Search results

  1. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Nyerere alikuwa mjanja sana Mama hawezi kuvunja muungano na hana huwezo huo kwa mazingira ya huu muungano. Mama akivunja muungano Jeshi litavunja serkali.
  2. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Mkuu hao jamaa ni wahuni tu na wanatumia uhuni kwenye mgongo wa dini, kwanza hao watu wote wanakamatwa majumbani mwao wakila lunch zao, wala sio kwamba walikamatwa mitaani.Pili wazungu hawakamatwi sasa baada ya kusikia malalamiko kwamba mbona ni watanganyika tu mnakamata, wakaja na uhuni...
  3. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Tatizo lao mambo yao yote lazima yaratibiwe kule dodoma.Hawana lolote hao
  4. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
  5. D

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Ata Zanzibar hakuna sheria hiyo ila wanadanganyana tu,mara katazo sijuhi
  6. D

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Hebu taja hiyo sheria kama ipo....wewe sasa umefunga nini kama unadanya kitu ambacho hakipo
  7. D

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Huo ni uongo, wanataka kuwaminisha watu kwamba ata wazungu wamakatazwa kumbe ni waswahili tu. Zanzibar hakuna sheria inayokataza watu kuila mchana
  8. D

    Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Tatizo ninini? Kwasababu ni msaada? Ngano ya Ukraine inayouzwa Africa, majirani zao Poland wanasema hawawezi kulishia ata manyama na kuku zao...We kataa mchele na endelea kula chapati za unga toka ukraine.
  9. D

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Ngano inayolimwa Ukraine haiwezi kuuzwa europe kwa tatizo hilo hilo na ndo imejaa Africa. Nyie tulieni tu maana hamtaki kulima .
  10. D

    Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Ukitaka kujifunza kiurahisi chukua hicho kilichokushangaza then weka kwenye mfano wa mazingira ya karibu na wewe Mfano tofauti ya mili ya makabila ya TZ hapo hapo
  11. D

    Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Wataiba CCM hawajawahi kushinda
  12. D

    Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Kuna Watanzania wengi wako Jeshi la uingereza na wengine wako uko nato sasa hivi.Ina maana yeye hajuhi kwamba uingereza kwa mgongo wa nchi za madola ni haki kwao kuwaingiza kwene jeshi lao
  13. D

    Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Hawawezi kujibu sana sana watazungusha tu.Watu wengi easten europe wanaelewa kwamba hiyo hawawezi kulindwa na hiyo nato
  14. D

    Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Ata Kagame si anakana kwamba hasaidii M23 wakati wazi wanatokea Rwanda na Uganda....Nato wameogopa lugha zimebadilika
  15. D

    Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Hao nato ni waoga sana hawana huwezo wa kuzilinda hizo nchi ni mbwembwe tu
  16. D

    Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    We unawasikiliza watu waliokuwa wamechanganyikiwa? Utakuwa kichaa na wewe
  17. D

    Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Deep system imejaa wezi na hawamwini kabisa huyo mzee.
Back
Top Bottom