Search results

  1. marcoveratti

    Anachoona kanji na tunacho ona mashabiki ni vitu tofauti kabisa

    Ukiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa. Huku wa Simba wakitamba kwamba mfupa wao washauzoea hivyo jambo lao wanalimaliza safari hii na mbwai ita kua mbwai afe kipa afe beki...
  2. marcoveratti

    Anayepigiwa simu na Mudathir apokee

    Kati kati ya kitongoji masikini chenye rate kubwa ya uharifu alikuwepo bwana mdogo alie itwa Gabriel teseka na penzi la mrembo mmoja wakishua alie itwa Skyle mrembo kweli kweli. Mara zote Gabriel alitolewa mbavuni alipo tupa nyavu kumpata mtoto Skyle.Gabriel alipiga sana simu hakuna hata moja...
  3. marcoveratti

    Kila story itamsifia muwindaji hadi pale simba atakapojifunza kuandika

    Kuna nadharia zaidi ya milioni moja kutoka mataifa na meaneo mbali mbali yenye kusimulia kuhusu uwepo nguvu isiyo ya kawaida , nguvu yenye uwezo wa kuumba na kutoa uhai.(supernatural power ) kutoka kwenye ngano hizo nyingi ndipo zinapo zaliwa dini nyingi , Ukiachana na ngano zenye kusimulia...
  4. marcoveratti

    Ligi ya mpira wa Tanzania sio dance floor

    Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!, Kwanini? Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting...
  5. marcoveratti

    Time paradox

    Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma. Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza akasafiri muda na kwenda mwaka 1900 akawakuta watu wazamani mabibi na mababu walivyo kua wana fanywa na...
  6. marcoveratti

    The story of White Walkers

    Hapo zamani, kulikuwa na hadithi maarufu katika ulimwengu wa kufikirika wa bala la Westeros, ulimwengu wa series ya "Game of Thrones" iliyo zungumzia Usiku mrefu(the long night) na uwepo wa White walkers. Kuanzia sehemu ya kwanza mpaka simulizi hii inafika tamati, ime kuwepo habari ya "the long...
  7. marcoveratti

    Jana haikuwa ya kufurahisha ila kesho itakua njema

    Kwenye historia ya vitabu vya simulizi za watoto maafuru kama (FAIRLY TALE STORIES) ipo simulizi ya Daktari Frakenstain ambe inasa elezwa kuwa alikua na teknolojia ina weza kufufua wafu, Alitumia teknolojia hii kuridisha uhai wa mdogo ake alie julikana kwa jina la Inspector Jonathan. Historia...
  8. marcoveratti

    Watoto wa 2000’s, muvi yao itakuwaje 2025?

    Tangu Tanganyika ipate uhuru wake kamili December 1961 ni kama miaka 60 imepita huu ni wa 61.. Kutokana na sheria kua ili raia wa Tanzania awe na uwezo wa kupiga kura ni lazima awe angalau na miaka 18 hivyo tangu tupate uhuru kuna vizazi vitano tofauti ambavyo vime Timiza umri wa kupiga kura...
  9. marcoveratti

    Kuwa makini anayechapa kadi ya harusi

    Bibi Harusi alienda stationary aliomba achapiwe 1 Yohana 4:18 kwenye CARD YA HARUSI lakini mchapaji alifanya kosa kwa kutoweka "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18_ 1 Yohana 4:18 inasema "Katika pendo hamna woga, bali pendo lililo kamili hufukuza hofu zote"_ Lakini Yohana 4:18...
  10. marcoveratti

    The looting machine of Africa

    "The problem with Africa is those with power have no idea, and those with idea have no power" By proffesor lumumba Recent Nilikua nasoma kitabu kimoja kimaitwa THE LOOTING MACHINE OF AFRICA kimeandikwa na Tom Borgis, tofauti na maandiko mengi sana niliyo wahi kuyasoma yakizungumzia utajiri na...
  11. marcoveratti

    Ukimfumania mkeo na jamaa kitandani kwenye nyumba yako, maamuzi gani utachukua?

    Ukimfumania mkeo na jamaa kitandani kwenye nyumba yako, maamuzi gani utachukua? Share experience yako [emoji16]
  12. marcoveratti

    Rekodi za timu kutoka Africa kombe la Dunia 2022

    Rekodi za timu kutoka Africa kombe la Dunia 2022 .. [emoji3591]Ni mara ya kwanza team kutoka Africa inapata ushindi dhidi Ya bingwa mtetezi wa kombe la Dunia, Tunisia waki pata ushindi dhidi ya bingwa mtetezi wa 2018 France. [emoji3591]Timu za Africa zina weka Rekodi ya kupata ushindi mara...
  13. marcoveratti

    Rekodi ya matukio kadhaa yaliyotokea Qatar kwenye kombe la dunia hadi sasa

    Mashindano Ya kombe la Dunia Yakiwa Yanaendea Kuna Baadhi Ya matukio na Rekodi kadhaa ziliwekwa na Timu na wachezaji Binafsi.Hizi ni Baadhi Ya Rekodi katika mashindano. [emoji429]Qatar imekuwa timu Ya kwanza mwenyeji kupoteza mechi Ya Ufunguzi, Timu Ya kwanza Kuondolewa katika mashindano baada...
  14. marcoveratti

    Wapenda series got (House of Dragons)

    Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO.. Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao walitokea the bara tofauti na westoras sehem the inaitwa Verylian. Miaka zaidi ya 170 kabla ya...
  15. marcoveratti

    Asili ya jina la Afrika na jina halisi la bara letu

    Hatupaswi kuendelea kuita bara letu AFRICA na kuanza kuita jina lake halisi la ALKEBU-LAN, kama jinsi ma babu zetu walivyo kua wakiliita hapo awali, ALKEBU-LAN lenye maana ya "ASILI YA UHAI DUNIANI" Jina la Africa halina maana yoyote wala hali akisi jambk lolote kutoka kwenye lugha zetu za...
  16. marcoveratti

    Am in love with church girl

    Kuna love story alafu kuna am in love with church girls [emoji130]. Miles Montego ni jamaa flani muuni sana mtu wa dili zote chafu kuanzia kuuza madawa ya kulevya mpaka siraha haramu. Jamaa hajawahi kuona kama wanawake ni watu.. maisha yake yote amekua akiamini wanawake ni nidhaa ambayo...
  17. marcoveratti

    Orphan Black na power ya casting na character

    Kama ni series bora basi naweza kuitaja Game of thrones,Prison break na 24 au Once upon a time ya mheshimwa Rumple stiltr skin na hii ni kutokana na mpangilio wa story matukio ubora wahusika uwekezaji na mambo kadha wa kadha,, ila kama ni series ambayo imenifanya nione ni namna gani charater na...
  18. marcoveratti

    Kikosi bora cha muda wote Yanga ni kipi?

    Tangu kuanzishwa kwakwe mwaka 1932 clabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga Sc wamepita zaidi ya wachezaji 1000 walio itumikia timu hii kwa nyakati tofatuti tofauti na vizazi tofauti tofauti. Kutokana na ukweli kwamba sheria ya mpira wa miguu ambao huko America wanautambua kama Soka...
  19. marcoveratti

    Dauda anaruhusiwa kuendesha biashara ya vifaa vya michezo?

    Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF. Wote tunafahamu kua Shafii Dauda ana miliki maduka ya Vifaa vya michezo DAUDA SPORTS WEAR...
  20. marcoveratti

    Kwanini T-shirt ya Pheran Torres haina Logo ya Barca wala nike ?

    Kwa walio bahatika kutazama mechi ya Europa ilio wakutanisha Barcelona dhidi ya Napoli kuna jambo kisilo la kawaida kwa hii jezi ya Pheran Torres kuto kua na Logo ya Timu wala mdhamini wa jezi yani Nike Kwa anae fahamu zababu anijuze
Back
Top Bottom