Search results

  1. J

    Rose muhando kurudi kazini katoa kibao "Watangoja sana"

    Anaonekana amerudi hali yake ya awali anaendelea vizuri Mungu amsaidie. Ukienda Youtube utaona nimeshindwa kuupload. anayeweza atafute huo wimbo aupakie. Wimbo fungua link hii:
  2. J

    HATUA IPI ZAIDI UNAIJUA ALIYOCHUKUA MWANAUME BAADA YA KUFUMANIA MKEWE

    Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania alichukua shoka na kumwua mkewe na kujinyonga kwa kamba b) alipomfumania mkewe aliondoka na kwenda kuanzisha...
  3. J

    HATUA IPI ZAIDI UNAJUA ALIYOCHUKUA MWANAUME BAADA YA KUFUMANIA

    Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania alichukua shoka na kumwua mkewe na kujinyonga kwa kamba b) alipomfumania mkewe aliondoka na kwenda kuanzisha...
  4. J

    Silent beggars

    It is surprising to experience that there are people who once they happen to know you the next step is to beg from you. But they are never labelled as beggars. Can you make an intelligent guess who are these people? Enjoy listing them here!
  5. J

    Mh. Rais yuko wapi hizi siku mbili sijamsikia tangu nimsikie akiwa Ubungo pale

    Niseme kweli japo najua wazi nitashambuliwa. Namuunga mkono Mh. Rais na serikali yake kwa utendaji, hivyo basi, huwa napenda kujua kila siku anatoa maelekezo yepe ili kujua dira ya nchi. Hizi siku mbili sijamsikia atakuwa amerudi ofisini baada ziara ndefu, Bukoba, Uganda na hatimaye Ubungo? I...
  6. J

    Zwazwa na hewallah ni maneno yenye maana gani?

    Habari GTs, Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa. AHSANTENI
  7. J

    Mtu yeyote anayewaza kuoa au kuolewa katika kizazi hiki ni mpumb...vu...

    Kwasababu ni kizazi cha wanafiki.
  8. J

    Baadhi ya sababu zinazomfanya mwanamke kutoka nje ya ndoa

    Nimefanya uchunguzi nikapata sababu zifuatazo; 1. Kutofikishwa kitandani kwa hapa nimaana hafiki kileleni kabisa 2. Anaweza kuwa anafika kileleni mara zote au mara nyingi lakini kuna michezo alikuwa anafanyiwa kabla ya kuolewa anaimiss kwa mfano 0713, kunyonywa K n.k. 3. Anaweza kuwa anafika...
  9. J

    Sheria ya ndoa irekebishwe haraka kunusuru ndoa

    Habari wanajukwaa, Ipo haja ya kurekebisha sheria ya ndoa kuhusiana na kugawana mali baada ya kutalikiana. Hii itasaidia kutenda haki pia kwa kiasi fulani kupunguza kiwango cha ndoa zinzovujika. Imekuwa kawaida kwa wanandoa kutoka nje ya ndoa na baada ya kufumaniwa huachana au huendelea...
  10. J

    Mapenzi husabasha kifo wakati fulani

    Mwanamke mmoja ambaye alikuwa anaishi na mme wa ndoa huko Kising'a ya Isimani Iringa aliuawa juzi kwa kukatwa mapnga na mme wake. Tukio hili lilitokea baada ya mwanamke huyo kudai talaka mahakamani na kupewa. Mara baada ya kupewa talaka akatuma sm kwa aliyekuwa mmewe nakumwambia naolewa na...
Back
Top Bottom