Search results

  1. katikomire

    Bungeni leo: Hatma ya fao la kujitoa (withdrawing benefit )

    Kwahiyo mie ndo nimedhulumiwa na Zee la viwonder
  2. katikomire

    Ushauri; Nahitaji kujua ni king'amuzi gani kina ubora na gharama nafuu vya hapa kwetu Tanzania

    Kati ya ulivyovianisha hapo hakuna cha maana vyote vibovu
  3. katikomire

    TANROADS pale Mbezi mwisho jengeni bypass kama hii

    Hao Wenye degree ndo wale hawataki tujue kuwa ndege yetu imekamatwa?
  4. katikomire

    Wizi wa Almasi wa Graff Diamonds Uingereza ambazo mpaka leo Hazikupatikana

    Agizia pepsi ukabahatika kujishindia 1,000,000 unastahili pepsi baridii
  5. katikomire

    Mbowe ni kiongozi mwenye maono ya mbali

    Sijawahi sikia unampinga/japo hata kumuuliza anaweza kuokota vichwa vya train kisa hapo hapo waziri wake anafanya mchakato wa kuvinunua Huu ujuha usituambukize sisi.
  6. katikomire

    UKAWA na CHAUMMA wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao hadi kasoro zilizojitokeza uchaguzi uliopita zitatuliwe

    Zipi Mbwembwe Za Sadifa na Mnyeti wote watuhumiwa ila Mmoja wakwetu ila mwingine sio Mmoja wakwao
  7. katikomire

    Siku Rais Magufuli anastaafu urais, itakuwa sherehe kubwa kwa Mafisadi

    Mkuu hata kama tunalipwa kuandika haya ndo tunakazwa hata kutumia Hata akili za kama akili za shule tumetoka kapa? Nikuulize tu fisadi kama wewe mbugira Unamtambuaje je fisadi ni kosa kisheria na kama ni kosa kisheria je? Unawatambua hao mafisadi? Je Unasaidiaje hao mafisadi kufikishwa Mbele ya...
  8. katikomire

    DW kufanya mahojiano mchana huu na Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Ikiwa imebuma hali au mazingira yake Yakoje ili mtu atambue na ikiwa Haijabuma inakuwaje?
  9. katikomire

    Watanzania tumelogwa na nani tunashangilia walawiti kuachiwa, tumewafikiria wahanga?

    Ila na yabo sana Mpaka sasa MAGU Hajapiga popote Faru John mpaka leo sijui ilikuwaje Mahakama ya mafisadi imekuwa kiini Macho alichoweza kukamata, Wapinzani na kupiga marufuku Bunge live Ila makonda kwenye mikutano yake Inakuwa live huu ujuha.
  10. katikomire

    Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania

    Soma tena mkuu utaelewa kuwa Mpaka ruhusa ama makubaliano ya Pande mbili zikiafiana ndo kila kitu Kikafanyika
  11. katikomire

    Tundu Lissu: Polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kunihoji nikiwa Kenya au kwingineko nje ya mipaka ya Tanzania

    Sasa hapa kamanda umeweka mambo sawa maana juzi tumelishwa tango pori kuwa wametumwa makachero kukuhoji kumbe alikuwa anapima upepo MUNGU ni mwema atakupigania dhidi ya watesi Wako
  12. katikomire

    Chadema IMARA Chuma kinapita kwenye Tanuru la moto

    Imani yetu ni chadema wenye kwenda waende sisi bado tupo
  13. katikomire

    Chadema IMARA Chuma kinapita kwenye Tanuru la moto

    Abiria kusikia kichefuchefu na kutapika melini/na kwenye boat hakumfanyi Nahodha kuhairisha safari Misukosuko ni changamoto
  14. katikomire

    Mnamwitaje huyu kwa kabila lenu

    Shvom
Back
Top Bottom