Search results

  1. geesten66

    Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Nimefungua biashara yangu japokuwa naona biashara ngumu najikaza tu mpaka kieleweke
  2. geesten66

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Anataka nguvu kazi, Aswa tekinolojia
  3. geesten66

    Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Mrangi upo, umeacha Tungi sikuizi mkuu
  4. geesten66

    Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

    Kwa sababu waliwaibia wananchi kodi zao
  5. geesten66

    Wanawake mnao wakataa wanaume mnashida gani?

    Miezi sita6 unafukuzia Demu, Hakika una moyo wa chuma.
  6. geesten66

    Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

    Kwaiyo yanga wakiyumba kiuchumi wanaweza kuliuza ilo kombe. Kile kipindi cha bakuli kikiwarudia
  7. geesten66

    Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Je kiongozi wa juu wa nchi anazo Akili Je anae mfata anazo Akili je wanao mshauli wanazo Akili. Kama viongozi wa Tanzania wange kua na Akili wasinge tengeneza gereji za mwendo kasi pale jangwani kwenye mkondo wa maji.
  8. geesten66

    UZUSHI Mapovu yanayokuwa kwenye mimea mbalimbali porini au vichakani ni mate ya nyoka

    Kama wanavyo sema Eti mafuta ya ndege Yanatokana na yakorosho.
  9. geesten66

    Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

    Nielekeze basi ndugu mbona unanisimanga
  10. geesten66

    Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

    Mimi mbona sioni seemu ya kuweka Dslike naona kwa ku like tu.
  11. geesten66

    Anayesema Wakenya wana akili kuliko watanzania kwa matukio haya mawili akapimwe akili

    Kweli wana akili lakini Awajui Lugha yao ya taifa ni ipi. Kama unabisha waulize wakenya watano kila mtu atataja lugha yake.
  12. geesten66

    Je, unaweza kununua mke roboti?

    Kwaiyo Uyo Robot muda wote lina kuwa lime lala kitandani kusubili kugegedwa au litakua linaweza kupika na Kufanya mambo madogomadogo kama mwanamke.
  13. geesten66

    Nifate inbox/ Njoo inbox

    Unakuta mtu anakwambia Mbona unipigii simu Sikuizi au ume nisusa hata kunipigia simu Unipigii.
Back
Top Bottom