Search results

  1. Despacito

    Must see Movies

    Aseee john wick4 tayr imetokaa kwenye digital platforms mwenye link ya telegram channel nidownload wakuu
  2. Despacito

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    tangu mtetezi wa wanyonge (fastjet) atolewe sina uhakika nitapanda tena ndege lini
  3. Despacito

    Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    ushaambiwa aliyekosea maelekezo kwa mgonjwa ni mwanafunzi aliekuwepo kwenye mafunzo ya vitendo, sasa kama ungekua unajua uhalisia wa vituo vya afya hapa nchini usingeandika uzi wa kipuuzi kama huu, kimsingi mwanafunz huyo alitakiwa kuwa chini ya uangalizi lakini sio rahisi kila muda wanafunzi...
  4. Despacito

    Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

    Dah we jamaa unatoa hela zote ivo alaf hukuli papuchi mbona unakua mzembe ivo lakini, binafsi mm siwez kutoa hela ivo alaf cjala papuchi na kuna time madem huwa nawapa hela ya nauli tu alaf inakua imeisha ivo apo atabak kukutafuta wewe sas
  5. Despacito

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    kipindi niko chuo kuna teacher mmoja alikua anapenda kutoa test zake asubuh sana mfano saa 12 hiv mpk saa mbili asubuh pepa inakua imeisha....sasa bana siku hyo pepa limeisha kuna huyu manz bana nilikua sina mazoea nae kiivo ila ni mzur na si unajua madem wa chuo muda wa pepa za asubuh wanavaa...
  6. Despacito

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Saa 10 jioni (YEYE): jamani please mwenye past paper za mtiani huu aniazime jamani nataka kupitia (in wema sepetu like voice). (RAFIKI YANGU): mcheki (akanitaja) anazo za kutosha. (YEYE) : hee jamn yaan tumekaa hapa karibu nauliza kama unazo na umekaa kimya. (MIMI) : nikazuga kidogo kisha...
  7. Despacito

    Wenyeji wa Singida

    Wakuu wenyeji wa singida ebu naomba mtusaidie sisi wageni vijiwe vya totoz, maake tumefika kipindi cha baridi sana.
  8. Despacito

    Kozi ya Ufamasia

    mfamasia halali njaa wewe...labda kama ni mzembe
  9. Despacito

    Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea?

    course za afya nina uhakika 100% hawaangalii vyuo na kama ukisema waangalie vyuo MD wa Udom wanapondwa sana mitaani so sidhan kama watapata preference kama unavosema ila all in all kwenye afya chuo hakiangaliwi, kwa uzoefu wangu mdogo ni experience ya kaz ndo inaangaliwa kwenye afya na ufahamu...
  10. Despacito

    Udahili Vyuo vya Afya

    chuo sio advance au olevel mdogo angu hakuna cha private au government, ukipata chuo chochote kinachotoa undergraduate programs za afya unayoihitaji nenda, ukigraduate mtaani hakuna tofauti as long as uko na cheti
  11. Despacito

    Msaada: Divisio 2 ya PCB unaweza kusoma kozi gani?

    kipindi namaliza 6 nilipata div 2 ya 10 pia sema ni muda kidogo na nilichaguliwa Bpharm (pharmacy) sijajua sikuiz vigezo vikoje ila at that time ufaulu haukuwa mkubwa sana kama sikuiz nashauli tafuta pdf ya TCU ujue sifa ziko vipi kwa sasa
  12. Despacito

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Niggas promoting drug abuse kwa kivuli eti ni mind opening, sio kwa Tz hii na hauez elewa mpaka uwe angalau ulishakaa MAT clinic ukahudumia watu wanaokumbwa na urahibu. hakuna ugonjwa mbaya kama uraibu wa madawa ya kulevya na siku Tz wakiruhusu bangi iwe legal basiii naamin tutapoteza nguvu...
  13. Despacito

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    dah kama MD wote mpo kama bwana kaboko ninapata wasiwasi sana na elimu yenu ya darasani mimi najitolea kama huyu MD au profesa Kaboko MD atapata kuanzia 20% ya mtihani wa pharmaceutical calculation and compounding nampatia 3,000,000/= ya usumbuf na mm tarudisha leseni yang ya kazi baraza la...
  14. Despacito

    Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    brother wamiliki wa famasi sio wafamasia pekee kuna watu binafsi ambao hawana taaluma ya famasi na pia doctors kibao wanamilik famas unafikil hao doctors wanaomilik famasi hawaoni ilo tatzo la kuuzwa dawa bila prescription? ila Mfamasia ndo yupo accountable famasi kutoa elim kwa wasaidiz wake...
  15. Despacito

    Udaktari unalipa?

    unataka kujua nn hasa?
  16. Despacito

    Udaktari unalipa?

    unataka kujua nn hasa?
  17. Despacito

    Kama umechaguliwa Combination ya CBG, fahamu jambo hili mapema

    sielew kwann CBG imezuiliwa course za afya chuoni kwasababu binafsi advance nilisoma CBG na chuo nikachaguliwa kozi ya afya na throughout the time niko chuo kuna wanafunz wenzangu walosoma PCB advance baadhi yao niliwakimbiza sana, Pia nakumbuka wakati nipo form 5 niliwahi kukutana na...
  18. Despacito

    Kozi za afya zenye ajira haraka

    lbd clinical officer ila sio pharmaceutical science mkuu, huyu asome diploma ya famasi atanishukuru
  19. Despacito

    Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Mr MSD hainunui na kusambaza dawa pekee, inazalisha pia baadhi ya dawa na vifaa tiba lakin pia quantification data hata kama zinatokea hospitali MSD ina jukumu la kufanya makadilio ya mahitaji ya dawa ili kujua inunue kias gan na kuzalisha kias gan sasa kama inakosa waataalam wa kutosha wa...
  20. Despacito

    Psychometric Assesment Report (PAR) /Certificate

    Habari wakuu, kuna mtu anajua websites wanazofanya psychometric evaluation test for free?
Back
Top Bottom