Search results

  1. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Haina haja ya kuweka hapa picha, ni kweli kuwa jana Mhe. Mtatiro alihudhuria mkutano wa uzinduzi wa CHADEMA na kuacha gari hotelini. Lakini alikuwa na walinzi na watu wengine japo mtoa mada hii aliweza kudhani anatembea peke yake. Mi mwenyewe nilikuwa mita kadhaa kutoka alipokuwa akitembea...
  2. M

    CHADEMA wasaliti - CUF

    Mtatiro hajamwambia mwandishi yeyote kuhusu suala la usaliti wa chadema igunga. Hutu aliyeleta mada hii aseme ni gazeti lipi na mwandishi yupi. Pia mtatiro siyo mratibu wa kampeni za cuf igunga, mratibu wa kampeni zetu ni shaweji mketo, naibu mkurugenzi wa uchaguzi cuf taifa. Kuna watu humu...
  3. M

    Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

    Mtatuchukia CUF bure lakini tunajipanga sana na kwa hakika mtaona what is going to happen, hapa siyo busanda, tumejipanga vya kutosha na mgombea wetu anauzika, leteni wagombea wenu kutoka CCM 'A' na CCM 'C' muone what is going to happen. Mahona is going to make it!
  4. M

    Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

    leopard mahona - mgombea wa cuf mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la igunga; umri; miaka 29. elimu; stashada ya biashara na uongozi. uzoefu wa kazi; mratibu wa shirika la world vision – igunga kwa miaka 2...
  5. M

    CUF: Lolote liwalo Igunga..!

    <br /> <br /> Tumesikitishwa sana na propaganda hizi zinazoendeshwa na vyombo vya habari juu yetu. Mimi naitwa mohammed mtutuma , msaidizi maalum wa naibu katibu CUF tanzania bara. Kwa niaba ya mhe. Mtatiro naomba kueleza kwa uwazi kuwa hizo oparesheni zinazotangazwa ni za...
  6. M

    Mtatiro(CUF), Nape(CCM) na Erasto Tumbo(CDM) "LIVE" on MLIMANI TV Leo saa 2 usiku

    Kwa CUF kitengo hicho kinaitwa KURUGENZI YA HABARI,UENEZI NA HAKI ZA BINADAMU, inaongozwa na Mhe. Amina Mwidau(MB) - Viti maalum kutoka mkoa wa Tanga(M.A in Mass Communication). Kwa sasa yuko bungeni na kipindi kiko Dar kwa hiyo inahitaji upeleke mtu mwingine, na kwa sababu Nape ni mtu wa...
  7. M

    Mtatiro(CUF), Nape(CCM) na Erasto Tumbo(CDM) "LIVE" on MLIMANI TV Leo saa 2 usiku

    Nimejulishwa na Mliman TV kuwa hawa jamaa wataunguruma mida ya usiku wa leo LIVE juu ya muelekeo wa nchi, na kama sikosei Nape ataenda kueleza namna CCM ilivyoleta maendeleo ya kufa mtu, Sijui patakuwaje maana ake atakutana na vichwa. Ama ndi Gamba litavuliwa Live leo.
  8. M

    Taarifa ya chama cha wananchi cuf kwa vyombo vya habari kuhusu mgao wa umeme

    Wala hatuko kimya hata kidogo, hivi sasa siasa zimehamia bungeni na ndiyo kawaida ya siasa katika nchi yoyote. Bungeni wabunge wetu wanasema mambo muhimu mara nyingi mno lakini kwa bahati mbaya bunge na vyombo vya habari kila kukicha kipaumbele ni posho za wabunge. Vyama vinavosigana kuhusu...
  9. M

    Taarifa ya chama cha wananchi cuf kwa vyombo vya habari kuhusu mgao wa umeme

    Kuongoza wananchi na kuwapatia maendeleo ya uhakika hakuna uhusiano na maandamano, hata wanaondamana huku na kule sijajua huwa tumefanya tathmini kujua mafanikio ya maandamano hayo, unahitaji maandamano ya bila kikomo nchi nzima kuiondooa serikali madarakani lakini CUF tuna mtizamo tofauti juu...
  10. M

    Taarifa ya chama cha wananchi cuf kwa vyombo vya habari kuhusu mgao wa umeme

    Imetolewa na;Julius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu CUF – Tz Bara, Jumapili, 03 Julai 2011 saa 5.00 Asubuhi – Dar es salaam. UTANGULIZINdugu waandishi wa habari,Nchi yetu hivi sasa inakabiliwa na mgao wa umeme ambao ni mkali kuliko ule 2006. Umeme unaofuliwa haukidhi mahitaji. Tunaambiwa maji...
  11. M

    Aliyegombea ubunge na zitto atiwa mbaroni, ccm wameanza visasi

    Mgombea ubunge wa CUF katika uchaguzi wa 2010 jimbo la KIGOMA KASKAZINI ndugu OMAR MUSA MKWALULO amekamatwa leo mchana na polisi jijini Dar es salaam. Bwana mkwalulo alipigiwa simu na ofisa wa takukuru mkoa wa kigoma jana akiwa ifakara. Alimjulisha ofisa huyo kuwa yuko ifakara na ndipo...
  12. M

    Kwanini Julius Mtatiro alienda CUF?

    Ndio maana nikasema taarifa nyingi zinazotolewa hapa ni uongo na zina malengo ya kuficha ukweli na usahihi wa taarifa. Mgomo wa 2008 uliopelekea mtatiro kukamatwa na kufikishwa mahakamani ulifanyika wakati mtatiro ameshastaafu masuala ya uwaziri mkuu UDSM na ukatibu mkuu wa vyuo vikuu TZ...
  13. M

    Kwanini Julius Mtatiro alienda CUF?

    Mimi naitwa mohammed mtutuma, ni msaidizi maalumwa Naibu Katibu Mkuu CUF Tz bara, mhe Julius Mtatiro. Kuna upotoshaji unaendelezwa hapa ndani na imenilazimu nitoe ufafanuzi. 1. Kuna watu wanajaribu kuwadanganya wadau humu kwamba mtatiro ndiye amejianzishia mada hii - napenda kuwahakikishia...
  14. M

    Cuf - tunaipongeza chadema kwa kuunda serikali ya pamoja arusha.

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. CUF – TUNAIPONGEZA CHADEMA KWA KUKUBALI KUUNDA SERIKALI YA PAMOJA – ARUSHA” Imetolewa na Mhe. Julius MtatiroNaibu Katibu Mkuu - Bara Juni 21, 2011 CUF – Chama Cha Wananchi tunakipongeza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuridhia kuunda serikali ya...
  15. M

    Hoseah amefanikiwa kupambana na rushwa?

    Wameanza presentation tume ya maadili ya viongozi wa umma, wanasema wao wamefanya kazi kubwa sana ya kudhibiti viongozi wasio na maadili na kuwa kuna kesi 20 za viongozi wakubwa ambao hawakujaza fomu wataziwasilisha kwenye tume ya maadili.
  16. M

    Hoseah amefanikiwa kupambana na rushwa?

    Leo jumatano tarehe 15.06.2011 kuna kongamano la mwaka la kitaifa la kupambana na rushwa hapa ubungo plaza, tayari limeanza na kati ya watu naowaona meza kuu ni pamoja na chikawe(waziri), hoseah, mengi reginald na wadau wengine, Natarajia kuwapa updates zote muhimu.
  17. M

    CHADEMA + CUF: Maandamano ya kitaifa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIAZMA YA KUTOSITISHA MAAANDAMANO YA KUPINGA MAUAJI YANAYOFANYWA NA POLISIImetolewa na Julius MtatiroNaibu Katibu Mkuu-Chama Cha Wananchi CUF – Tanzania Bara10/6/2011Chama Cha wananchi CUF kinasisitiza kuwa maandamano ya kupinga vitendo vya kinyama vya mauaji...
  18. M

    Mbunge wa CUF Magdalena Sakaya na viongozi waandamizi wa CUF wanyimwa dhamana mara ya pili

    MBUNGE WA CUF MAGDALENA SAKAYA, WAJUMBE WA BARAZA KUU CUF, OFISA WA HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA WILAYA NA KATA WANYIMWA DHAMANA BAADA YA KUPEWA MASHARTI MAGUMU. Katika hali ya kushangaza leo asubuhi, Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Urambo Mkoani Tabora Mhe. Bulugu...
Back
Top Bottom