Search results

  1. The great R

    utafanyaje ukigundua hili

    Nambadilisha na kumpa ninalotaka
  2. The great R

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Mpendwa mwanaJF Love is not blind but the people who are in love are the ones who are blind to each other. Kila mtu ana criteria zake katika kutafuta mke au mume ambazo akiona mtu amezitimiza basi hasiti kutangaza nia, katika mapenzi parents comes second after the one you love except kwa reasons...
  3. The great R

    Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

    Samahani mwana JF The great thinker ulikua na maana gani kupost hii Unatupa taarifa. Wasiooa waoe Tanga Wenye ndoa watoke nje wawe na nyumba ndogo au waache wake zao ambao si waTanga? Wanawake ambo co waTanga waende kupata ujuzi? Me nadhani kila mtu anachoice yake na mke au demu wakuzugia...
  4. The great R

    Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

    good stuff ila wapo wanaume wanaofanyiwa yooooote hayo but hawaaachi kuhangaika jamani. Me nakazia kwenye kusali tu, ukishaumbwa mwanamke huna ujanja wakutomwombea mmeo maana nia agizo la Mungu
  5. The great R

    Numekula mtu (dada) na mdogo wake

    tafuta mwanamke mwingine hao ni ndugu waache. una tamaa mbaya ipo siku zitakuua. unaonekana hujatulia na hujapevuka kiakili ukikua utaacha
  6. The great R

    Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

    nimeolewa jamani sijaagizwa hivi tena imani yangu yanikataza mmmhhh. Yani mme wangu popote ulipo we nenda utakapo me utanikuta ila kidumu no plz
  7. The great R

    Haya ni mapenzi au huruma?

    soma dia achana na hayo usije kutendwa
  8. The great R

    Huyu mdada mbona hasomeki?

    kama kweli hunamadem na ni huyo ndio umpendae sidhani kama kutakua na purukushani inawezekana anajua past zako.
  9. The great R

    Nimeamua kuoa baa medi

    kwa thread yako naona huitaji ushauri ila umetupa msimamo wako, haya broda kila la kheri
  10. The great R

    Sisi ndio wanaume bwana!

    haya wanaume kama kweli mnaweza simamieni hayo
  11. The great R

    Ndoa imenishinda wana Jf, nipeni mwongozo tafadhali.......!

    Guys, its hard to understand men sometimes. Hali hii ina muda gani? mana kutokana na thread yako naona kama ni siku moja tu sasa utaweza kweli kama ulivyoapa kwa shida na raha hadi kifo kitutenganishe? Kitu kingine nahisi kama unafichaa kitu maana hadi anune pamoja na ujauzito ghafla kiasi hicho...
  12. The great R

    Tahadhari kwa wanawake walioolewa

    k sitakunyima ukiona unanyimwa ujue ashajua kama unapengine unapata ili akuonyeshe kwamba ni upuuzi anaamua kuibana yake,utumie unayoitaka coz yake siumeona haitoshi
  13. The great R

    Tahadhari kwa wanawake walioolewa

    me nimeolewa. Kwanza kabisa housegal ni kama binti katika familia anayofanya kazi.kiukweli jiulizei aliotoka hadi akaingia ndani kwako amefuata nini? kama mama siwezi kumruhusu binti yangu atembee na wanaume eti kumaliza ashki,JIULIZE angekuwa binti yako yakumzaa ungekubali mtu anaemlea amfanyie...
  14. The great R

    Ni AVATAR gani inakupendezea

    yangu jameni
  15. The great R

    Inauma sana

    N akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu. Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina
  16. The great R

    Tunatimiza hii ahadi?

    "Mimi TGR ninakuchukua wewe SSS kuwa mke wangu wa ndoa nina ahidi kukupenda na kukuheshimu,nitakufanyia fadhila na kukujali.nitakua pamoja na wewe katika shida na raha,magonjwa na afya,hadi kifo kitutenganishe,eeh mwenyezi Mungu nisaidie." Vigelegele vikapigwa ,makofi matarumbeta yani full...
  17. The great R

    naombeni ushauri wenu wapendwa!

    jaribu kukatika halafu umsikie kama anataka au lah, kamahujui jifunze ia usimuulize kama hujui anaweza akawa napenda halafu wewe huwezi . kama unajua wewe katika halafu umsikilizie,kama hujui jifunze kwanza kimya kimya ni rahisi sana mana viuno wakati wa sex sio viuno kama vya bolingo. Ukishajua...
  18. The great R

    Inauma sana

    NDOA; Nyumbani Daima Omba Amani Wakati wakuapa anakumbuka alisema nini?anakumbuka nyakati zote alizoahidi kua atakua na mkewe? Wanaume jamani kutandika au kuweka net kuna ishu gani?? Nijuavyo wanaume ni watu wasiopenda malumbano sasa mbona huyu anakua tofauti?ushajua mkeo mjamzito,awe anavunga...
  19. The great R

    Nisaidieni

    Watu wengi sana wanavunja mahusiano kwa simu,na ndio maana hata ukisoma comment nyingi za watu humu wamekushauri wajuavyo. Simu hizi tulizo nazo ni nzuri sana ila aina ya matumizi ambayo ni mabaya ndio yana sababisha matatizo. Kama wapenzi mnaaminiana hauwezi kukataa kumpa simu mwenzako ila kama...
  20. The great R

    Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

    warning kwa anayetaka kuoa mabinti kama hawa bt naweza jua umri wenu?! mume au mke mwema hupangwa na Mungu
Back
Top Bottom