda sasa Serikali iwafikirie vijana wetu Watanzania walioko nchini China (hasa walio kwenye maeneo yalioathirika zaidi na Corona virus). Hofu inazidi kutanda si kwa vijana hao pekee bali hata kwa ndugu zao tulio Tanzania. Nimehuzunishwa sana na ujumbe wa video ikiwaonyesha vijana...
  8. mazojms

    Kilimo cha miti ya matunda

    Natumaini mu wazima wana jamvi! Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kilimo cha miti ya matunda Tanzania naomba anisaidie. Ukiwa na maelezo ya kitaalam itapendeza zaidi, na kama una uelewa wa juu juu itapendeza pia ukishare ulichonacho. - Nahitaji taarifa kuanzia upatikanaji wa mashamba - Uchaguzi...
  9. mazojms

    SOUTH AFRICA: Misplaced anger.

    "Kuna jumla ya wahamiaji millioni 2.3 wanaoishi SA, idadi hii inajumuisha waafrika kutoka nchi zingine za afrika, wachina, wabangladesh, wahindi na waeurope wasio wazawa wa SA. Milioni 1.6 ya wafrika ni wajasiriamali wadogo wa maduka na wa barabarani. Jumla ya mali zao ni chini ya asilimia...
  10. mazojms

    Ushauri wa babu kwa vijana

    Sikuhizi vijana wengi wanasema ni vigumu kupata mtu sahihi katika mahusiano, kama na wewe ni muhanga basi ushauri wa babu unakuhusu. Ni ngumu kumpata mtu sahihi sababu matamanio yetu ni tofauti na matakwa yetu. tunachotamani sio kile tunacho kitaka na tunachokitaka sio kile...
Back
Top Bottom