Search results

  1. hengo

    Asome nini yenye unafuu katika soko la ajira marketing, community development na procurement

    Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi gani inaweza ikampa unafuu katika ushindani wa soko la ajira au kumfanya ajiajiri mwenyewe kati ya...
  2. hengo

    Naomba ufafanuzi juu ya upatikanaji wa kadi za airtel

    Napenda kuwapongeza Airtel kwa jitihada zenu za kueneza mawasiliano kwa wananchi wa mijini na vijini.Jana nilibahatika kupewa kadi za bure kabisa na kijana mfanyakzi wenu hapa Dodoma, akieleza wazi kuwa kampuni imeamua kugawa kadi za simu bure. Lakini nashangaa leo tena kuna kija amefika...
  3. hengo

    Namna chuma ulete wanavyofanya kazi

    Nimekuwa nikisikia malalamiko ya watu wengi juu ya kushindwa kuelewa namna pesa zao zinavyo isha bila kuleta manufaa ya msingi wakati wakiwa makini katika matumizi ya kawaida. Aidha nimesoma post ya mwanaJF mmoja analalamikiwa kuwa watu wengi humkopa kila mara. Sasa naomba kujua kutoka kwenu...
  4. hengo

    Picha hizi nitazitumiaje?

    Great Thinkers habari. Jamani naomba maujuzi namna ya kuziokoa kisha kuzitumia picha hizi ambazo zipo kwenye digital camera.Tatizo nikuwa picha hizi zinaonekana ukiziview kwenye kamera lakini nikitoa memory kadi na kuweka kwenye PC yangu picha hazifunguki badala yake yanakuja mafaili short...
  5. hengo

    Matumizi ya modemu vs gharama za vifurushi vya muda wa kuperuzi na maongezi

    Jamani kutoka na hali ya uchumi kuzi kuwa ngumu, nafikiria namna ya kuchakachua modemu ili niweze kutumia mtendao wowote nitakaokuwa na uwezo nao kila makapuni ya simu yanavyobadilisha gharama za vifurushi. Tafadhali wakuu nawaombeni mnielekeze namna ya kuzichakachua,nina AIRTEL na ZANTEL
  6. hengo

    Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

    Habari wakuu.Mimi mwenzenu niliachana na maisha ya ukapera yapata mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kufunga ndoa takatifu na my beloved.Pia nashukuru Mungu kuwa ninaishi vizuri na shemeji yenu/wifi yenu kadri mola anavyotujalia. Nina rafiki yangu mmoja ambaye ambaye yeye anaishi na mwanamke...
  7. hengo

    Kila wanapotaja maneno kupima viwanja moyo wangu unaenda mbio.

    Jamani leo ni bajeti ya Wizara ya aridhi, nyumba na maendeleo ya makazi,nimekaa kusikiliza michango ya waheshimiwa mbalimbali juu ya bajeti hii,wengi wao wanaisisitizia serikali kupima viwanja. Kwa keli mimi mwezenu kila wakitaja Kupima viwanja moyo uanenda mbio maana wazee wangu ,ukianzia babu...
  8. hengo

    Boss anataka kunitenganisha na mke wangu

    Jamani niko mbioni kutafuta mke mwingine baadaya shemeji yenu kukataliwa na boss wake kuja kuja kuishi na mimi. Ni takribani miaka miwili sasa tangu nifunge ndoa takatifu na shemeji/wifi yenu,lakini kulingana na mazingira ya kazi nimekuwa nikiishi mbali na mke wangu na tunakutana mara moja moja...
  9. hengo

    Jamii na mapambano dhidi ya janga la ukimwi tanzania

    Mimi ni mtanzania na ninawajibika kwa nchi yangu kama inavyostahhili kwa raia mzalendo yoyote katika nchi yake ikiwa ni pamoja na kulipa kodi na kuheshimu sheria zote za nchi.kwa sababu hiyo napenda kuchukua nafasi hii kutumia haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa mawazo yangu.Tafadhali...
  10. hengo

    Tahadhali kwa wakazi wa dodoma hasa wapenda filamu,mziki na nyimbo

    Katika hali isiyo ya kawaida wimbi la vijana wanaodurufu(copy) na kuuza CD`s,VCD`s na DVD`s mbalimbali hasa za maigizo,muziki na nyimbo lazidi kuongezeka siku hadi siku katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mikoa ya Dar es salaam,Mwanza,Dodoma na Arusha na hivvo kutapeli watu kwa kuwauzia...
  11. hengo

    Anadivision four yapoint 29,nimempeleke wapi?

    Wakuu kun mdogo wangu anadivision four ya poimt 29, amejaribu kulisiti akafeli.Sasa naomba ushauri nimpeleke kozi gani itakoyo mtoa mapema?
  12. hengo

    Wanafunzi udom waendelea kugubikwa na ksahifa za utovu wa nidhamu na makosa ya jinai

    Ikiwa ni takribani siku nne tu kupita baada ya vyombo vya habari kuandika na kutangaza tukio la wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha Elimu kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa kosa la kupatikana na misokoto ya bhangi kinyume cha sheria, wanafunzi wengine wa chuo hicho...
  13. hengo

    What is politics and politician mean in tanzania and africa in general?

    I had never thought to be politician in my life, however I wish one to have an opportunity to represent the people of my mother land in the law making body as they had never been represented accordingly for 50 yrs ago and still they are not.However I don`t like to be a politician because to be...
  14. hengo

    Nani kaonyesha umahiri zaidi wa kuongoza bunge kati ya anne makinda na job ndugai?

    Heshima kwenu wakuu, Sikupata bahati ya kufatilia bunge kikamilifu kwa sababu mbalimbali zikiwemo mgao wa umeme na mihangaiko ya kutafuta riziki. Kwa waliobahatika kufatili naomba mtupe uwezo na umahiri wa kuongoza bunge kati ya Anne Makinda na Job Ndugai. Je, kama mwanamke Anne Makinda...
  15. hengo

    Miundo mbinu ya usafirishaji na mawasiliano tanzania, je analenga kuwakwamua wananchi kiuchumi?

    Heshima kwenu wakubwa.Leo ilikuwa siku ya mjadala wa bajeti ya Uchukuzi, malumbana yalipamba moto kwa wabunge wavyama vyote kueleza usimamizi duni wa wizara hiyo, na ndipo mbunge wa Ludewa Mhe.Deo akaweka bayana kuwa ni bora Waziri moja afe kuliko wananchi kuendelea kupoteza maisha kutokana na...
  16. hengo

    Jamaa ajikuta akivunja yai na mama yake mzazi

    Heshima kwenu wakubwa.kuna rafiki yangu mkaazi wa hapa kibaha anaishi na mama yake mzazi,baba yake mzazi alitangulia mbele za haki miaka 10 iliyopita.Jamaa ni kiwembe kuliko na mpiga maji kama mamba,amekuwa akigonganisha mademu kila kukicha.Tabia hii imekuwa kivutio kwa baadhi ya wanawake kwani...
  17. hengo

    Mhe. Shibuda na kisukuma bungeni, ni msisitizo au kuchekesha bunge?

    Heshima kwenu wanajamvi.Baada ya mihangaiko jana nilijikaza nikaa kusikiliza mjadala wa mbunge kuhusu bajati ya Wizara ya kilimo na umwagiliaji. Pamoja na uchovu nilifanya hivyo kwa vile kilimo ni uti wa mgongo wa watanzania na ndo ajira kwetu sisi wale 80%.Waheshimiwa wengi walituwakilisha...
  18. hengo

    Hodi hodi wakubwa

    Hodi wenyewe,baada ya kutembelea jamvini muda mrefu leo nimeamua kuhamia,naomba mnipokeee.
Back
Top Bottom