Search results

  1. makonko

    Nahitaji contena 40ft

    Wasalaam, nahitaji contena 40ft ofa yangu 3mil nipo dar mwenye nalo tafadhari
  2. makonko

    Nahitaji contena 40ft

    Wasalaam, nahitaji contena 40ft ofa yangu 3mil nipo Dar mwenye nalo tafadhari
  3. makonko

    Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao ya misitu

    Nataka kuingia kwenye biashara ya mbao naomba. Kwa wajuvi wa mambo haya mchakato mzima unakuwaje.
  4. makonko

    Msaada: Natokwa na usaha kwenye uume na nikikojoa naumia

    Mwenzenu nina tatizo la kutokwa na usaha kwenye uume wiki tatu sasa Pia nikikojoa kwenye njia ya mkojo panauma, naomba kujua hili ni tatizo gani na limesababishwa na nini na tiba ni ipi? Asanteni
  5. makonko

    Haki za binadamu, je hakuna haki za wanyama??

    Kuna haja ya kuliangalia swala hili kwa kina unakuta ng'ombe au punda wamebebeshwa mzigo mkubwa mfano maguni ya mpunga au mahindi huku wakilazimishwa kukimbia kwa mijeredi mpaka unakuta punda anatoa machozi analia kama binadamu!! Kumbuka wanyama wana damu kama binadamu hivo wanahisi maumivu...
  6. makonko

    RED CROSS AJIRA

    Nimekutana na hii habari, inaukweli wowote au ndo tunataka kupigwa na watoto wa mjini??
  7. makonko

    Wapi kilipo kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku dar es salaam?

    Kichwa cha habari chahusika, nisaidieni bandugu
  8. makonko

    Kwanini mtoto awe Mali ya baba?

    Nimekaa nikatafakari saana Hivi kwanini mtoto anakuwa Mali ya baba wakati kwa mawazo yangu Mimi naona mama ndo ana-play part kubwa sana, kwani mama anambeba mtoto tumboni miezi 9, haitoshi siku ya kujifungua leba ni siku ambayo Israeli mtoa roho anakuwa naye karibu sana(kufa/kupona). Baada...
Back
Top Bottom