Search results

  1. geesten66

    Picha: Mji wa Kiserikali Dodoma au Magufuli City - Dodoma

    Juhudi za hayati Rais John pombe magufuli Zinaendelea kujenga ofisi za serikali Dodoma. Tutakukumbuka kwa mengi Rais wetu mpendwa Magufuli.
  2. geesten66

    Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla. Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
  3. geesten66

    Asalaam! Nilipotea kidogo, nimerudi

    Hamjambo humu, nilipotea kwa muda mrefu nilikuwa Sudan kwenye harakati za kutafuta maisha.
  4. geesten66

    Ugonjwa wa gonorea

    Hivi huu ugonjwa unatokana na kufanya mapenzi tu hakuna njia nyengine inayo sababisha huu ugonjwa Mdogo wangu wa kiume umri 13 kaupata huu ugonjwa yani hata sex ajui.
  5. geesten66

    Anatafuta mke wa kuoa

    Habari za majukumu ndugu. Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU. Sifa za mwanamke Elimu Darasa la saba mpaka form 4 asizidi Elimu zaidi ya hapo Umri 25/28. Dini Muislamu Asiwe mwembamba sana wala kibonge sana. Sifa za...
  6. geesten66

    Mimi mgeni naomba munipokee

    Wadau mimi mgeni jamii forums naombeni Ushirika wenu Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  7. geesten66

    Tanzania ilitawaliwa na nchi gani?

    Habari wakuu Kuna seemu nimekuta wazee wanaongea Eti Tanzania haikutawaliwa na Ujeruman wala Uingeraza ila ilikuwa chini ya UN. Uingeraza walikuwa wasimamizi tu Ndio maana Nyerere alienda kudai uhuru marekani je! nikweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. geesten66

    DAWASCO: Kimara baruti kuna bomba kubwa la maji limepasuka siku ya 5 leo

    Habari Kimara baruti kuna line ya bomba kubwa la maji limepasuka Siku ya 5 Leo toka tutoe taarifa sehemu usika lakini kimya. serikali inazidi kupata hasara, pia kero kwa wakazi wa haya maeneo. Tunaomba Dawasco muje kuziba hili bomba lenu litaangusha ukuta wetu.
  9. geesten66

    Cheti cha manjano kinahitajika

    Kuna Rafiki yangu anataka cheti cha manjano cha kusafiria Kama kuna mtu anaweza kutupatia cha Dili pouwa. PM Update Ahsanteni kuna mdau kanisaidia nimesha kipata cheti cha manjano.
  10. geesten66

    R.I.P tutaendelea kuwakumbuka ndugu zetu

    Leo kwenye pitapita yangu jamii forums nimeona hii kitu. mtu wa kwanza kutoa Post amefariki Mtu wa pili aliye coment kafariki Mtu wa tatu aliye Coment kafariki inasikitisha Sana.
  11. geesten66

    Njoo tufanye kazi pamoja

    Habari ndugu. Sikuhizi ajira zimekosa mambo yamekuwa magumu Kuna Rafiki yangu anafanya kazi kwa muhindi kariakoo ya kuuza bidhaa za Dukani Anatafuta mtu wa kuchanga naye mtaji waanzishe Biashara ya nguo za kike pamoja na viatu vya kike maeneo ya Gongo la mboto Tunajuwa maeneo yote yakuchukuwa...
  12. geesten66

    Passports yangu ya 2014 mpya au ya kitambo

    Habari ndugu Nilisikia kuna passport mpya zimetoka yani wamebadilsha je hii yangu ya 2014 mpya au. Maana passport yangu nilitengeneza kama emergency. Kwa sasa nataka kuitumia
  13. geesten66

    Inawezakana kutumia visa card nje ya nchi?

    Habari za majukumu Hivi inwezekana kutowa Hela ATM ukiwa nje ya nchi kwa kutumia card ya CRDB visa card. Ili kuepusha maswala ya kuchange hela nchi hizo za kigeni.
  14. geesten66

    Wapenzi wa churaaaa njooni muone

    Yani chura zote nimezitani
  15. geesten66

    Karagwe: Mkuu wa Wilaya aamuru kijana wa miaka 12 ashikiliwe na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupandisha bendera ya Canada kwenye makazi

    Habari . Leo mtaani amekuja mkuu wa wilaya pamoja na jeshi la polisi kumkamata mtoto wa miaka 12 Ambaye anaishi na kaka yake kwa kosa kupandisha bendera ya Canada kwenye mti ambao upo hapo nyumbani kwa huyo mtoto. Baada ya kumkosa kaka wa huyo kijana wakamchukuwa mtoto nakumuweka Ndani...
  16. geesten66

    Hi-fi

    Mambo vipi wana wamungu. Kuna hii program ya Hi-fi kwenye Sabufa au kwenye Smartphone naomba munielekeze jinsi ya kuitumia maana zipozipo tu kama chama cha Ccm.
  17. geesten66

    App ya Kudownload series na move

    Mambo vipi Wa Tanzania wenzangu. Ambae anajuwa App ya Kudownload series na move anisaidie nilikuwa natumia App ya terrarium naona waneifunga.
  18. geesten66

    Mke wangu hapati mimba...

    Jamani ndugu zangu mke wangu toka nimuoe Nina miezi nae sita. Tatizo ajapata mimba mpaka Leo baba mkwe ana lala mika anajuwa tuna tumia uzazi Wa mpango lakini si kweli nilimchoma ya miezi 3 tu. Lakini iliisha toka mwezi Wa 4 cha ajabu mimba mpaka sasa ajapata je itakuwa kuna tatizo.
  19. geesten66

    Mke wa mtu sumu

    https://photos.app.goo.gl/sTukWtLonuufC0ae2
  20. geesten66

    Jibu Maswali yafuatayo

    One love
Back
Top Bottom